Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hadi hapa sioni haja ya CCM kuwaprovoke CHADEMA wapige bao zaidi. Wabunge wa CHADEMA wamekuwa huru zaidi kutupia magoli wanavyotaka, Mnyika alianza mwanzo hadi akitaja DHAIFU ALIVYOTAKA hakuna...
7 Reactions
41 Replies
5K Views
SERIKALI YA SHIRIKISHO TANZANIA 1. RAISI WA SHIRIKISHO MMOJA ASIYE NA MAKAMU 2. WIZARA 4 TU NAZO NI: - i. ULINZI, ii. URAIA NA UHAMIAJI BILA YA JESHI LA POLISI. iii. FEDHA iv. MAMBO YA NJE...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanini tanganyika iliuliwa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni masikio yangu yaliosikia na kwa kua ni muelewa nimeelewa hivi Wakisema kwa kua waliowengi watanganyika hawalitaki jina la Tanganyika na badala yake ni Tanzania bara mara Tanzania. Basi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamvi; Kama mtakumbuka, hapo nyuma nilikuwa nawaletea mabandiko yanayohusu mgogoro wa eneo la uchimbaji mdogo wa dhahabu. Mgogoro huu mpaka sasa upo mahakamani na maamuzi bado...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
hivi ndungai ni mbunge wa wapi?
0 Reactions
0 Replies
960 Views
KAMA Watanzania wataridhia rasimu ya katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyozinduliwa wiki iliyopita na Tume ya Mabadiliko ya Katiba bila mabadiliko, itapiga marufuku Rais wa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
NinaWasi2 na ufahamu wa mambo wa komba unaotokana na kiwango chake cha elimu mbunge wa jimbo mbinga magharibi. je komba katamati kiwango kipi cha elimu? au alipitia ugambo then kaingia jkt...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Naibu katibu mkuu wa CCM Tanzania bara akiwasili viwanja vya kata ya kaloleni-stendi jioni ya leo kwa ajili ya mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya kaloleni Jijini...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
CCM ni chama cha siasa ambacho kimeongoza serikali ya watu wa Jamhuri wa Tanzania kizembe, kudhoofisha uwajibikaji, njia mkato , kuuwa elimu, ubunifu, huduma za jamii, kuwafanya wananchi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Serikali tatu yageuka 'mwiba' kwa Warioba NA DANIEL MKATE 8th June 2013 B-pepe Chapa Katibu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mara, Luteni mstaafu Hamis Chifupa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), amesema Rais Jakaya Kikwete ni mtu wa ajabu na kueleza kuwa kama si uvumilivu wake nchi ingekuwa katika machafuko makubwa. Zitto ametoa kauli...
10 Reactions
250 Replies
21K Views
Kinana HUPO? At least thirty two senior KWS officers have been suspended from their official duties as the war on poaching went a notch higher.Those interdicted are officers in charge of parks...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
MOD's P'SE DON'T MOVE THIS TOPIC is MORE LOCAL than INTERNATIONAL as it HAS STARTED AFFECTING US SWIFTLY... Arrests follow series of pit collapses in which dozens have died, and highlight social...
0 Reactions
2 Replies
923 Views
Kama una muda soma article hii na utafakari John Pilger: Stealing a Nation
0 Reactions
1 Replies
871 Views
Nasubiri Ruhusa Kesho Niwarushie Majina hapa na Tabia Zao 1.Vick Bishube aka Suger Mummy
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hii dhambi inawahusu wanabadiliko! CCM wamechakuliwa maoni yao kwenye rasimu ya katiba mpya, hawakuamini kabisa kilichotokea kwenye hii rasimu, bila shaka wanahisi wamechakachuliwa maoni yao...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
1.Kila mtu atoe madhaifu ya mbunge wake katika jimbo husika hususani wa CCM. 2.Atoe mapendekezo ya kwamba nini kifanyike kumuondoa mbunge huyo 3. Nakiomba CHAMA MAKINI CHA DEMOKRASIA NA...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
kwanza nianze kwa kusema kuwa mimi siyo mwanasheria. haya ni mawazo yangu ya kawaida. nitashukuru wanaoifahamu sheria wakiniweka wazi kwa faida ya watanzania wenzangu. kwanza nampongeza jaji...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Je Unajua: Tume ya "kukusanya" maoni ya Katiba Mpya inayoongozwa na Jaji Warioba haikulazimishwa na sheria kukubali maoni ya wananchi wengi? Yaani, hata kama wananchi wengi zaidi wangependekeza...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Back
Top Bottom