Profesa Safari:Cuf ni chama cha wapemba


Status
Not open for further replies.
sulphadoxine

sulphadoxine

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
2,264
Likes
13
Points
135
sulphadoxine

sulphadoxine

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
2,264 13 135
Adai itachukua muda sana kupata sura ya kitaifa,aeleza njia za kunusuru nchi na tatizo la udini,asema ufisadi ni adui kuliko ujinga.


"CUF si chama cha kitaifa hata kidogo,hiki ni chama chama cha wapemba kisichokuwa na demokrasia "Haya ni maneno ya mwanachama wa zamani wa CUF (chama cha wananchi) ambaye sasa ni mwenyekiti chama cha Demokrasia na mandeleo(CHADEMA) kanda ya pwani,profesa Abdallah Safari.


Akizungumza na Rai kwenye mahojiano maalumu ofisini kwake jijini Dar es salaam,mwanasheria huyo nguli alisema ukiilinganisha cuf na ccm kwa upande wa demokrasia hasa nyakati za uchaguzi wa ndani,ccm inaafadhali kubwa sana."CCM pamoja na rushwa zao huwa wanafanya uchaguzi wa siri ambao kila mmoja anauhushuhudia sio wale wapemba (CUF).Kile chama kinaendeshwa na Maalim Seif (Katibu mkuu wa cuf ,seif sharif hamad) huku lipumba (mwenyekiti wa cuf,profesa Ibrahim Lipumba) akitumika bila kujijua" anasema mtaalamu huyo wa sheria na lugha ya kiswahili.


Kwa habari zaidi,pitia gazeti la Rai la leo tarehe 6-12 juni 2013
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,272,346
Members 489,924
Posts 30,448,179