Nimefarijika sana na kazi anazofanya Mbowe, niko Shinyanga. Jana ilikuwa siku muhimu sana kwa ukombozi wa nchi hii.Sasa kanda ya Ziwa Mashariki iko hewani, wasukuma wantuzu, wasukuma wa Dakama na...
Wakati akiingia madarakani rais Kikwete aliahidi kushughulikia ufisadi uliofanyika wakati wa mwisho wa utawala wa Benjamini Mkapa. Baada ya kuingia madarakani akaanza kukwepa kuongelea suala hilo...
Tanzania ni ya tatu kwa umasikini kwasababu hizi
1 miundo pinu
2 aina ya elimu ya kikokoloni
3 rushwa
4 tekinolojia
5 kutokujitambua
katika sababu zote kuu ni rushwa ukijaribu kuangalia...
Zipo dalili za wazi kwa hapa nchini kwa sasa kuwa huwa wanafanya timing ya mambo fulani yatokee, ili kuwasahaulisha wananchi kuhusu tukio kubwa lililotokea kabla.
Usiku wa tarehe 6/03/2013...
Miaka michache iliyopita tuliweza kukwepa kuharakishwa kwa shirikisho la Afrika mashariki kwa kisingizio kuwa
hatujajiandaa katika mambo mengi tu likiwepo la mfumo wa umilikiji ardhi, elimu...
Kama inavyojulikana kuwa katika CCM hakuna demokrasia bali kupangana. Kuna tetesi kuwa wameshaanza kujipanga. Bagamoyo atasimama Ridhiwani Kikwete na Chalinze atasimama Madega. Usiniuliza habari...
PAMOJA na vyombo vya dola kupiga chenga katika kuwakamata watuhumiwa wa matukio ya kutekwa, kuteswa na kuumizwa kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk. Stephen Ulimboka na Mhariri Mtendaji...
Wakuu
kuna bandiko nimeliona sehemu,
Rais amewataka vijana wawe wazalendo, na wasiwaunge mkono wale wanaoisema nchi vibaya!!
na yeye haoni ni wapi nchi imeteleza!
Wana JF....
Je, ni kweli...
Chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kimeibwaga CCM katika uchaguzi mdogo wa vijiji na vitongoji ambapo kimechukua vijiji vyote vinne....matokeo ya vitongoji bado yanakusanywa lakini...
Baada ya uongozi wa juu CCM kugundua kwamba kwa sasa pamoja na Propaganda zote walizotumia kuichafua CHADEMA na hata kujaribu kuipaka Uchafu wa Udini, Ukabila,Ukanda na sasa Ugaidi kushindwa...
Mahakama ya wilaya ya Geita imemhukumu mtuhumiwa na wenzane wengine 6 kutumikia jela kifungo cha miaka mitano. Mtuhumiwa na wenzake sita wamefungwa kwa kosa la kuchoma moto nyumba ya Mwanakijiji.
Kwanza kabisa napenda kuwaomba radhi wana jf, wa thread hii kuipost leo, ni hii ni kwa sababu ya kukosa umeme ambapo hapa mwanza baadhi ya maeneo tunapata umeme kwa saa 10 tu, na ni mgao wa...
Kuhusiana na kashfa ya jaribio la kuiba fedha kiasi cha Tshs 3bilioni lililofanywa na ofisa wa Ikulu, Ikulu kupitia Balozi Ombeni Sefue, imetoa tamko kwamba imemshusha cheo Itatiro. Wengi...
Inashangaza kuona kwamba Nd. Omega Ngolle anasema kwamba ofisi ya DPP haioni sababu ya kuwataja wahusika katika Kampuni ya Kagoda Agr. Ltd.
Hili ni jambo ambalo linawakatisha tamaa wananchi...
Dear Friends and Colleagues
I hope this e-mail finds you well. We are currently conducting an exciting research which investigates the possibility of introducing a remote electronic voting...
Neno Jasiri (confident) katika kamusi/dictionary ya Oxford inaeleza hivi
1 feeling confidence in oneself.
2 feeling certainty about something.
Kwa tafsiri isiyo rasmi
1.Ni hali ya...
Ni wazi kwamba dhumuni kuu la CCM kutengeneza skendo hii ya "Lwakatare" ni kuichonganisha CHADEMA na waandishi na vyombo vya habari. Kwa miaka ya karibuni tishio kubwa kwa CCM limekuwa ni vyombo...
TANESCO mbona kuanzia November hii umeme unakatwa karibia kila siku? Leo nusu ya Dar haina umeme kulikoni?
Au CCM wameuchukuwa umeme wao Dodoma?
Ninapoandika hapa ni group la pili la wafanyakzi...
Salamu wana Jamii!
Habari ndo hii hapa.
Wasalaamu
JUKWAA LA WA WAKRISTO TANZANIA (TCF)
"ATUKUZWE MUNGU JUU MBINGUNI, NA DUNIANI IWE AMANI KWA WATU ALIOWARIDHIA" (Lk.2:14)
TAMKO LA PAMOJA LA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.