Lwakatare, Ludovick wafikishwa mahakamani Kisutu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lwakatare, Ludovick wafikishwa mahakamani Kisutu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MTENGETI, Mar 18, 2013.

 1. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2013
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,360
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  ============================
  UPDATES
  ============================

  Update 1: Mpaka saa 4 kamili, Lwakatare na Ponda walikuwa wameshafikishwa mahakamani ingawa Lwakatare hajasomewa mashtaka.

  Update 2: Hadi saa 4 na nusu bado Lwakatare alikuwa hajasomewa mashtaka

  Update 3: Saa 8 mchana
  =============
  MORE UPDATES
  =============

  =============================
  HABARI KAMILI MAHAKAMANI LEO
  =============================

   
 2. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2013
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,360
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  tunasubiri leo nimefunga kwa ajili hiyo tu! Eeeh Mwenyezimungu atupe subira kwa kipindi hiki kigumu tunachopitia dhidi ya Dhulumati CCM nay Vyombo vyake vya ukandamizaji
   
 3. C

  CT SCan Mchina JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2013
  Joined: Mar 13, 2013
  Messages: 1,245
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tunasubiri.
   
 4. masanjasb

  masanjasb JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2013
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,365
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kumbe tuliofunga wengi eeeh? Inshallah Allah atafungua njia tu
   
 5. M

  Magesi JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2013
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Update wakuu
   
 6. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2013
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 11,535
  Likes Received: 6,785
  Trophy Points: 280
  kuunganishwa na ponda ni dalili za kumnyima dhamana lwakatare
   
 7. K

  KING KONG IV Member

  #7
  Mar 18, 2013
  Joined: Mar 17, 2013
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Let's wait and see!
   
 8. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2013
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,333
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mpaka saa nne hakuna news yyte jamani mbona magamba yanataka kutuvuruga!!!!!!!!!!!!!
   
 9. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2013
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,745
  Likes Received: 987
  Trophy Points: 280
  Ubakaji wa demokrasia in motion!!!! Kila la heri Lwakatare!! Wao wanategemea udikteta ila upande mwingine wanategemea nguvu ya Mungu na umma!! Iko siku itakuwa siku na siku hiyo aijua Mungu pekee aliyeziumba mbingu na nchi!! Ikawa jioni ikawa asubuhi siku ya siku!!
   
 10. M

  Mtz.mzalendo JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2013
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngoja tuone filamu:muuaji atakavyopewe dhamana,lakini ponda aendelee kunyimwa dhamana...hiyo ndio tz bwana!
   
 11. commited

  commited JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2013
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,619
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mkuu Yeriko leo hayupo pande hiyo, atupatie updates huko... tafadhali ndugu wengine mliopo huko mtusaidie updates
   
 12. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2013
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Updates zaidi tunazisubiri.
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2013
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,177
  Likes Received: 877
  Trophy Points: 280
  kuna wauwaji kama ccm au unaishi kwa unafiki....
   
 14. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #14
  Mar 18, 2013
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,405
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mwisho wasiku utasikia ameondolewa mahakamani bila kusomewa mashtaka yanayo mkabili.
   
 15. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2013
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Sijaelewa wanaosema wanafunga ili Lwakatare asikubali kuyatenda hayo aliyokuwa anayapanga au afikishwe mahakamani ukweli ujuikane au aachiwe maana anaonewa? Naomba kueleweshwa hapo.
   
 16. nyamemba

  nyamemba JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2013
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 689
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
  hakika huu ni uonevu usiokuwa na mipaka na imefika wakati watanzania tukatae hii dhuluma dhidi ya wanyonge
   
 17. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2013
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,333
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Ccm inapambana kujinasua katika hili lakini ukweli wananchi tunajua matukio haya yanaratibiwa ikulu magogoni sasa wanatafuta namna ya kujinasua.
   
 18. I

  Independent Voter JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2013
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hivi ni nani alimtuma lwakatare kupanga mikakati ya kuwalwakatare na kuwasilence waandishi wanaoonekana kuipa changamoto chadema?!!ni mbowe ama slaa binafsi au kamati kuu ya chadema kwa baraka za mkutano mkuu au ni utashi wake binafsi tu?anaejua atujuze na je haiwezekani lwakatare akawa anatumika kwa malipo flani kuiangamiza chadema?
   
 19. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2013
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,486
  Likes Received: 1,354
  Trophy Points: 280
  Mungu yupo,itafahamika 2
   
 20. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2013
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,300
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  Watashindana, lakini hawatashinda
   
Loading...