Mzee Thabit Kombo alinena kuh. Muungano..!

W

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
736
Likes
2
Points
0
W

Waambi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2012
736 2 0
Mzee Thabit Kombo alisema bila muungano hakuna Zanzibar! Kuna Unguja na Pemba! Tuwashangae CUF, wanahubiri kujitenga halafu wanasema muungano uendelee!! You can't eat your cake and have it! Wazanzibari wanadanganywa na hao 'waarabu'. Kwa heri Zbz ikibidi na hakuna haja ya kuwachanganya watu. Serikali ya Tanganyika ipo siku zote kitakachopasa ni kuondoa mambo ya muungano na Wazenji kwenye utawala wa bara. Toto likililia wembe lipe!! Kwa madai haya ya kipuuzi kama ya CUF, naanza kuchukia upinzani!
 
Bobwe

Bobwe

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2013
Messages
1,241
Likes
10
Points
0
Age
39
Bobwe

Bobwe

JF-Expert Member
Joined May 21, 2013
1,241 10 0
Umenukuu kwenye qur-an au biblia hayo maneno?
 
Kama hoja yako ni kusema yako wapi maisha bora kwa kila mtanzania aliyosema kikwete?usipende kuamini wanasiasa.
 
A

abdul 28

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2012
Messages
325
Likes
1
Points
0
A

abdul 28

JF-Expert Member
Joined May 29, 2012
325 1 0
hizo ni chuki za nyerere tu mbona karume hakusema hivyo unapo sema juu ya zanzibar sema karume kazungumzia nini juu ya muungano

hata tanganyika mutaanza nani achinje hadi mutachinjana wenyewe
 
B

Boribo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
459
Likes
94
Points
45
B

Boribo

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
459 94 45
Mzee Thabit Kombo alisema bila muungano hakuna Zanzibar! Kuna Unguja na Pemba! Tuwashangae CUF, wanahubiri kujitenga halafu wanasema muungano uendelee!! You can't eat your cake and have it! Wazanzibari wanadanganywa na hao 'waarabu'. Kwa heri Zbz ikibidi na hakuna haja ya kuwachanganya watu. Serikali ya Tanganyika ipo siku zote kitakachopasa ni kuondoa mambo ya muungano na Wazenji kwenye utawala wa bara. Toto likililia wembe lipe!! Kwa madai haya ya kipuuzi kama ya CUF, naanza kuchukia upinzani!
Mtaanza lini mchakato wa katiba ya nchi changa Duniani Tanganyika!!!!?
 
N

Ngekewa

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2008
Messages
7,725
Likes
28
Points
145
N

Ngekewa

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2008
7,725 28 145
Mzee Thabit Kombo alisema bila muungano hakuna Zanzibar! Kuna Unguja na Pemba! Tuwashangae CUF, wanahubiri kujitenga halafu wanasema muungano uendelee!! You can't eat your cake and have it! Wazanzibari wanadanganywa na hao 'waarabu'. Kwa heri Zbz ikibidi na hakuna haja ya kuwachanganya watu. Serikali ya Tanganyika ipo siku zote kitakachopasa ni kuondoa mambo ya muungano na Wazenji kwenye utawala wa bara. Toto likililia wembe lipe!! Kwa madai haya ya kipuuzi kama ya CUF, naanza kuchukia upinzani!
Una maana yule Mzee aliesema kuwa kule Uingereza watu wameendelea sana kiasi kwamba hata mtoto wa miaka mitatu anasema kingereza kama maji?
Acha kututukana bwana, hivyo watu wote wa kufananisha kauli za maana basi awe yule? Hivyo hujiulizi kwanini Nyerere alimpa uenyekiti wa tume ya kuunda Katiba 1977 wakati anajuwa kuwa hajaenda shule?
 
M

mokala1989

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2013
Messages
2,248
Likes
58
Points
145
M

mokala1989

JF-Expert Member
Joined May 4, 2013
2,248 58 145
mzee thabit kombo alisema bila muungano hakuna zanzibar! Kuna unguja na pemba! Tuwashangae cuf, wanahubiri kujitenga halafu wanasema muungano uendelee!! You can't eat your cake and have it! Wazanzibari wanadanganywa na hao 'waarabu'. Kwa heri zbz ikibidi na hakuna haja ya kuwachanganya watu. Serikali ya tanganyika ipo siku zote kitakachopasa ni kuondoa mambo ya muungano na wazenji kwenye utawala wa bara. Toto likililia wembe lipe!! Kwa madai haya ya kipuuzi kama ya cuf, naanza kuchukia upinzani!
umenena vyema, ila umeharibu uliposema unauchukiia upinzani! Cuf siyo upinzani hata kidogo, ila ni wake wa ccm! Wanabonyezwa kikwao, mdebwedo!!!
 
Msalagambwe

Msalagambwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Messages
716
Likes
66
Points
45
Msalagambwe

Msalagambwe

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2012
716 66 45
Uanziba Upemba Uzanzibara,

Uarabu ndo ustaarabu.

