Majimbo 25 tu bara! Je hili linawezekana?

  • Thread starter William Mshumbusi
  • Start date

William Mshumbusi

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
904
Likes
48
Points
45
Age
35
William Mshumbusi

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2012
904 48 45
Nimefuraishwa na mapendekezo ya majimbo ya uchaguzi kupunguzwa sana.

Faida zake
ghalama za kuendesha serikali kushuka.
2.wajumbe kupata muda wa kutosha kuchangia
3.kupunguza wabunge matwitwitwi. Yani hoja inaungwa mkono ndioooo!
4. Nazani ata wasinziaji na watorokaji watajitoa.

Maswali nayojiuliza kigoma linaweza kuwa jimbo mmoja nani atakuwa mbunge wake? Zitto, Kafulila, Machari, Selukamba au Mkosamali.
Vipi Arusha basi akiwa lema vipi Manyara ni selasini, mch au nasari?

Kitu Kikubwa swala la jinsia mbili kila jimbo ni
udhalilishwaji wa wazi wa kikatiba thidi ya wanawake. Kwa kukubali hilo ni kukili kuwa wanawake wa tanzania hawawezi kushindana na wanaume na swala hilo kubaki kikatiba ni kitu kibaya zaidi bora lingekuwa la kisheria na lingepewa muda maalumu likaja likaödolewa baadae.

Pili ni bora tukawajengea wanawake uwezo wa kujiamini zaidi kwa kuwa huru kushindana na wanaume kwenye nafasi zote na kama kunaaja ya kuwa na viti maalumu bac kwenye majimbo mawili ya uchaguzi yatoe mwanamke mmja. Mfano Mwanza na Shinyanga yakiwa majimbo basi kwenye majimbo hayo yaunganishwe liwe jimbo mmoja la uchaguzi kwa upande wa wanawake ila wanawake wengine wenye uwezo wawe huru kugombea shinyanga au mwanza kama wabunge na si kwa mgongo wa viti maalumu.

Hivyo hawa viti maalumu bara wawe 12 au 13 na zanzibar watano tu.
Wanawake wengine wagombee kawaida.

Wabunge ke na me kwa kila jimbo kidunia hili ni la kipekee

mwishowe ni raisi ke na me. Nadiwani ke na me
na Waziri ke na me. Ivi kivipi wanawake na wanaume tanzania tusiaminiane iliali tunaoana tunapendana tunasaidiana na tunazaliana?

Je majimbo kupunguzwa linawezekana? Kama wabunge hawa watakaa kulijadili hili watalikubali kweli?
 
FTP

FTP

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Messages
515
Likes
8
Points
35
FTP

FTP

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2013
515 8 35
Tatizo wengi wenu mnaojifanya kuchambua rasimu,hamjaisoma!

wamesema katika bunge la muuungano,kwa bara mkoa mmoja utahesabiwa kama jimbo na kwa zanzibar wilaya itakuwa jimbo. hivyo mikoa 25 ya bara ikiwa na wabunge 2 (me na ke) watakuwa 50. yale majinmbo ya sasa yataendelea kama sasa katika serikali ya tanganyika
 
kwahiyo katiba ya muungano imewatengenezea hadi watanganyika jinsi ya kuunda bunge lao?
 
Rugas

Rugas

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2009
Messages
1,051
Likes
10
Points
135
Rugas

Rugas

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2009
1,051 10 135
Tatizo wengi wenu mnaojifanya kuchambua rasimu,hamjaisoma!

wamesema katika bunge la muuungano,kwa bara mkoa mmoja utahesabiwa kama jimbo na kwa zanzibar wilaya itakuwa jimbo. hivyo mikoa 25 ya bara ikiwa na wabunge 2 (me na ke) watakuwa 50. yale majinmbo ya sasa yataendelea kama sasa katika serikali ya tanganyika
Sure mkuu, hata mimi nilichokielewa kwenye mfumo unaopendekezwa ni kwamba sasa wabunge watakuwa wengi zaidi.maana tutakuwa na wabunge wa tanzania bara, idadi yaweza kuwa sawa na ilivyo sasa na tutakuwa na bunge la muungano hao 75.

kwa upande wa mawazili pia itakuwa hivyo.
 
