CHADEMA itakufa kwa sababu hizi, sio propaganda

K

KISHADA

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
1,612
Points
2,000
K

KISHADA

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
1,612 2,000
Hizi propaganda za sasa za CCM haziwezi kuiuwa CHADEMA. wacha CCM walalamike wenzao wamefunja makubaliano.

BACKGROUND
kiukweli ccm na CHADEMA wanajuwana sana acha leo waanze kuumbuwana kwa lile sakata la kadi ambazo hazijarudishwa.Mwanzoni mwa miaka ya 1990 na harakati za vyama vingi kuanza mwl nyerere alikuwa anatafuta mbadala wa chama cha upinzani kukiandaa ambacho yeye binafsi angekuwa na imani na viongozi wake pale suala la mabadilko litakapokuja alifanya jitihada nyingi bila mafanikio mpaka alipopata kiongozi mwandamizi na ambaye mwl hakusita kutowa utabiri wake kwamba CHADEMA ndicho chama kitakachokuja kuwa mbadala wa CCM wana Jf mujuwe hili halikuwa bure ni maandalizi yalifanywa kwamba kiwe chama cha kuendeleza itikadi za Mwl zikiwemo za utaifa na nyengine ambazo ni siri yake.

KUZUKA KWA CHADEMA 2005-2010
Tayari hali ya mivutano ndani ya CCm ilishakuwa mbaya na hakuna kiongozi yeyote ndani ya ccm aliyeweza kukemea mambo ambayo mwl aliyapiga vita sana likiwemo suala la rushwa na ufisadi na kujilimbikizia mali.Licha ya kuwa Chadema kilishaaasisiwa zamani kilipata nguvu ya ajabu kipindi hiki ili kuja kulinda mambo ya kitaifa aliyoyapigania mwl. Viongozi ambao hawakuwa na historia ya kupigania harakati za kuanzishwa vyama vingi na wenye mielekeo ya kipinzani hafla wakaibuka na kupambwa na vyombo vya habari utazani hawakuwa wapinzani kwa sababu tulizoweya mpinzani wa kweli hana nafasi kwa vyombo vya habari vya Tz.Mpango hapa ilikuwa ni kuja kuwaumbuwa wote wale ambao wamevunja mmiiko ya mwl na kulitia hasara taifa hili changa. Ni Viongozi wa Chadema waliovujishiwa siri nyingi sana za mafisadi kwa kupewa majina na kuwataja hadharani . hii ilikuwa ni kazi ya makubaliano CCM hawaisemi ila iko siku watasema

Lengine lililoongeza kasi ya Chadema ni kuwepo raisi mswahili na ile dhahma ya kundi la mkapa lililopigwa tenge na kuibuka kundi la mtandao.

Taarifa za kichunguzi zinaonesha kwamba raisi mswahili alianza kukera maslahi ya kundi fulani ambalo kwao wao kila kitu katika serikali lazima wawe na ushawishi wao. Kundi hili lilitumia fursa ya Chadema kumyumbisha raisi huyu kwa kuibuliwa hoja ambazo haijawahi kutokea kupewa wapinzani lengo ikiwa ni kumyumbisha.Licha ya ukweli kwamba mtandao wa ushindi wa raisi mswahili ulitofautiana baadae lakini walitumia kila fursa ya kuwepo chadema kumyumbisha.

ANGALIA HAYA

1.Ile memorundum yao 2000-2005 pale Le traven hotel iliyowakutanisha Mh mbowe na Kikwete wakati wa kampeni, CCM hamjaisema mnasema mambo ya kadi vipi?

2. Ile agenda ya Tume ya kukusanya maoni ya mabadiliko ya katiba na masharti yaliyowekwa CCM mmeyasahau Kuna Nini ?

3. Ile move ya maandamano na ahadi ya kumyumbisha raisi mswahili lile kundi la ccm lililoasisi dhidi ya wengine limefika wapi

4. Kule bungeni vipi hoja nzito kupewa chadema kwa ccm kuogopana ilikufichiana aibu na visasi memorendum leo imekufa?

CCM hamtaweza ila yafuatayo iwe yamefanyika .
1. kwamba mmebaini kazi ya chadema imekwisha sasa na mnaanza kuwarejesha pale walipokuwa na kwamba hatua zote za kufanya hivyo zimeshapatiwa baraka kwa makubaliano ya pande mbili kama ilivyokuwa awali.
2.Kwamba mmebaini wenzenu wamevuka mipaka ya makubaliano na sasa wamepitiliza na kuathiri maslahi yenu binafsi.

ikiwa hayo tayari sawa CHADEMA itakufa na hawa wafuasi watakuja kushangaa imekuwaje maana njia waliyoingilia ndio watakotokea huwezi ukawa na sura mbili tofauti kwa kuzificha iko siku utaumbuka tutegemee siri nyingi zaidi zitaibuka.
 
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
12,488
Points
2,000
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
12,488 2,000
Umeanza kwa kupost ugoro bora ungekuwa msomaji tuu
 
Ben Saanane

Ben Saanane

Verified Member
Joined
Jan 18, 2007
Messages
14,597
Points
2,000
Ben Saanane

Ben Saanane

Verified Member
Joined Jan 18, 2007
14,597 2,000
Be carefully of what you wish for.Usiombe CHADEMA ife,Kombati hazitavuliwa.

-Ni jambo la ajabu kuibuka na groundless insuniation kama hii.Kwa hiyo hoja za CHADEMA tunapewa na CCM?Tutake Radhi
 
Radhia Sweety

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Messages
4,443
Points
1,500
Age
33
Radhia Sweety

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2011
4,443 1,500
Mi mwenyewe nilijua tu Chadema lazima ife. Sasa leo imeanza kuthibitika.
 
M

majebere

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
4,651
Points
2,000
M

majebere

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
4,651 2,000
Be carefully of what you wish for.Usiombe CHADEMA ife,Kombati hazitavuliwa.

-Ni jambo la ajabu kuibuka na groundless insuniation kama hii.Kwa hiyo hoja za CHADEMA tunapewa na CCM?Tutake Radhi
Acheni kutisha watu bana, kombati ni vazi tu kama chupi, Usifikiri kuvaa jezi ndio kujua kucheza mpira.
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,245
Points
2,000
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,245 2,000
Hizi propaganda za sasa za CCM haziwezi kuiuwa CHADEMA. wacha CCM walalamike wenzao wamefunja makubaliano.
BACKGROUND
kiukweli ccm na CHADEMA wanajuwana sana acha leo waanze kuumbuwana kwa lile sakata la kadi ambazo hazijarudishwa.Mwanzoni mwa miaka ya 1990 na harakati za vyama vingi kuanza mwl nyerere alikuwa anatafuta mbadala wa chama cha upinzani kukiandaa ambacho yeye binafsi angekuwa na imani na viongozi wake pale suala la mabadilko litakapokuja alifanya jitihada nyingi bila mafanikio mpaka alipopata kiongozi mwandamizi na ambaye mwl hakusita kutowa utabiri wake kwamba CHADEMA ndicho chama kitakachokuja kuwa mbadala wa CCM wana Jf mujuwe hili halikuwa bure ni maandalizi yalifanywa kwamba kiwe chama cha kuendeleza itikadi za Mwl zikiwemo za utaifa na nyengine ambazo ni siri yake.
KUZUKA KWA CHADEMA 2005-2010
Tayari hali ya mivutano ndani ya CCm ilishakuwa mbaya na hakuna kiongozi yeyote ndani ya ccm aliyeweza kukemea mambo ambayo mwl aliyapiga vita sana likiwemo suala la rushwa na ufisadi na kujilimbikizia mali.Licha ya kuwa Chadema kilishaaasisiwa zamani kilipata nguvu ya ajabu kipindi hiki ili kuja kulinda mambo ya kitaifa aliyoyapigania mwl. Viongozi ambao hawakuwa na historia ya kupigania harakati za kuanzishwa vyama vingi na wenye mielekeo ya kipinzani hafla wakaibuka na kupambwa na vyombo vya habari utazani hawakuwa wapinzani kwa sababu tulizoweya mpinzani wa kweli hana nafasi kwa vyombo vya habari vya Tz.Mpango hapa ilikuwa ni kuja kuwaumbuwa wote wale ambao wamevunja mmiiko ya mwl na kulitia hasara taifa hili changa. Ni Viongozi wa Chadema waliovujishiwa siri nyingi sana za mafisadi kwa kupewa majina na kuwataja hadharani . hii ilikuwa ni kazi ya makubaliano CCM hawaisemi ila iko siku watasema

Lengine lililoongeza kasi ya Chadema ni kuwepo raisi mswahili na ile dhahma ya kundi la mkapa lililopigwa tenge na kuibuka kundi la mtandao.
Taarifa za kichunguzi zinaonesha kwamba raisi mswahili alianza kukera maslahi ya kundi fulani ambalo kwao wao kila kitu katika serikali lazima wawe na ushawishi wao. Kundi hili lilitumia fursa ya Chadema kumyumbisha raisi huyu kwa kuibuliwa hoja ambazo haijawahi kutokea kupewa wapinzani lengo ikiwa ni kumyumbisha.Licha ya ukweli kwamba mtandao wa ushindi wa raisi mswahili ulitofautiana baadae lakini walitumia kila fursa ya kuwepo chadema kumyumbisha.

ANGALIA HAYA

1.Ile memorundum yao 2000-2005 pale Le traven hotel iliyowakutanisha Mh mbowe na Kikwete wakati wa kampeni, CCM hamjaisema mnasema mambo ya kadi vipi?

