Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,813
- 18,758
Kwangu mimi nafikiri kosa kubwa CCM walilofanya ni kuleta uhuru wa kupitiliza, sasa hivi kila takataka anafikiri ana haki ya kuongea na kusikilizwa, nashauri Serikali ifute huu Uhuru Mara moja na turudi kwenye udikteta, sio lazima kila Ngedele asikilizwe, wenye uwezo tu wachache ndio wawasemee wengi, na waliobaki wafwate amri tu ana kufanya kazi basi!