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,607
Likes
40
Points
0
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,607 40 0

Mkuu hata wewe haujasoma vizuri hiyo rasimu na kama umesoma bado haujaelewa.

Bunge la sasa hivi linajumuisha wabunge kutoka Tanzania bara na visiwani, sasa ukisema Tanganyika itarithi mfumo wa bunge la sasa, na je wabunge kutoka majimbo ya Zanzibar itakuwaje?(Kumbuka Zanziba tayari wana mfumo wao wa wawakilishi tofauti na wabunge wao katika bunge la Tanzania)

Ni vipi rasimu ya katika ya muungano wa Tanzania iwasemee watanganyika kuhusu bunge wanalopaswa kuwa nalo?

Ni katiba ya Tanganyika pekee ndio itakayoamua ni vipi bunge lao liwe, hata kutokuwa na bunge inaweza pia kutamka na badala yake ikawa na kitu kama baraza la magavana wa majimbo ya Tanganyika nk!!
 
FTP

FTP

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Messages
515
Likes
8
Points
35
FTP

FTP

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2013
515 8 35
kwahiyo katiba ya muungano imewatengenezea hadi watanganyika jinsi ya kuunda bunge lao?
ndo maana yake,kwa ufupi hili bunge unaloona sasa litakuwa la tanganyika,la muungano litaundwa na hao 75 (50 tanganyika,20 zanzibra na 5 special)
 
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,607
Likes
40
Points
0
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,607 40 0
Sure mkuu, hata mimi nilichokielewa kwenye mfumo unaopendekezwa ni kwamba sasa wabunge watakuwa wengi zaidi.maana tutakuwa na wabunge wa tanzania bara, idadi yaweza kuwa sawa na ilivyo sasa na tutakuwa na bunge la muungano hao 75.

kwa upande wa mawazili pia itakuwa hivyo.
Hata wewe bado haujaelewa kabisa.
Hii ni rasimu ya katiba ya Muungano wa Tanzania na sio rasimu ya katiba ya Tanganyika.
Rasimu hii haina mamlaka ya kuwasemea watanganyika namna ya kuwa na bunge lao.

Ilichokisema ni kuwa mfumo wa bunge la sasa lenye wabunge zaidi ya 350 utafutwa na bunge litakuwa na jumla ya wabunge wasiozidi 75 tu( wakitoka Zanzibar na Tanganyika) na kwa uwiano sawa wa kijinsia.
 
William Mshumbusi

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
904
Likes
48
Points
45
Age
35
William Mshumbusi

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2012
904 48 45
ndo maana yake,kwa ufupi hili bunge unaloona sasa litakuwa la tanganyika,la muungano litaundwa na hao 75 (50 tanganyika,20 zanzibra na 5 special)
hata kama ningekuwa twitwitwi kiasi gani huwezi kunidanganya kiraisi hivyo!
Katiba ya muungano haiwezi kuwaamlia watanganyika muundo wa selikali yao.
 
POMPO

POMPO

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
6,691
Likes
17
Points
135
POMPO

POMPO

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
6,691 17 135
Muugano si lazma, Tunataka serikali ya Tanganyika na Serikali ya Zanzibari. Full stop
 
FTP

FTP

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Messages
515
Likes
8
Points
35
FTP

FTP

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2013
515 8 35
Hata wewe bado haujaelewa kabisa.
Hii ni rasimu ya katiba ya Muungano wa Tanzania na sio rasimu ya katiba ya Tanganyika.
Rasimu hii haina mamlaka ya kuwasemea watanganyika namna ya kuwa na bunge lao.

Ilichokisema ni kuwa mfumo wa bunge la sasa lenye wabunge zaidi ya 350 utafutwa na bunge litakuwa na jumla ya wabunge wasiozidi 75 tu( wakitoka Zanzibar na Tanganyika) na kwa uwiano sawa wa kijinsia.
Inawezekana wewe umesoma rasimu tofauti na ya WARIOBA! nafanya uatartibu wa kuitoa PDF to Word ili nikuingize hapa kipengele unachosema.

Bunge la muungano ndilo litakuwa na 75,wale wabunge wanaounda 350 kutoka majimbo ya sasa bado watakuwepo katika serikali shirikishi (tanganyika na zanzibar labda serikali hizi zibadilishe) unapoandika jitahidi kuweka neno ama bunge la muungano au la tanganyika!
 
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,607
Likes
40
Points
0
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,607 40 0
Sure mkuu, hata mimi nilichokielewa kwenye mfumo unaopendekezwa ni kwamba sasa wabunge watakuwa wengi zaidi.maana tutakuwa na wabunge wa tanzania bara, idadi yaweza kuwa sawa na ilivyo sasa na tutakuwa na bunge la muungano hao 75.

kwa upande wa mawazili pia itakuwa hivyo.
Hata wewe bado haujaelewa kabisa.
Hii ni rasimu ya katiba ya Muungano wa Tanzania na sio rasimu ya katiba ya Tanganyika.
Rasimu hii haina mamlaka ya kuwasemea watanganyika namna ya kuwa na bunge lao.

Ilichokisema ni kuwa mfumo wa bunge la sasa lenye wabunge zaidi ya 350 utafutwa na bunge litakuwa na jumla ya wabunge wasiozidi 75 tu( wakitoka Zanzibar na Tanganyika) na kwa uwiano sawa wa kijinsia.
 
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,607
Likes
40
Points
0
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,607 40 0
Inawezekana wewe umesoma rasimu tofauti na ya WARIOBA! nafanya uatartibu wa kuitoa PDF to Word ili nikuingize hapa kipengele unachosema.

Bunge la muungano ndilo litakuwa na 75,wale wabunge wanaounda 350 kutoka majimbo ya sasa bado watakuwepo katika serikali shirikishi (tanganyika na zanzibar labda serikali hizi zibadilishe) unapoandika jitahidi kuweka neno ama bunge la muungano au la tanganyika!
Nafikiri uko nje ya mstari kabisa.
Jaribu kusoma ulichoandika kisha tafakari.

Rasimu imeshasema wabunge wahataruhusiwa kuwa mawaziri katika serikali ya shirikisho sasa wewe unasema tena wabunge wa sasa wa bunge la Jamhuri ya muungano watakuwa sehemu ya serikali ya shirikisho la Tanzania. It is amazing statement!!!

Kifupi ni kwamba rasimu ikipita mfumo wa sasa wa bunge letu la muungano utakufa na kuzaliwa mfumo mpya wa bunge la shirikisho la Tanzania na itakuwa na wabunge wasiozidi 75 tu na serikali ya shirikisho itakuwa na mawaziri wasiozidi 15 na hawapaswi kuwa wabunge wa bunge la shirikisho la muungano wa Tanzania.
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
10,311
Likes
5,326
Points
280
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
10,311 5,326 280
Nimefuraishwa na mapendekezo ya majimbo ya uchaguzi kupunguzwa sana.

Faida zake
ghalama za kuendesha serikali kushuka.
2.wajumbe kupata muda wa kutosha kuchangia
3.kupunguza wabunge matwitwitwi. Yani hoja inaungwa mkono ndioooo!
4. Nazani ata wasinziaji na watorokaji watajitoa.

Maswali nayojiuliza kigoma linaweza kuwa jimbo mmoja nani atakuwa mbunge wake? Zitto, Kafulila, Machari, Selukamba au Mkosamali.
Vipi Arusha basi akiwa lema vipi Manyara ni selasini, mch au nasari?

Kitu Kikubwa swala la jinsia mbili kila jimbo ni
udhalilishwaji wa wazi wa kikatiba thidi ya wanawake. Kwa kukubali hilo ni kukili kuwa wanawake wa tanzania hawawezi kushindana na wanaume na swala hilo kubaki kikatiba ni kitu kibaya zaidi bora lingekuwa la kisheria na lingepewa muda maalumu likaja likaödolewa baadae.

Pili ni bora tukawajengea wanawake uwezo wa kujiamini zaidi kwa kuwa huru kushindana na wanaume kwenye nafasi zote na kama kunaaja ya kuwa na viti maalumu bac kwenye majimbo mawili ya uchaguzi yatoe mwanamke mmja. Mfano Mwanza na Shinyanga yakiwa majimbo basi kwenye majimbo hayo yaunganishwe liwe jimbo mmoja la uchaguzi kwa upande wa wanawake ila wanawake wengine wenye uwezo wawe huru kugombea shinyanga au mwanza kama wabunge na si kwa mgongo wa viti maalumu.

Hivyo hawa viti maalumu bara wawe 12 au 13 na zanzibar watano tu.
Wanawake wengine wagombee kawaida.

Wabunge ke na me kwa kila jimbo kidunia hili ni la kipekee

mwishowe ni raisi ke na me. Nadiwani ke na me
na Waziri ke na me. Ivi kivipi wanawake na wanaume tanzania tusiaminiane iliali tunaoana tunapendana tunasaidiana na tunazaliana?

Je majimbo kupunguzwa linawezekana? Kama wabunge hawa watakaa kulijadili hili watalikubali kweli?
Khaa!! nani kakwambia kuwa gharama za siasa zimepunguzwa?? Kumbuka hiyo ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bado ya Tanganyika, Zbar wao wanayo tayari :heh:
 
nahavache

nahavache

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2009
Messages
869
Likes
5
Points
35
nahavache

nahavache

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2009
869 5 35
Tatizo watu hawaisomi hii rasimu vizuri. Hii ni rasimu ya katiba ya muungano. Rasimu hii inapendekeza kuwepo kwa bunge lingine. Rasimu hii ikipita, nina wasiwasi kama makini hawatagombea kuwakilisha mikoa wanayotoka kwa sababu watu makini wako interested zaidi na maendeleo ya mikoa yao. Mambo yatakayojadiliwa kwenye bunge linalopendekezwa na rasimu hii ni mambo ambayo mwananchi wa kawaida kule vijijini hayamgusi. Hata hivyo, kama rasimu hii inapita, namshauri Zito agombee kuiwakilisha Kigoma nzima na atafute mtu makini, I hope amesha groom kuwakilisha jimbo lake. Hata hivyo, ninajua Zito anachofikiria ni kugombea uraisi wa muungano na D. Slaa agombee uraisi wa Tanganyika. Hapo patamu……
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,856
Likes
3,642
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,856 3,642 280
KUUNDWA KWA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO
Bunge la Jamhuri ya Muungano
105.-
(1) Kutakuwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano.
(2) Wajumbe wa Bunge watakuwa wa aina zifuatazo:
(a) Wabunge waliochaguliwa kuwakilisha majimbo ya uchaguzi;​
(b) Wabunge watano watakaoteuliwa na Rais kutoka miongoni mwa watu wenye sifa za kuchaguliwa kuwa wabunge kuwakilisha watu wenye ulemavu kwa kuzingatia uwiano wa Washirika wa Muungano.​

(3) Kwa madhumuni ya Ibara ya ndogo (2)(a), kila mkoa kwa upande wa Tanzania Bara na wilaya kwa upande wa Zanzibar, itakuwa ni jimbo la uchaguzi.

(4) Katika kila Jimbo la Uchaguzi kutakuwa na nafasi mbili za ubunge, moja kwa ajili ya mwanamke na moja kwa ajili ya mwanamme.
(5) Wabunge wote katika kila Jimbo la Uchaguzi watapatikana kwa kupigiwa kura na wananchi kwa mujibu wa masharti ya Katiba hiina sheria inayoweka utaratibu kuhusu mambo ya uchaguzi.

CC: FTP na LumumbaDAR
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,274,859
Members 490,833
Posts 30,526,117