Watanzania tuwe macho na hawa viongozi wetu.Mnakumbuka Kikwete alikuwa na utaratibu wa kutembelea wizara na idara mbalimbali za serikali?Kikwete alisifiwa sana kwa hatua hii lakini leo hii nani...
Ni ukweli usio pingika kwamba ccm ilisaidia tukapata uhuru wa bendera kupitia kwa Mwl J.K.Nyerere.Na mawazo aliyokuwanayo Mwl yalikuwa ni mawazo mema ya kuleta maisha bora kwa kila mtanzania...
Bwana Kinana hivi mapato yake yanaonekana kwenye vitabu vya CAG? Au ndio mradi wa watu binafsi? Hivi lengo lake ni kukodishwa tu? Hivi gharama za CCM za mgombea urais hazijazidi kweli? Ndege...
KISANDU-BAADA YA DKT.SLAA KUONEKANA ANA KADI MBILI,
TAARIFA KWA UMMA.
KISANDU-BAADA YA DKT.SLAA KUONEKANA ANA KADI MBILI,
UCHAGUZI WA URAIS URUDIWE
Sasa watanzania ndio watajua kwanini...
Tafsiri ni hiyo, yaani haiwezekani CCM ikapuuzia kuwa jambo hilo ni dogo. Ni aibu isiyo kifani na nimwanzo tu wa kufikia ukingoni kwa dhulma, mabavu, ghilba na hila nyingi wanazobuniu kila siku...
It's believed, "Those who come last enter with advantage. They are born to the wealth of antiquity. The materials for judging are prepared, and the foundations of knowledge are laid to their...
by Alex Nicholaus Thomas Mushi .
Kwa dhati ya moyo wangu nimesikitishwa sana na taarifa zilizozagaa kwenye vyombo vya habari kuhusu kujiuza kwa dada zetu wa UDOM. Wasomi ambao wana Dodoma na...
Julius Magodi, Dodoma
SUALA la kuwapo kwa majaji wasiokuwa na sifa nchini limeingia katika sura mpya baada ya Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu kusema atawasilisha hoja ya...
Ndugu wanaJF,
Mimi ni kijana mwenzenu natamani sana kugombea Ubunge mwaka 2015 kupitia jimbo la Kyela, lakini nashindwa kuelewa ni vitu gani napaswa kuwafanyia wananchi wa Jimbo hili kabla ya...
Nchi ya India hutoa upendeleo wa asilimia 30% ya nafasi za uongozi katika halmashauri za vijiji kupitia sheria yao ya mwaka 1993.
Taarifa ya benki ya dunia inaonyesha kwamba rushwa katika...
Tanzania Nickel Overview Just about every mineral known to exist in the earth's crust can be found in Tanzania, and some appear in copious quantities. Apart from gold and diamonds, Tanzania also...
A.mdogo wangu Mnauye mimi mbona sikuelewi unaniacha mbali kwa uanasiasa wako ni kwa ajili ya maslahi ya Watanzania ikiwemo familia yako na wewe mwenyewe au ni yako binfsi.
Ninashindwa...
Katika kikao cha siku mbili cha kamati kuu ya chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) kilichomaliza jana majira ya usiku kimejadili na kuazimia mambo yafuatayo; Kwa mukhtasar…...
Ndugu yangu wa Jamaica Morgan........aliwahi sema.....kuwa wazungu wakiitembelea Jamaica pamoja na sifa zote wazisikiazo wakiwa mbali, wakipita mtaani hukuta watu wamenuna..........sura...
Kamati Kuu ya CHADEMA inapokutana katika siku hizi mbili ikitoka na tamko jingine la kuiomba serikali au kuitaka serikali ifanye a, b na c utakuwa ugomvi.
Ije na muongozo kwa viongozi wake...
Usiku wa kuamkia leo Kauthary Bashe aliiwakilisha familiaya Bashe kwenye fundraise ya "Join the Chain" ya M4C iliyofanyika jana SNOWCREST HOTEL Arusha na kufanikiwa kwa kiwango cha juu sana kwani...
Kama mnataka kuanzisha viwanda vya watu binafsi ni ruksa. Lakini hivi vya uma mnavyoshirikisha watu wachache mimi sielewi maana ni vyetu wote.
Hii kauli baba wa taifa ilifaa kweli kufuatwa na...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA.
KULAANI DHIDI YA PROPAGANDA CHAFU ZINAZOLENGA KUMCHAFUA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA DR.WILLIBROD P.SLAA NA KWA KITENDO CHA...
Written by Stonetown (Kiongozi) // 15/12/2012 // Makala/Tahariri // 3 Comments
Wakati harakati za mchakato wa Katiba na madai makubwa ya wananchi ya kutaka suali la Muungano wa Zanzibar...
Habari zilizotolewa na kituo cha habari cha kimataifa cha CNN jana usiku kilikuwa na mjadala uliochukua takribani dakika 15 huku wakijikita zaidi kuhusu jinsi serikali ya Tanzania inavyoendeshwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.