Nyembe hizooooo!
Mzee Thabit Kombo alisema bila muungano hakuna Zanzibar! Kuna Unguja na Pemba! Tuwashangae CUF, wanahubiri kujitenga halafu wanasema muungano uendelee!! You can't eat your cake and have it! Wazanzibari wanadanganywa na hao 'waarabu'. Kwa heri Zbz ikibidi na hakuna haja ya kuwachanganya watu. Serikali ya Tanganyika ipo siku zote kitakachopasa ni kuondoa mambo ya muungano na Wazenji kwenye utawala wa bara. Toto likililia wembe lipe!! Kwa madai haya ya kipuuzi kama ya CUF, naanza kuchukia upinzani!
 
rayun

rayun

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Messages
240
Likes
3
Points
35
rayun

rayun

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2013
240 3 35

afterall ni nani thabit kombo katika ramani ya historia ya zanzibar? ni mtume? au malaika?
ata mzee kullateni alisema zanzibar TUMEKWISHA mara baada kusikia zanzibar imeunganishwa na tanga la nyika. usituletee upuuzi wako hapa. kwani nyi mnawasiwasi gani. si tupotezeeni yaishe nyie mjikate kivyenu na sie tusepe kivyetu.
 
Bobwe

Bobwe

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2013
Messages
1,241
Likes
10
Points
0
Age
39
Bobwe

Bobwe

JF-Expert Member
Joined May 21, 2013
1,241 10 0
afterall ni nani thabit kombo katika ramani ya historia ya zanzibar? ni mtume? au malaika? ata mzee kullateni alisema zanzibar TUMEKWISHA mara baada kusikia zanzibar imeunganishwa na tanga la nyika. usituletee upuuzi wako hapa. kwani nyi mnawasiwasi gani. si tupotezeeni yaishe nyie mjikate kivyenu na sie tusepe kivyetu.
Umemaliza kila kitu sina la kusema.
 
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Messages
12,553
Likes
2,374
Points
280
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2010
12,553 2,374 280
We naye, yaani uchukie upinzani kwasabu ya maneno ya waliberali? si uwachukie hao hao? Kwanza CUF siyo wapinzani, si wamekuwa mwili mmoja na CCM baada ya ndoa yao?
 
Kamanda Moshi

Kamanda Moshi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
1,440
Likes
431
Points
180
Kamanda Moshi

Kamanda Moshi

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
1,440 431 180
afterall ni nani thabit kombo katika ramani ya historia ya zanzibar? ni mtume? au malaika?
ata mzee kullateni alisema zanzibar TUMEKWISHA mara baada kusikia zanzibar imeunganishwa na tanga la nyika. usituletee upuuzi wako hapa. kwani nyi mnawasiwasi gani. si tupotezeeni yaishe nyie mjikate kivyenu na sie tusepe kivyetu.
Hata. Hapa ulipo-post ni kwa Hisani ya Tanganyika umeweza kusikika!Tatizo kubwa mkuu wanzibar wengi wanapinga na kukubali muungano hapo hapo!
Hebu niambie,muungano wa mkataba ndio upi?na kwa nin tuungane kwa mkataba?kama hamtaki muungano,basi na iwe hivo..!kama mnataka basi na muungane bila maneno!
Mambo sijui ya kuwa na Balozi nje,kuwa na kiti umoja wa Mataifa,ni mambo ambayo hamuwez kufanya ndani ya muungano!
 
Jalood

Jalood

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Messages
750
Likes
2
Points
0
Jalood

Jalood

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2012
750 2 0
Hakuna tofauti baina ya Thabit Kombo na Kawawa wote elimu ndogo na vibaraka vya Nyerere
 
rayun

rayun

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Messages
240
Likes
3
Points
35
rayun

rayun

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2013
240 3 35
Hata. Hapa ulipo-post ni kwa Hisani ya Tanganyika umeweza kusikika!Tatizo kubwa mkuu wanzibar wengi wanapinga na kukubali muungano hapo hapo!
Hebu niambie,muungano wa mkataba ndio upi?na kwa nin tuungane kwa mkataba?kama hamtaki muungano,basi na iwe hivo..!kama mnataka basi na muungane bila maneno!
Mambo sijui ya kuwa na Balozi nje,kuwa na kiti umoja wa Mataifa,ni mambo ambayo hamuwez kufanya ndani ya muungano!
tunataka muungano wa mkataba kwa kuwahurumieni nyinyi jirani msobebeka mana tumeskia hamuezi kusurvive bila zanzibar na ndio mana mnatungangania hadi mavumbi yetu.
 
W

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
736
Likes
2
Points
0
W

Waambi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2012
736 2 0
Hakika CUF ni kama 'mke' mkorofi wa CCM. . Dr Shein ni mtu muungwana sana. We need a tougher guy to rescue muungano lest the nation split apart. Vipemba vya kariakoo vitapata shida sana sababu ya uhuni wa Jussa na Seif, zee liso haya... Kwa kuwa tumeishi vizuri na kwa salama waanze kujiandikisha uraia wa Tanganyika na 'wazanzibara warudi nyumbani ardhi tele. Kwa heri Dr Bilal, Suluhu, Mahadhi, Mwinyi, Nahodha hakuna vyeo vya bure nendeni kugombea usheha unguja au pemba! Maneno na nahau nyiingi kazi hakuna!
 