2. Ile agenda ya Tume ya kukusanya maoni ya mabadiliko ya katiba na masharti yaliyowekwa CCM mmeyasahau Kuna Nini ?

3. Ile move ya maandamano na ahadi ya kumyumbisha raisi mswahili lile kundi la ccm lililoasisi dhidi ya wengine limefika wapi

4. Kule bungeni vipi hoja nzito kupewa chadema kwa ccm kuogopana ilikufichiana aibu na visasi memorendum leo imekufa?

CCM hamtaweza ila yafuatayo iwe yamefanyika .
1. kwamba mmebaini kazi ya chadema imekwisha sasa na mnaanza kuwarejesha pale walipokuwa na kwamba hatua zote za kufanya hivyo zimeshapatiwa baraka kwa makubaliano ya pande mbili kama ilivyokuwa awali.
2.Kwamba mmebaini wenzenu wamevuka mipaka ya makubaliano na sasa wamepitiliza na kuathiri maslahi yenu binafsi.

ikiwa hayo tayari sawa CHADEMA itakufa na hawa wafuasi watakuja kushangaa imekuwaje maana njia waliyoingilia ndio watakotokea huwezi ukawa na sura mbili tofauti kwa kuzificha iko siku utaumbuka tutegemee siri nyingi zaidi zitaibuka.
Wewe kweli kishada umekosa upepo, naona umejifungia ndani ukaandika hii simulizi...ungeandika kiingereza kumbe na wewe mswahili.
 
Radhia Sweety

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Messages
4,443
Points
1,500
Age
33
Radhia Sweety

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2011
4,443 1,500
Be carefully of what you wish for.Usiombe CHADEMA ife,Kombati hazitavuliwa.

-Ni jambo la ajabu kuibuka na groundless insuniation kama hii.Kwa hiyo hoja za CHADEMA tunapewa na CCM?Tutake Radhi
Chadema hamna jeuri ya kuingia msituni. Mtachanwachanwa hadi mfeeee
 
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
14,685
Points
2,000
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
14,685 2,000
Hivi chuo kikimfunda mwanafunzi hadi akahitimu na kutunikiwa cheti alafu baadae wakaamua kumnyanganya cheti kwasababu zozote zile,wataweza kumnyanganya na maarifa waliyomfundisha?
 
mayenga

mayenga

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2009
Messages
3,994
Points
2,000
mayenga

mayenga

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2009
3,994 2,000
Wewe kweli kishada umekosa upepo, naona umejifungia ndani ukaandika hii simulizi...ungeandika kiingereza kumbe na wewe mswahili.
Ahaaaaaaaaaa!!nimeamini kweli kwamba post ya leo haina mwenyewe,si CCM wala CHADEMA!
 
Radhia Sweety

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Messages
4,443
Points
1,500
Age
33
Radhia Sweety

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2011
4,443 1,500
Hivi chuo kikimfunda mwanafunzi hadi akahitimu na kutunikiwa cheti alafu baadae wakaamua kumnyanganya cheti kwasababu zozote zile,wataweza kumnyanganya na maarifa waliyomfundisha?
Maarifa yanabaki
 
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2006
Messages
11,505
Points
1,250
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined May 5, 2006
11,505 1,250
Wewe kweli kishada umekosa upepo, naona umejifungia ndani ukaandika hii simulizi...ungeandika kiingereza kumbe na wewe mswahili.
Hivi wewe umemwelewa jamaa anasema nini? Mimi nimetoka kapa.
 
Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
9,348
Points
2,000
Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
9,348 2,000
Weee njoo ondoa upuzi wako huku! Mh Ben haitaki na ritz pia anaikimbia,nakupa siku kumi na nne ukairekebishe kabla ya kuirudisha tena mbele ya majaji sawa?
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,492
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,492 1,250
Subirini na mimi nilale,nikiamka ntakuja na post yangu
 
Field Marshall ES

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2006
Messages
12,659
Points
0
Field Marshall ES

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2006
12,659 0
- It should never be a CCM's interest kwa Chadema kufa, hapana CCM interest inatakiwa kuwa Chadema iliyodhoofu kama sasa, we have them on the right corner hawana hoja wala hawana mgombea Urais 2015, this time hawawezi kum-sideline Zitto hivi hivi lazima kutakuwa na kafara and that is CCM's interest,

- CCM's interest should never be kufa kwa Chadema, hapana!!

Es!
 
K

kigoda

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
1,782
Points
1,195
K

kigoda

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
1,782 1,195
Wewe kweli kishada umekosa upepo, naona umejifungia ndani ukaandika hii simulizi...ungeandika kiingereza kumbe na wewe mswahili.
Huyu jamaa bwana nadhan hata yeye mwenyewe
ukimuuliza alikua anamaanisha nn hatakujibu.
 
nyabhingi

nyabhingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
13,659
Points
2,000
nyabhingi

nyabhingi

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
13,659 2,000
hadi sasa ccm wameduwaa na resilience ya chadema,for mrema was easy kumpandikiza na kusababisha maafa lakini kwa huyu kijana wao waliyempandikiza kakutana na intelijensia kali kama ya CIA...
 
Forum statistics

Threads 1,296,411
Members 498,625
Posts 31,246,036
Top