Nimefuatilia kwa makini sakata hili la video ya uchochezi iliyotolewa kwenye mtandao na kuchukuliwa kwa uzito wa juu na kasi ya ajabu na jeshi letu la Polisi.Pia tamko la CHADEMA kupitia katibu...
Jumapili,Marchi17 2013
Dar es salaam. Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zipo mbioni kuanzisha mchakato wa kuandaa mfumo wa pamoja wa Elimu na Mitalaa, itakayosaidia wananchi wa...
Majibu ya maswali milioni yamekaa kimtego mtego kila ukijaribu kupata jibu la swali moja swali jingine linajitokeza, Zitto? Ben Saanane,Mwampamba? Lwakatare? unganisha dots hapo utapata jibu la...
Wanabodi,
Kuna tetesi kuwa kampuni ya Pan Africa Energy (PAE) ambayo inachimba na kusafisha gesi asilia katika kisiwa cha Songosongo wilayani Kilwa mkoani Lindi na kisha kuisafirisha kwa njia ya...
Kamati mpya za bunge zilizoundwa hivi majuzi tu hapa zimepata wenyeviti. Kamati iliyokuwa na uchaguzi mkali ni ile ya tamisemi ambapo mwanasiasa chipukizi na mahiri katika kujenga hoja, Dkt...
Salaam jf
napenda kutumia jukwaa hili kumueleza waziri wa usafirishaji na uchukuzi kuwa kwa siu ya ytat mfululizo jimbo lake la ubunge kyela lipo gizani. Hakuna sughuli yoyote inayotegemea umeme...
JUMATANO, MACHI 20, 2013 05:15 NA ALOYCE NDELEIO
MIAKA ya 1990, Tanzania ilihama kutoka kwenye mfumo wa chama kimoja cha siasa na kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi na hivyo kuruhusu uwepo wa...
Wakati tukiwa tunaendelea kulumbana na siasa zetu uchwara zenye majitaka mengi na kuchafuana kusikoleta tija wala maendeleo ya msingi wowote...na huku wengi wetu pamoja na mabishano haya yote...
Habari nilizopata kutoka ndani ya CCM ni kwamba chama hicho sasa kimeanza kupata hofu kwamba kinaonekana kushindwa mbinu na mikakati yote kilichoandaa na kutekeleza katika kuimaliza Chadema kabla...
Haki ya mtu huwa haipotei, Chama cha NCCR-mageuzi haki yetu imerudi maana tulikuwa tunasoma upepo tukagundua vyama vyote vina mfumo usio wa kizalendo, NCCR-mageuzi chama makini kinachotarajia...
Ktk sakata linaloendelea la 'filamu' ya Lwakatare, mambo mengi yamejiri. mojawapo ni kamanda Ben wa Saanane kutaja watu ambao wanapaswa kuhojiwa kuhusiana na kipigo cha mwandishi Absalom Kibanda...
Nimeshangaa kukuta mwanasiasa msomi, ambaye kwa sasa ni mbunge akipost vitu vya kipuuzi namna hii kwenye facebook yake.
HKigwangalla, kumbuka wewe ni role model ya vijana wengi, na tena...
Akihutubia ktk Mkutano wa Hadhara uliofanyika Maeneo ya TABATA LIWITI Mh. Lissu alionyeshwa kushangazwa na idadi ndogo ya watu waliohudhuria mkutano wkt maanadalizi yalikuwa ya muda mrefu,"...
KITAIFA
Na Patricia Kimelemeta, Mwananchi
Posted Jumanne,Marchi19 2013 saa 21:35 PM
KWA UFUPI
Mpango huo unadaiwa kusukwa Juni mwaka jana kwa maofisa haokuitaka Wizara ya Fedha kutoa kiasi...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa amezungumzia video aliyorekodiwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama hicho, Wilfred Lwakatare na kusema ni ya...
Nimesoma leo kuhusu Kamati ya Bunge kuhoji ya manufaa NSSF katika uwekezaji (Kamati za Bunge zisirudie makosa ya nyuma - Uchambuzi - mwananchi.co.tz). Ukiangalia kwa wepesi, unaweza kudhani kwamba...
Wanangu, leo nimeamka nikiwa na siha njema
kabisa na kufurahi kwamba sasa mmeanza
kuyaona yale ambayo labda sisi watu
tunaoonekana wazee, mnaweza kuyaangalia
kwa kina na kuyatafutia ufumbuzi...
Kuna mambo ya msingi katika Tamko hili naomba tujikumbushe.
Machi 07, 2013
Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu ambao ni kusanyiko la zaidi ya asasi 70 za kiraia zinazotetea haki za binadamu...
Udhaifu wa Chama cha Mapinduzi - Chama ambacho kimeitawala Tanzania tangu kilipoundwa hadi leo. Kwa maana hiyo, ndio chama pekee ambacho kimekuwa na fursa ya kuweka mipango ya kuiendeleza hii...
Unajua ukitaka kujua tambala la kudekia kama lina maji kiasi gani likamue.
Nasema hivi kwa sababu ya matukio yanayoendelea na kuwa propagated na CCM na wajukuu zake.
Kwa hili tukio la video ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.