Wanajavi natanguliza samahani kwa watakao kwazika kwa namna moja au nyingine na hili....binafsi nikiwa kijana mpenda mabadiliko ktk nchini yangu hii napata shida sana na ni muda sasa kwanini mtu...
"Ndugu zangu,
Hatari kubwa ninayoiona mbele yetu ni kwamba, uzalendo, utu na udugu miongoni mwetu Watanzania unaondoka kwa kasi ya ajabu, nyuma yake kumeachwa ubinafsi uliotamalaki na wenye...
Bodi ya mamlaka ya bandari TPA imewafuta kazi rasmi watumishi wengine 4 baada ya kuwasimamisha kwa uchunguzi, waliofutwa kazi ni Devid Mranda [Mkuu wa usalama],Ayubu Kamti [Mkurugenzi...
Sijui ni singo gani inafuata, maana bendi yetu CCM,hawachuji, hizi ni baadhi ya singo za hivi karibuni,kadi 2 za Dr Slaa,mwangosi(RIP), nani achinje,gesi ya ntwara,matokeo ya form 4,kibanda(pole...
Watanzania hamjawahi kupigana hata siku moja - hamjawahi kuona mauaji makubwa huwa mnasikia tu redioni na kwenye luninga zenu.
Harufu ya damu inanukia, dharau zimezidi kati ya watawala na...
Mimi ni miongoni mwa watu wasioiamini video iliyowekwa humu jamvini kuhusu Rwakatale. Naona video hiyo imetengenezwa kwa lengo la kuwabebesha CHADEMA mzigo wa laana na shutuma za mauaji walionao...
Ndugu wanajanvi!
Naomba kutumia jamvi hili kuongea na Mwampamba kumpa ushuhuda wa usaliti wa CCM;
Mtela hata mimi niliwahi kuwa mwanachama na kada wa CCM, na nimewahi kusalitiwa na CCM, Wakati...
Naomba niingie kwa style mpya ambayo wana jf hamjaizoea.Nimekuwa mwanachama mwaminifu kwa CHADEMA kwa miaka kadhaa lakini kwa mambo yanayoendelea ndani nna nje ya chama natabiri CCM kuendeleza...
Nimeshangazwa na waziri mwenye dhamana kutangaza kwa umma wa watanzania kuwa mkataba huo ni wa wazi kwa wananchi.
Swali langu:
Kuna nini kimetokea mpaka uwe wa wazi? Kama imewezekana huo kuwa wa...
Habari wanaJF!
Ridhiwani Kikwete alikuwa akihojiwa na Star Tv amesema ahusiki kwa namna yeyote na yaliyoandikwa kwenye ukurasa wake wa Facebook kuhusiana na suala la Absalom Kibanda.
Amesema...
Wilfred Lwakatare Ameachiwa Huru na mahakama Kisha kukamatwa tena eneo la mahakama kujibu shtaka lingine
Taarifa nilizopata kutoka viongozi wa CHADEMA walioko mahakamani ni kwamba Lwakatare...
Baada ya filamu maarufu iliyotoka hivi karibuni, kila dalili zinaonyesha magogoni wamehusika. Leo nimesoma Mh amealikwa Hollywood kwa mazungumzo. Mh nakupa tahadhari, maana upo katika list ya...
KITAIFA
Na Aidan Mhando, Mwananchi
Posted Jumatano,Marchi20 2013 saa 20:7 PM
KWA UFUPI
Wafuasi wa Chadema waliongozwa na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika ambao walikuwa wakipeperusha...
Masaa machache yaliyopita kamanda Zitto ka tweet ujumbe huu...
Zittokabwe: Naingia kambini 835KJ. Kwaherini kwa muda kidogo hapa twitani. Nawatakia ndugu zetu wa #Kenya uchaguzi wa amani kesho...
Tzania tangu uhuru mpaka sasa,marais we2 wamekuwa wakitembelea nchi mbalimbali hapa kwa sayari ye2,hebu nikulze jioni hii mtz mwenzangu,ni rais yupi kati ya Jk Nyerere,Ally Hassan Mwinyi,Benjamin...
Wadau wa haki za binadamu,wapenda mabadiliko tuelezee in advance; Nini CCM watakuja nacho? kwani wananchi wakielezwa mapema ndio safi kuiangamiza CCM.
Mimi naanza kwa kusema kwa kuwa chama...
HATIMAYE yule mkuu wa usalama wa mamlaka ya bandari[TPA] aliyesimamishwa kwa ubadhirifu bwana Devid Mranda leo amekabidhiwa barua rasmi ya kutimuliwa, akikabidhiwa barua hiyo hii katika ukumbi wa...
Kutoka katika taarifa ya habari ya TBC saa mbili usiku wa 20/03,mkuu wa kaya amedadisi maswala yanayowasibu wakazi wa eneo hilo lakini katika hali isiyotarajiwa akaamua kukutana na viongozi wa...
Juzijuzi nimesikia kwenye vyombo vya habari kwamba raisi Kikwete alikuwa na ziara Morogoro, baada ya hapo sasa hivi anaendelea na ziara mkoani Dar es Salaam.
Najiuliza ni kwa nini Kikwete...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.