Nimeshangazwa na tabia ya ajabu ya mfumo wetu wa serikali Tanzania!!. Wafanyabiashara wawekezaji wanakutana na wanasiasa wa Tanzania ambao hawana ujuzi wowote wa biashara au uwekezaji. Mawaziri...
Maskini Watanzania tunaenda hatua mbili mbele kisha tunarudi tatu nyuma ,ni kwa maslahi ya watu wachache wasiopenda bibi yangu kule kijijini asipate huduma bora ya afya ni hao hao ikifikia wakati...
Kwa muda sasa nimekuwa nikatafakari mwenendo wa hizi taasisi nyeti za serikali hasa usalama wa taifa na jeshi la polisi.Taarifa mbali mbali katika vyombo vya habari na hata maoni ya watu yamekuwa...
Movie ya Kwanza ya Kinaijeria niliyoiona miaka ya 90, ilikuwa ya wake wenza. Mke mdogo aliolewa kwa kumroga mume. Kisha akaiba fedha za mume na kuzitumbukiza katika begi la mke mkubwa, maskini mke...
Baada ya Rwakatale ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kagera kushikiliwa kwa muda sasa na jeshi la polisi, sakata hilio limeibua mambo mengi mkoani Kagera na mengine ni ya zamani...
Kila kitu ambacho kingeweza kuwa tatizo katika harakati za kuikomboa nchi hii toka kwa ukandamizaji na ufisadi huu wa ccm,Mungu ameviruhusu vyote vitokee mapema kabisa ili chama(CDM) kipite katika...
Hivi siku hizi Bongo kuna uzalendo kama ulionyeshwa enzi za vita ya kagera. Angalia jinsi teenagers walivyojitolea mhanga kuipigania nchi yao? nina uhakika leo Tanzania or Tanganyika au vyovyote...
LONG WALK to FREEDOM - NELSON MANDELA (madiba)
WHAT lessons can we draw from this powerful Experience that could be practical in our FIGHT today for a BETTER TANZANIA...
Mahakama inapaswa kuwa mhimili wa Taifa.
Ni aibu kubwa kwa mahakama kuwa mhimili wa maovu yanayofanywa na Chama tawala.
Imekuwa ni kawaida ya CCM na serikali yake kila wanapoona wameharibu na maji...
Wana JF
Najua na naamini kuwa migogoro haijengi na sio mizuri kwenye chama hata familia,
Bw Mwita Waitara anapalillia migogoro CDM Tarime, amemtuhumu Heche na Makao makuu kuwa chanzo cha yeye...
Inasikitisha tena saana kushuhudia nchi inazidi kugubikwa na simanzi kila kukicha. Makundi yote ya jamii ya ya Tanzania yameguswa na msukosuko kwa namna moja au nyigine. Kinachosikitisha kwa...
Nimeukumbuka ule mchezo wa karata tatu.
Watu wenye tamaa ya kupata utajiri bila kufanya kazi huwa wanamuona mchezeshaji kama mkombozi. Matokeo yake wanaacha kazi na kutupia savings zao zote...
Habari tulizozipata kutoka gazeti la raia mwema lililotolewa leo ni kwamba waziri huyu amekatiwa mshiko wa nguvu kiasi cha kukubali kampuni iliyosababisha ekelege afukuzwe kazi.
Inasemekana kuwa...
jAMANI HIZISARAKASI ZA SERIKALI YETU ZITAISHA LINI?? NAAMINI ASILIMIA KUBWA YA WANJF NAWATZ WANAKUMBUKA VIZURI SAKATA LA UUZWAJI WA WANYAMAPORI WETU WAKIWA HAI KWENDA UARABUNI.
BIASHARA HIYO...
Ni Jumatatu tar 18 march 2013 katika kijiji cha Mahaseni Nronga Machame wilaya ya Hai mkoa wa kilimanjaro nakutana na Mzee Jonathan Elibariki Lema baba mzazi wa mbunge wa Arusha Mjini Kamanda...
Wana JF mnaikumbuka salamu hii ya enzi za mwalimu?
Kidumu Chama cha Mapinduzi,
Idumu siasa ya Ujamaa na Kujitegemea,
Zidumu Fikra Sahihi za Mwenyekiti wa CCM,
Ningependa wana JF tujadiliane...
Huko nyuma ktk moja ya mada zangu JF nilieleza habari nilizoelezwa na mtonyaji wangu Serikalini kwamba kuna mipango mibaya ya kuihujumu CHADEMA ili kuithibiti kabla ya 2015
Nilielezwa kwamba...
TAARIFA RASMI KUTOKA Mtandao Wa Kijamii Wa MJENGWABLOG
Sunday, 17 March 2013 | Written by Mjengwa Blog
Ndugu zangu,
Kutokana na kuwepo kwa taarifa rasmi...
Wakuu,
Kwanza niwatakie siku njema iliyoambatana na uwezo aliotujalia Mwenyezi Mungu kiasi cha kuendelea kupumua na hivi sasa tunajadili mustakabali wa Taifa letu.Ni ukweli usiofichika CHADEMA...
Jaji warioba amedhihirisha dhahiri shahiri kuendelea kutowatendea haki wazanzibari kwa hali yeyote ile, hilo lilianza kuonekana mapema nini madhumuni yake katika kuikandamiza sauti ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.