Maalim Seif VS Nassari Arusha Jana

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,194
2,000
Makamu Wa kwanza Wa Rais visiwani Zanzibar, Seif Hamad jana ameshugulikiwa na mbunge Wa Arumeru Joshua Nassari (dogo janja) Arusha kwenye kampeni za uchaguzi kata ya Themi.
Seif alifanya mkutano relini Njiro na Nassari alifanya mkutano nyuma ya nanenane takribani mita 300 toka relini. Seif alianza then Nassari akapita kuelekea mkutanoni na ambapo seif alikuwa na watu wasiozidi 60 Nassari akazoa watu na kuhutubia maelfu. Baada ya mkutano wananchi walinsindikiza mbunge Wa Meru mpaka relini ambapo seif alishaondoka na mkutano Wa CUF ulishakwisha, Nassari akawaaga wananchi na kuelekea Meru.
Ilikuwa ajabu mbunge huyu Mdogo kumfunika vibaya makamu Wa Rais aliyekuwa akilindwa na magari 7 ya polisi likiwemo la RPC. Lema jana alikuwa kaa ya Kaloleni barabara ya ilboru na baadae sunset Elerai.
 
vyuku

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
501
225
Hapo unakosea unaposema makamo wa rais kwa kampeni za cuf,ili ipendeze zaidi tumia neno KATIBU MKUU WA CUF TAIFA,maana huko ktk kampeni hakuja km makamo wa rais,bali kaja km katibu na muwakilishi wa cuf.
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
47,190
2,000
Hapo unakosea unaposema makamo wa rais kwa kampeni za cuf,ili ipendeze zaidi tumia neno KATIBU MKUU WA CUF TAIFA,maana huko ktk kampeni hakuja km makamo wa rais,bali kaja km katibu na muwakilishi wa cuf.
Alikuja na usafiri na ulinzi wa ofisi ya makamu wa rais.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,958

Mzee wa sawa sawa atakuwa alikuwa anapima upepo wa Siasa za Arusha
 
vyuku

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
501
225
Alikuja na usafiri na ulinzi wa ofisi ya makamu wa rais.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Ulinzi ni haki yake popote ht km akienda msikitini lazima alindwe na haendi mbele ya mungu kusali km makamo wa rais kwakuwa kaenda na walinzi,ht kikwete anapokwenda dodoma ktk mkutano mkuu wao lazima awe na walinzi lkn haendi kuhutubia na kupanga mikakati ya urais pale huenda kuhutubia chama,elewa hvyo
 
Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,194
2,000
Hapo unakosea unaposema makamo wa rais kwa kampeni za cuf,ili ipendeze zaidi tumia neno KATIBU MKUU WA CUF TAIFA,maana huko ktk kampeni hakuja km makamo wa rais,bali kaja km katibu na muwakilishi wa cuf.
Mbona msafara wake uliashiria kama yuko kiserikali zaidi hata ulinzi uliokuwepo pale siyo mchezo polisi peke yake walikuwa siyo chini ya 20 na magari ya serikali saba.
 
Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,194
2,000
Ulinzi ni haki yake popote ht km akienda msikitini lazima alindwe na haendi mbele ya mungu kusali km makamo wa rais kwakuwa kaenda na walinzi,ht kikwete anapokwenda dodoma ktk mkutano mkuu wao lazima awe na walinzi lkn haendi kuhutubia na kupanga mikakati ya urais pale huenda kuhutubia chama,elewa hvyo
hivi vyeo kuvi tenganisha ni vigumu sana yaani kujua sasa ni anakofia ya uenyekiti mfano mikutano ya chama cha majangiri kufanyiaka ikulu nalo unalisemaje..
 
KYAMTUNDU

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
1,821
1,195
Hapo unakosea unaposema makamo wa rais kwa kampeni za cuf,ili ipendeze zaidi tumia neno KATIBU MKUU WA CUF TAIFA,maana huko ktk kampeni hakuja km makamo wa rais,bali kaja km katibu na muwakilishi wa cuf.
Ili IONEKANE mleta mada kakosea na wewe uko sahihi, ITABIDI utuhakikishie kwamba Maalimu SEIF hakuwa na BODYGUARD anayelipwa kwa fedha za Umma wa wa-Zanzibar....!
Ukiweza hilo utaonekana mjuvi wa mambo na si kujua kusoma na kuandika tu!
 
Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,502
2,000
Makamu Wa kwanza Wa Rais visiwani Zanzibar, Seif Hamad jana ameshugulikiwa na mbunge Wa Arumeru Joshua Nassari (dogo janja) Arusha kwenye kampeni za uchaguzi kata ya Themi.
Seif alifanya mkutano relini Njiro na Nassari alifanya mkutano nyuma ya nanenane takribani mita 300 toka relini. Seif alianza then Nassari akapita kuelekea mkutanoni na ambapo seif alikuwa na watu wasiozidi 60 Nassari akazoa watu na kuhutubia maelfu. Baada ya mkutano wananchi walinsindikiza mbunge Wa Meru mpaka relini ambapo seif alishaondoka na mkutano Wa CUF ulishakwisha, Nassari akawaaga wananchi na kuelekea Meru.
Ilikuwa ajabu mbunge huyu Mdogo kumfunika vibaya makamu Wa Rais aliyekuwa akilindwa na magari 7 ya polisi likiwemo la RPC. Lema jana alikuwa kaa ya Kaloleni barabara ya ilboru na baadae sunset Elerai.
Kwa hiyo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom