Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF, hii taarifa inastua lakini ndivyo ilivyopangwa itokee na itatokea tu! Nimekuwa katika kufuatilia kuunganishiwa umeme mtaani kwetu kutoka TANESCO. Nimefanya ufuatiliaji wa muda mrefu hadi...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Ndg zangu. Kila siku zinalaumiwa baadhi ya wizara, hasa ya Elimu, Mambo ya ndani na nyingine kadha wa kadha. Ila swali langu je ni wizara au idara ipi iliyo makini kama zote si sawa kwa utendaji...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Mgogoro mkubwa unaoendelea "kuitafuna" Manispaa ya Bukoba kati ya madiwani wa CCM na meya wao (CCM) leo umeibuka tena baada ya madiwani kadhaa kutoka nje ya kikao wakipinga mojawapo ya hoja...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeshangazwa sana na waziri mwenye dhamana kututangazia uma wa Tanzania kuwa mkataba huu ni wa wazi kwa wananchi. Swali ni nini kimetokea hadi uwe wa wazi wakati tumezoea mkataba ni siri ya nchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakubwa, Kuna post ilirushwa humu jamvini kuwa waheshimiwa hao kwa sasa wamejitenga na wananchi,hawapatikani na wako busy sasa kujiicha na wapiga kura wao na eti mwisho wao na CHADEMA hapa Mwanza...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
KASI ya Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), kushikia bango tatizo sugu la maji katika Jiji la Dar es Salaam, ni wazi jana ilionekana kumshutua Rais Jakaya Kikwete. Kwa muda mrefu sasa...
0 Reactions
95 Replies
8K Views
The only way to work out on this political ambiguity! Metadata usually hide information that can embarrassingly lead to revelation of secrets resulting in leakage of business deals, hidden...
67 Reactions
208 Replies
26K Views
Post hii naileta hapa kwenye jukwaa hili nikiwa na matumaini kwa wanajamvi pamoja na mengine kunisaidia masuala ya kisheria imekaaje, Mimi ni mtumishi wa MAMLAKA YA RELI YA TANZANIA NA ZAMBIA...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wafuasi wa CHADEMA waliongozwa na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika ambao walikuwa wakipeperusha bendera za chama chao na kuimba nyimbo mbalimbali huku wakidai maji. Hata hivyo, kutokana na hali hiyo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
2015: Urais wa damu Jumatano, Machi 20, 2013 04:42 Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Salaam wana JF Angalizo dogo kwa wana mageuzi. CCM wanaihujumu CHADEMA kwenye level ya juu zaidi kuliko CHADEMA wanavyofikiria. Inaonekana intelijensia ya CHADEMA inai- underestimate...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Siku chache zimepita baada ya kupangua safu ya uongozi uliokuwa haukubaliani nae katika sakata la ile kampuni ya kiuhuni ya WTM. Habari tulizonazo ni kuwa wakurugenzi wapya na waliobaki pale TBS...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna sintofahamu kubwa kati ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini(DPP) na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam juu ya suala la Mkuu wa Idara ya Usalama wa CHADEMA,Winfred Lwakatare...
11 Reactions
132 Replies
11K Views
Kijiografia Dodoma ni mji ambao upo katikati ya Tanzania,ni mji ambao ni rahisi kufikika kutoka pande zote za nchi.Kiuchumi ungerahisisha sana ukuwaji wake pamoja na miji mingine kiurahisi kama tu...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
HALI ya kisiasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inaonekana kuingia doa, baada ya kukamatwa kwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa chama hicho, Wilfred Lwakatare...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
• HUENDA WAKAPATA DHAMANA LEO na Mwandishi wetu WAKATI Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilfred Lwakatare akifikishwa kizimbani kwa makosa ya...
5 Reactions
66 Replies
7K Views
Taarifa za uhakika nilizozipata muda mfupi uliopita ni kwamba mkurugenzi wa Kmapeni na Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Msafiri Mtemelwa, kesho saa tatu asubuhi ameambiwa...
3 Reactions
78 Replies
7K Views
============================ UPDATES ============================ Update 1: Mpaka saa 4 kamili, Lwakatare na Ponda walikuwa wameshafikishwa mahakamani ingawa Lwakatare hajasomewa mashtaka...
14 Reactions
536 Replies
50K Views
Nimekuwa nikifanya tathimini za hawa wahe ambao kwa muda mrefu wamekuwa katika misuguano ya chini chini na makundi hasimu ndani ya chama chao cha ccm. Pamoja na kwamba ni maafisa waandamizi wa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Polisi wambana Lwakatare Bakari Kiango na Nuzulack Dausen, Mwananchi Polisi wamezidi kumbana Mkuu wa Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare baada ya kupekua nyumbani kwake kwa siku ya pili...
3 Reactions
111 Replies
12K Views
Back
Top Bottom