TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
Ulitoa siku 7 ukiwa meya wa manspaa ya llala lile jengo pacha na lililo poromoka liwe limevunjwa. Sasa Meya vp mbona utekelezaji hatuoni? Sie wapita njia tumechoka kupita kwa wasi wasi eneo husika. Tunakuomba Meya Silaa utembee na usimame katika maneno yako, vinginevyo utuombe msamaha kuwa siku 7 zilikuwa geresha kwetu na ulizitoa ili upate ujiko kwa sisi wananchi.
