Mkurugenzi Kampeni na Uchaguzi CHADEMA kuunganishwa na Lwakatare? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkurugenzi Kampeni na Uchaguzi CHADEMA kuunganishwa na Lwakatare?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Abdull Kazi, Mar 20, 2013.

 1. A

  Abdull Kazi JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2013
  Joined: Dec 29, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Taarifa za uhakika nilizozipata muda mfupi uliopita ni kwamba mkurugenzi wa Kmapeni na Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Msafiri Mtemelwa, kesho saa tatu asubuhi ameambiwa afike kituo cha Polisi Central kwa ajili ya mahojiano.
  Ingawa haijawekwa wazi ameitwa kwa ajili ya mahojiano ya namna gani ni djhahiri itakuwa ni juu ya sakata la mkanda unaomuonyesha lwaakatare akipanga njama zinazodaiwa kuwa za kihalifu.

  wakati huo huo kuna mkakati mzito wa ndani ya Chama cha Mpainduzi unaoendelea kwa sasa kwa ajili ya kumrubuni mmoja wa wanasioasa nchini ili aitishe mkutano na waandishi wa habari kuelezea suala zima la kukamatwa Kwa Lwakatare, Madhumuni yakiwa ni kuonyesha kuwa CHADEMA inahusika na masula ya kigaidi.

  CCM, Katika hili wanataka kujiweka pembeni bali huku maneno wanayotaka jamii ifahamu akiwa ameelekezewa huyo mwanasiasa wanayemuandaa kwa sasa.

  Tusubiri na tuone muujiza mwingine wa filamu hizi.
   
 2. H

  Haki sawa JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2013
  Joined: Oct 3, 2007
  Messages: 4,701
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Mwanasiasa anayeandaliwa ni yule Mch. Mtikila na kesho ataitisha kikao na waandishi Hoteli ya Travetine Magomeni
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2013
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Sinema hii mwisho wake sijui ni nini???
   
 4. n

  nsami Senior Member

  #4
  Mar 20, 2013
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yana mwisho wake!
   
 5. wajingawatu

  wajingawatu JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2013
  Joined: Jan 20, 2013
  Messages: 970
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Hii ndiyo inaitwa INTIMIDATION CENT PERCENT. KWA KUWA HATUWEZI KU-CLIP THEIR (CHADEMA) WINGS, NJIA RAHISI YA KUWASAMBARATISHA NI :KAMATA FUNGULIA KESI FEKI, WEKA NDANI
   
 6. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2013
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,602
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ukiwa unakufa unaanza na mambo mengi..
  Lakini mwishoe roho hungo'ooka tu!
  Ccm iko icu
   
 7. Tony Gwanco

  Tony Gwanco JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2013
  Joined: Jan 22, 2013
  Messages: 5,920
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  anatakiwa afike asipofika akamatwe bado ben na ishu ya jimbo la uzini,sumu ya zito,na post zake zenye kuonesha kufahamu suala la msaky vizur
   
 8. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2013
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 26,955
  Likes Received: 44,883
  Trophy Points: 280
  Ukiwa mtu makini utagundua kuwa kuna uwezekano wa idara ya usalama kutoa taarifa yenye kuonyesha hali mbaya kwa CCM na ndio maana sasa wanafanya kila mbinu kuidhoofisha CHADEMA.

  Tukumbuke kuwa mkuu wa kaya anapokea taarifa karibu kila siku kutoka idara ya usalama na inawezekana taarifa zinazokwenda kwa mh.zinaonyesha kuwa CCM ina hali mbaya kisiasa.Huenda taarifa zinaonyesha kuwa CCM inapoteza uungwaji mkono kwa kiwango kikubwa.Taarifa hizi bila shaka ndio msingi wa hizi "rafu"tunazoshuhudia kila kuikicha.

  Vile vile siri nyingine ni kutoka tume ya uchaguzi.Hatuwezi kujua ni kiasi gani cha kura CCM ilipata katika kila chaguzi uliopita na kama ni kura kupungua hatuwezi kujua zinashuka kwa kiwango gani hasa, ila taarifa za ukweli kutoka kwenye tume ya uchaguzi CCM wanazo..Hivyo kama kiwango cha kura kinashuka kwa kasi inaweza ikawa ni siri ya CCM na tume ya uchaguzi.Taarifa hizi pia zinaweza kuchochea "rafu" hizi za kisiasa.

  Pia,inawezekana taarifa zinazopelekwa pale magogoni zinaonyesha namna ambavyo umaarufu na kukubalika kwa CHADEMA kunavyoongezeka.Pengine kasi ya kukua na kukublika kwa CHADEMA imekuwa ni tofauti na matarajio yao na ndio imewashitua watawala na sasa hawalali usingizi.Tukumbuke vyama vya upinzani viliwahi kubezwa kuwa ni "vyama vya msimu".Sasa lazima tujiulize ni nini kimetokea kupelekea hali hii!

  Kwa maneno mengine, hizi juhudi na harakati za CCM za kutaka kuimaliza CHADEMA inawezekana kabisa ni kutokana na taarifa wanazozipata kutoka katika hizo taasisi nilizozitaja.

  Hii hofu walionayo CCM si bure kuna kitu kinawasukuma!
   
 9. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2013
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,602
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nguvu ya Mungu itawashinda dhidi ya mapepo ya ccm
   
 10. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2013
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,569
  Likes Received: 896
  Trophy Points: 280
  Watafanya mengi lakini wakae wakijua '' MWISHO WA UBAYA NI AIBU''
   
 11. C

  Concrete JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2013
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hizi ni habari za kweli, napenda kuthibitisha hilo hapa kama mdau wa.....

  Memo ya mipango hiyo kutoka juu ilivuja jana jioni hapa Ofisi ndogo ya CCM Lumumba wakati inachakatwa kwenda idara nyeti za dola ikiwa na maelekezo yafuatayo;

  1/Kuhakikisha Lwekatare hapewi dhamana leo iwe kwa gharama yoyote.

  2/Wanasiasa mamluki(eg. Mtikila, Dovutwa, Tendwa nk) yajitokeze kuchochea moto.

  3/Waandishe wa habari(TBC, Habari leo, Clauds Fm, Uhuru, Michuzi nk) watoe coverage kubwa kwa kila comment positive ya issue hii.
   
 12. K

  Kiwera Mikaeli Senior Member

  #12
  Mar 20, 2013
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 121
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Dah......CHADEMA na Watanzania nao wana Akili. Hawawezi kubadilisha maisha ya Watanzani over night. Hawaendi mahali popote pale nakwambia.

  Tuimarishe Kanda zetu zianze kupiga kazi.
   
 13. t

  thatha JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2013
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kama kuna hoja za msingi tutazipokea kwani CHADEMA ni akina mbona kwenye uchaguzi wa CCM uliofanyika DODOMA SLAA aliitisha mkutano wa waandishi wa habari na kuuzungumzia ulikuwa unawahusu? Tukae kimya tuache mdomo ni zama za uwazi, Karibuni CCM tuko tayari kuwasikiliza hasa wale tunaoitambua Tanzania na siyo CCM wala CHADEMA
   
 14. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2013
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 14,068
  Likes Received: 1,395
  Trophy Points: 280
  Uzuri jF, Tanzania Daima, raia mwema, the citizen na mwananchi ndo hununua. Hizo TV na radio hata sisikilizi
   
 15. t

  thatha JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2013
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kwishne CDM.
   
 16. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2013
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mch. Mtikila hana impact yoyote kisiasa kwa sasahivi. Kwahiyo wao wampe huo mpunga tu ili akapige porojo za ''kana kwamba''!
   
 17. G

  Gurty Yuda Member

  #17
  Mar 20, 2013
  Joined: Dec 4, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Liko wazi na linafahamika wanachofanya ccm na serikali yao.Lakn kamwe !! ! 2o15 chadema ndani,! Ukiona unasemwa sana ujue unakubalika"
   
 18. t

  thatha JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2013
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  kesho akisema vingine makofi pa pa pa pa CDM bwana kama vuvuzela vile. zikishinda vu vu vu vuuuu....zikishindwa kimyaaaaaa,
   
 19. NG'OMBE

  NG'OMBE JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2013
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 362
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  watanzania wa leo siyo wale wa mwaka 1961, wanaelewa kila kitu ccm na polisi wao wote watafia mbali 2015
   
 20. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2013
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 3,014
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  chadema wanatakiwa M4C ianze, kwa kuwasambaza BAVICHA kila kanda makao makuu wabaki magwiji tu kwa ajili ya master planning, execution ya master plan ifanywe na bavicha.Mh.Mbowe arudi HQ kwa ya planning and commanding.sasa kazi imeanza rasmi.Bahati nzuri vyombo vya habari vimeathiriwa na digitalism, kwa hiyo coverage of media has no significant effect
   
Loading...