M4c - arusha: Live - join the chain event - from snow crest hotel

Arusha Mambo

Senior Member
Jan 27, 2011
174
195
Salaam,

Arusha Mambo inarusha (live) moja kwa moja event ya Join the Chain kutoka Hotel ya Snow Crest Arusha, hafla rasmi itaanza Saa Moja na Nusu Jioni ya leo tarehe 15.12.2012. kwa saa za Tanzania/Africa Mashariki.

Event hii ni moja ya Mikakati ya kuleta mabadiliko kupitia kampeni ya Movement for Change (M4C)

Ili kusikiliza bonyeza hapa Arusha Mambo FM - Arusha - Listen Online
 

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
3,976
2,000
Nani mgeni rasmi, makamanda gani tunaowajua watakuwepo. Kamanda mtoro Zitto atakuwepo?
Vipi taarifa ya makusanyo yaliopita mbona bado kutolewa jamani, Boban, okwi, sunzu tupe taarifa. ZZK yupo safarini kikazi tena kwa pesa zake za ubunge.
 

yegella

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,115
1,250
ndiyo naingia kwenye ukumbu watu ni wengi utazani hakuna kiingilio nitaendelea kuwa juza na jua tuko makamnda wengi tu kwenye ukumbi huu..
 

CHASHA FARMING

Verified Member
Jun 4, 2011
6,889
2,000
Mkuu hii nazani ni kwa ajili ya Arusha pekee, ni kuendeleza harakati Arusha na wala si ya Kitaifa, pamoja na mambo fulani kuwekwa sawa lakini M4C ni lazima iendelee time zote, haiwezi sitishwa kisa kun a mambo ya kuwekwa sawa.
 

CHASHA FARMING

Verified Member
Jun 4, 2011
6,889
2,000
ni vizuri magamba wawabanie Tv zao,maana nyie kuanzisha zenu hamtaki,yaani hata karedio ka fm?
Nyie wenyewe si mnategemea za wengine? nyie si mnako karedio Uhuru tu, Ila TBCCCM, ipo siku itakuja kuvuna aibu kama kule Zambia, utakuwa unakumbuka kilicho tokea kwenye vyombo vya habari vua Serikali kule Zambia mara tu baada ya Michael Sata, kuwapiga chini Magamba wa kule
 

CHASHA FARMING

Verified Member
Jun 4, 2011
6,889
2,000
mambo gani mwanakijiji..je unaimanisha chadema sasa isifanye meeting mpaka jambo hilo liwekwe sawa...
Kwanza Jambo gani hilo? si awasiliane na makamanda huko Dar, huyu jamaa naye some time huwa haeleweki, M4C si razima ifanywe na wanachadema, hata Raia wasio kuwa na chama wanaweza endesha M4C
 

Ngonini

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
2,024
1,195
Songeni mbele makamanda bila Arusha imara hakutakuwa na chadema imara! Nyie ndo walezi wa chadema na hiyo ndo base ya ukombozi wa Taifa letu! Ni lazima watu wa Arusha mkubali kutumia gharama zenu kuwavuta na wengine wafuate upepo wa mabadliko! Nimefurahishwa na kauli mbiu ya M4C yenu! Once again ninawatia moyo na Mungu ni mwaminifu atafanya!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom