Katika hali iliyokuwa inatarajiwa mazungumzo kati ya rais wa china na marekani ni kuhusu jinsi ya kukabiliana na upatikanaji wa gesi kusini mwa Tanzania wakati tukisubiri ziara ya Obama nchini...
Martin Munisi
Mkutano wa kampeni kata ya Kimandolu umegeuka kuwa kilio kwa waliyo hidhuria baada ya Naibu katibu mkui Mwigulu mchemba alipompandisha kijana aliyemwagiwa Tindikali na Chadema Igunga...
Tanzania jinchi kubwaa hata kuendeleza mikoa ilonayo inashindwa kazi kushikilia kijisiwa kidoogo ambacho hata watanganyika wenyewe washasema basi
TATIZO CCM INAONGOZA HADI KINA WARIOBA... hili...
Nimemsikiliza mh. Sitta na nimemwelewa kile alichokimaanisha, kama kweli tunahitaji katiba mpya tulitazame suala hili la kipengele cha serikali tatu itakuwaje kiitifaki? Kwanini tusiwe na rais...
Kama rasimu ya katiba itapitishwa kuna umuhimu mkubwa wa mkoa wa Tanga ufanywe kuwa makao makuu ya Tanganyika kwa sababu zifuatazo:
1- Tanga ina historia nzito na nyeti!
2- Tanga ina bandari...
Sakata la kikundi cha ushirika wa wakulima wa chai wa Jimbo la Bumbuli wilayani Lushoto Mkoa wa Tanga limeingia sura mpya baada ya watu mbalimbali kuunga mkono Mbunge wa Jimbo hilo, January...
Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali (IGP), Said Mwema amefanya mabadiliko ya makamanda na wakuu wa Upelelezi wa Jinai, huku Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Michael Kamuhanda...
Katika rasimu ya katiba mpya, inaonekana swala la muungano linauzito mkubwa hasa kulingana na maoni ambayo wadau walitoa kuhusu aina na namna ya muungano. Nikionacho mm kulingana na mahojiano...
Huo ndio ukweli wakuu!
ccm sasa ni wapishe njia tu hawaaminiki tena hata wakifanya jema kiasi gani hiki kizazi kipya cha miaka ya 80 na 90 hawawezi kukiamini kabisa!
hata cdm wakizingua...
Cdm ndo chama pekee kwa sasa kinachoweza kuwapa watanzania tumain jipya la maisha! Lakin wanajamii kitu cha kushangaza chama hik kilichopata mvuto kwa ghafla ni ombwe la uongoz ndan ya chama Wako...
Katibu wa CCM UDOM Elius Ndabila jana ameng'olewa rasmi. Ndiye inasadikika ccm walikuwa wanamtumia sana kumaliza wapinzan Udom tangu 2011.
Nafasi yake imechukuliwa na Haule. Pia ieleweke Ndabila...
Kama Great Thinker,kwa upande wangu mimi binafsi,naona kutumia nguvu nyingi kuishauri, kuionya CCM ni kupoteza carolies tu.
Kwa kuwa ccm ni vichwa ngumu hawaelewi,wanafiki,akili ndogo, wana fikra...
Ningeomba kwa anaejua sababu za mwalimu Nyerere kukataa hoja ya uwepo wa taifa la Tanganyika wakati yeye ndio muasisi na alikuwa mstari wa mbele kupigania uhuru wa taifa hili, na tumeshuhudia nchi...
Ni mkutano wa kwanza wa chama kubwa tangu kutokea kwa tukio la polisi wa Dumila kubambikia mwananchi fuvu la binadamu ili wajipatie fedha. Nitaleta picha. Chadema mmwaaaaa!!
Mimi ni mpenda mageuzi. Kuna muda niliamini kwa nguvu kabisa kuwa uongozi wa Chadema unaweza kufanya kazi nzuri ya kukiongoza chama hadi kuchukua nchi na kuleta mabadiliko tunayoyataka. Lakini...
Kuna
tabia ya watajwa hapo kutumia ofisi zao kufanyia mikutano na mashetani
wa CCM.Jana Dc alikuwa kwenye kata ya manchira na mtendaji wa kata
nyumba kwa nyumba na gari la...
Nimeamini ccm wamekua na tabia ya kuchakachua matokeo pale wanapoachiwa mwanya wa kufanya hivyo lakini wakikabwa koo kama walivyofanya vijana wa arumeru kwenye uchaguzi wa juzi, au walivyofanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.