CCM yakata tamaa ktk uchaguzi wa udiwani Arusha na kusema huyu Lema ni balaa amewapa nini hawa watu

olevaroya

JF-Expert Member
May 6, 2012
1,224
512
Chama cha mapinduzi CCM wamepoteza uelekeo na kubakia kumtafuta mchawi anayevujisha siri zao za ndani katika vikao vyao kila wanachozungumza wanakikuta mitandaoni, jana kwenye kikao chao wameonyesha kukata tamaa kabisa kutokana na vyanzo vyetu vya habari ndani ya CCM na kusema hii Arusha kuirudisha kata hata moja CCM ni ndoto kama tunafanya mikutano akuna mtu yoyote anayekuja kutusikiliza unategemea nini?

Mmoja wao hakioji na kusema mimi niliwaambia toka mwanzo tusifanye mikutano ya majukwaani kwasababu ni aibu amkutaka kunisikiliza sasa mmeona wenyewe jinsi tumeaibika pale Kaloleni na Elerai, sasa leo ndo mnasema tuachane na mikutano ni bora tuendelee kufanya mikutano na kuwaagiza mabalozi wetu katika kata zote wawalete watu hili angalau tuwe na watu kwasababu tukiacha kufanya mkutano yani ndo tutawapa hawa CHADEMA maneno yakuendelea kutuponda,tukomaeni kibingwa lkn ukweli ni kwamba hatuwezi kulamba kata hata moja,

chanzo cha habari intelejensia yetu ndani ya CCM
 
Am proudly to be among of Arusha Resident.CHADEMA,You'll never walk alone.

Mkuu nakupa like! Even me am proud of that! Ningetamani watanzania wote tungekuwa kama hawa wa Arusha! Tusiwe nyuma kama wale wa Iramba wanaodanganywa hata kwa pilau ya siku moja
 
Jana jioni nilikuwa nimeweka kambi pale post na 7up Bar na nikawaona hawa mafisadi wakiwa wanapata supu majira jioni mara nikapata kusikia maneno kama hayo hayo wakilaumiana pasipo na mpaka! Kila mmoja anamshutu mwenzake!
Kwa ujumla hali siyo nzuri kwa na ni bora hivyo mara 1000.
 
Iramba, tabora, dodoma na wengine wa aina hiyo wala si kwamba magamba yanapendwa ila u.p.u.mbavu wa wenyeji wa mikoa hiyo, hata machinga sasa kaamka
 
Hakika mwisho wa ubaya aibu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
AR tuonyesheni mfano mapemaaa. Chaguzi za mitaa ni mwakani na CDM tujipange ndi mwanzo mzuri wa kujiandaa na 2015. CDM tusibweteke tuendelee na mikutano ya ndani kuwajuza wananchi kwa nini tunataka mabadiliko.
 
Poyoyo nyiiingi, mwisho ni kama iramba tu

Uchaguzi mdogo 2012 wa udiwani Arusha Darajambili
1.waribelali=200
2.ccm=900
3.chadema=2500
NB:
1.HII ILIKUWA NDO NGOME YA CCM NA KATA HII ILIKUWA CHINI YA CCM KABLA YA DIWANI KUFARIKI.
2.V4C ya waliberali ilianzia arusha arusha wakasema wameibomoa chadema lakini
2500/200=12.5 wanamahesabu wamenielewa.

KUHURU CCM HAWAKUFURUKUTA NA KUSHINDWA KUFIKIA HATA NUSU YA KURA ZA CHADEMA.subiri majibu we si tomaso.
 
Back
Top Bottom