Taja maeneo ambapo chaguzi zinafanyika na CCM haikusimamisha wagombea, vinginevyo hii sio taarifa ni majungu.
Pia nadhani muda wa Tume ya Uchaguzi kuidhinisha wagombea ulishapita kwani chaguzi nyingi ni jumapili ijayo 16/6/2013 sasa unataka kusema nini?
Tunataka ukombozi nchini lakini bila kuathiri misingi mikuu ya ukweli, upendo na uwajibikaji. Hivyo fanyia kazi ulichoandika hapa ndugu