M

Mzenji73

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Messages
341
Likes
1
Points
35
M

Mzenji73

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2009
341 1 35
Hata. Hapa ulipo-post ni kwa Hisani ya Tanganyika umeweza kusikika!Tatizo kubwa mkuu wanzibar wengi wanapinga na kukubali muungano hapo hapo!
Hebu niambie,muungano wa mkataba ndio upi?na kwa nin tuungane kwa mkataba?kama hamtaki muungano,basi na iwe hivo..!kama mnataka basi na muungane bila maneno!
Mambo sijui ya kuwa na Balozi nje,kuwa na kiti umoja wa Mataifa,ni mambo ambayo hamuwez kufanya ndani ya muungano!
"tatizo ni hizo hadidu rejea za tume ya katiba, hazitaki kuvunja muungano. ndio tukaja na hili la "mkataba" muungano ni hiari sio kulazimishana, sisi zamani tuliukataa muungano huu na hili vugu vugu kwa huku halikuanza leo, nakushangaeni nyinyi mnalijua leo! sisi ni walimu wenu kwa kila kitu hata siasa, mtatusoma mwaka huu .. umesahau msemo maarufu "lipigwapo zumari zanzibar, wanahemkwa walio maziwa? (when one pipes in zanzibar they dance in the lakes)" ZANZIBAR KWANZA!

brasy coco

brasy coco

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
1,455
Likes
723
Points
280
brasy coco

brasy coco

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
1,455 723 280
tunataka muungano wa mkataba kwa kuwahurumieni nyinyi jirani msobebeka mana tumeskia hamuezi kusurvive bila zanzibar na ndio mana mnatungangania hadi mavumbi yetu.
tazama ramani ya tanzania kisha tazama znz ilipo kisha vuta picha znz imetoka kwny ramani kisha tazama itavokuwa nchi usiku je itapungua? Tazama rasimali za tz bara kisha rudi znz tazama rasimali kisha jiulize tz bara umewazidi kwenye nn?? Kisha chukua urojo unywe na boflo ulale tia ukali kwa wingi kisha tukutane mtendene kwenye kahawa na bao letu
 
brasy coco

brasy coco

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
1,455
Likes
723
Points
280
brasy coco

brasy coco

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
1,455 723 280
"tatizo ni hizo hadidu rejea za tume ya katiba, hazitaki kuvunja muungano. ndio tukaja na hili la "mkataba" muungano ni hiari sio kulazimishana, sisi zamani tuliukataa muungano huu na hili vugu vugu kwa huku halikuanza leo, nakushangaeni nyinyi mnalijua leo! sisi ni walimu wenu kwa kila kitu hata siasa, mtatusoma mwaka huu .. umesahau msemo maarufu "lipigwapo zumari zanzibar, wanahemkwa walio maziwa? (when one pipes in zanzibar they dance in the lakes)" ZANZIBAR KWANZA!

ww ni kama mtoto wa bandia unayesubiri kuchezeshwa, ukitaka zanzibar njia rahisi mbona nyny kama wanachi mnaweza, sio unajfanya unaiaka znz wakati huo huo unaitaka dar, sisi kurudisha watu wote bongo ni kitu cha kufumba na kuvumbua ndani ya masaa 24 na kuzima umeme wetu pemba na unguja, mbaki wenyewe mrogane na mchinjane hakuna kitachopungua bara kusipokuwepo Zanzibar hilo elewa,
 
Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2009
Messages
4,129
Likes
51
Points
0
Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined May 27, 2009
4,129 51 0
Vyovyote iwavyo, wananchi hatutaki Muungano, Zanzibar iliweza kuishi nje ya Muungano kama ilivyo Tanganyika. Tukutane kwenye Kombe la kagame, Wazenj waendelee na yao na sie wa Tanganyika tuendelee na yetu. Mnaolazimisha muungano nendeni mkaunganishe Kaburi la butiama na lile la kisiwandui ili msidhurike na matambiko mliyofanyiwa na hawa mafedhuli walioua Tanganyika yetu!
 
R

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Messages
4,874
Likes
2,249
Points
280
R

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2012
4,874 2,249 280
inawezekana elimu ya thabith kombo ilikuwa ndogo lakini alikuwa na hekima na busara huo usomi unaouzungumzia unasaidia nini taifa wakati madini narasilimali zetu zinaporwa kwa mikataba mibovu mtoa hoja ana hoja ya msingi isitoshe rais wa kwanza wa zanzibar alikuwa baharia hakuwa na usomi wowote lakini alifanya mambo makubwa hao mnaosema walikuwa na elimu ndogo ndio waliweka utaifa mbele nyinyi wenye elimu kubwa mmefanya nini sio kila kitu kinamriwa kwa sababu ya kuwa na elimu ndogo au kubwa na hasa elimu yenyewe ndio hii ambayo haina hata mitaala
 
Forum statistics

Threads 1,273,280
Members 490,351
Posts 30,476,446