Kutokana na rasimu ya Katiba Mpya, tutakua na serikali 3 . Sasa tusaidiane kidogo kifikra
"""""""""""""
NINACHOFAHAMU:
"""""""""""""
Ukisema NCHI, nilazima kuwepo na Watu, serikali na Ardhi...
Sita anasema kwamba wapo wafanyabiashara wanamhujumu Rais Kikwete. Kwamba Sitta anawafahamu hao watu. Hivi Mh. Sitta kama Rais anawafahamu wanaomhujumu na hawachukulii hatua Tumuiteje Mh. Rais...
Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano, pamoja na mambo mengine..Wataka Umri wa mgombea uraisi upunguzwe tka miaka 40 hadi 35...Wataka Mawaziri wateuliwe nje ya wabunge...Uteuzi wa viongozi wa...
Juzi tarehe 4 niliongea na kiongozi wa juu wa CHAUMMA kuhusu chama chao kipya kilichosajiliwa.Alinieleza haya yafuatayo:-
Chama cha CHUMMA kimepata usajili wa kudumu baada ya kazi nzito na...
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa, Juni 5, mwaka huu, ameanza ziara ya takriban wiki 3 barani Ulaya katika nchi ya Ujerumani.
Kwa mujibu wa habari kwenye Ukurasa wa Facebook ya CHADEMA...
Naibu katibu mkuu wa CCM Mh.Mwigulu Nchemba akiwasili viwanja vya kata ya kimandolu jioni hii ya tar.7/06/2013 kufanya mkutano wa hadhara wa kampeni za kumnadi mgombea wa udiwani kata ya...
CCM:Watumia udini kupitisha bajeti
Mgawanyiko umeibuka miongoni mwa wabunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ukihusishwa na masuala ya udini katika kupitisha bajeti za wizara zilizowasilishwa...
Mzee Thabit Kombo alisema bila muungano hakuna Zanzibar! Kuna Unguja na Pemba! Tuwashangae CUF, wanahubiri kujitenga halafu wanasema muungano uendelee!! You can't eat your cake and have it...
Mambo yalikuwa si mambo kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba hapa jijini Arusha jioni hii.
Wananchi wa kata ya Kaloleni wakiongozwa na akina mama wamemzomea vibaya ndugu Nchemba jioni...
Wana jf mara nyingi huwa kuna wachambuz humu wa kisiasa wanye sura za akina Dr liky(mchambuzi wa mpira),kwa kipindi hichi cha uchaguzi wamekua kimya sana,jamani tunaomba msaada wenu kujua upepo...
UVCCM MBEYA MJINI WASEMA CHADEMA WANAJITEKENYA KISHA WANACHEKA WENYEWE
Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Mbeya Mjini Malanyingi Matukuta
Na Gordon Kalulunga, Mbeya
UMOJA wa Vijana wa Chama cha...
Hatimaye NEC- Tume ya Uchaguzi imetangza marudio ya Chaguzi mbali mbali za Udiwani zikiwaemo Kata nne za Jiji la Arusha.
Wengi wanaweza kujiuliza ni kwanini Tume imetangaza Kata 4 tu kati ya Kata...
Sina shaka baada ya 2015,whether CCM au CHADEMA,tunawahitaji Wayahudi kulinusuru taifa hili la Mungu .
1.Tunahitaji intelligence yao kupambana na wabaya wa nchi hii,real magaidi.
2.Utaalamu wa...
Rasimu ya katiba imeweka 'vizingiti' kwa watakao gombea nafasi fulani fulani kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Vizingiti hivyo ni 'elimu' na 'umri', hii inatokana na umuhimu wa elimu katika...
CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA SERENGETI KWA KUSHIRIKIANA NA UONGOZI WA CCM MKOA NA MAKATIBU WOTE WA CCM WATOKANAO NA ccm MKOA WA MARA
baada ya kuonekana kuyumba na kutokubalika vyema kwa...
Kijana wa kiarusha akikwapua garini mbele ya askari
ni muda mfupi kabla ya kuanza chereko za mkesha
BINAFSI UJASIRI HUU WA VIJANA WA R CHUGA (ARUSHA) NINAUPENDA SANA...
Kwa wakazi wa Dar.
Ujio wa Obama unatoa nafasi ya kuchukua likizo ndogo uliyoifikiria muda mrefu.
Kwa nini?
Obama akiwa mtaani
1. mawasiliano ya simu/data yatakuwa mabaya mkoa wa dar
2. Utakutana...
Kutokana na rasmu ya katiba ya muungano kuja na pendekezo la kuanzishwa serikari ya Tanzania bara na wazo hilo kuonekana kuungwa mkono na watu wengi sana na kuoneka kama limeshakubalika basi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.