Kampeni za udiwani Manchira - Serengeti: CCM waendeleza mipango michafu

USTAADHI

JF-Expert Member
May 10, 2011
1,516
136
CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA SERENGETI KWA KUSHIRIKIANA NA UONGOZI WA CCM MKOA NA MAKATIBU WOTE WA CCM WATOKANAO NA ccm MKOA WA MARA
baada ya kuonekana kuyumba na kutokubalika vyema kwa wananchi katika kampeni za kugombea udiwani zinazoelekea ukingoni hivi sasa wamepanga yafuatayo
1 kutafuta kiwango cha fedha kinachoweza kukubalika na mgombea wa CHADEMA ndg DANIEL NYAMORONGA ili ajitoe KITU AMBACHO KIMETHIBITISHWA LEO NA MGOMBEA katika mkutano wa hadhara kijiji cha bwitengi
2 wanapanga ugawaji fedha kwa kiwango kikubwa na mpaka sasa gari nyingine inasemekana iko njiani kutoka MWANZA kuja kwa kazi maalum ya ugawaji fedha
3 wanapanga utekaji nyara mgombea wa chadema

4 mpaka sasa wamejihusisha zaidi na mfumo wa kufanya mitambiko kwa kuchinja wanyama kama kafara na kuwalisha wananchi wa kata ya manchira
5 wameweza kukaa vikao na kutafiti namna ya kuongeza kura kwenye DAFTRAI la kudumu kwa kutumia majina ya watu waliokufa na waliohama ili kunusuru upepo mbovu wa mgombea wao aliyewahi kuwa diwani na badae kushindwa bingwa wa kesi za kubambikiza wenzake na uporaji wa ardhi NDG MICHAEL SHAWESHI
CHADEMA KWA UPANDE WETU TUNAMTANGULIZA MUNGU ZAIDI TUKIWA JOPO LA VIJANA KAMA
ALPHONCE MAWAZO
MWL CHACHA HECHE
DIWANI RYOBA
KAMANDA MAKURU
NZEMO
MWL MAKIMA
MAMA TECLA KUTOKA TARIME
DIWANI JOSEPHINE
tunamtumainia mungu kauli mbiu yetu ni kuwa hii ni vita kati ya wezi dhidi ya wapenda haki tunaomba mtuunge mkono wote wana jamvi wenye mawazo na kila namna KUFANIKISHA AZMA YETU NA YA CHADEMA YA KUKOMBOA WANYONGE
 
Mungu awatangulie na hao wenye Tabia chafu washindwe na mungu awaumbue mchana kweupee.
Siku ya kura jitahidini kuangalia mamluki watakaoletwa na magari special toka maeneo ya jirani Pia bila kusahau wale wanaopiga wanaoingia kupiga kura huku wakiwa na Karatasi za kura zaidi ya moja.
Kwa nini Tendwa asivifute vyama vyote vya upinzani ili wasiwe wanahangaika hivi.
 
CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA SERENGETI KWA KUSHIRIKIANA NA UONGOZI WA CCM MKOA NA MAKATIBU WOTE WA CCM WATOKANAO NA ccm MKOA WA MARA
baada ya kuonekana kuyumba na kutokubalika vyema kwa wananchi katika kampeni za kugombea udiwani zinazoelekea ukingoni hivi sasa wamepanga yafuatayo
1 kutafuta kiwango cha fedha kinachoweza kukubalika na mgombea wa CHADEMA ndg DANIEL NYAMORONGA ili ajitoe KITU AMBACHO KIMETHIBITISHWA LEO NA MGOMBEA katika mkutano wa hadhara kijiji cha bwitengi
2 wanapanga ugawaji fedha kwa kiwango kikubwa na mpaka sasa gari nyingine inasemekana iko njiani kutoka MWANZA kuja kwa kazi maalum ya ugawaji fedha
3 wanapanga utekaji nyara mgombea wa chadema

4 mpaka sasa wamejihusisha zaidi na mfumo wa kufanya mitambiko kwa kuchinja wanyama kama kafara na kuwalisha wananchi wa kata ya manchira
5 wameweza kukaa vikao na kutafiti namna ya kuongeza kura kwenye DAFTRAI la kudumu kwa kutumia majina ya watu waliokufa na waliohama ili kunusuru upepo mbovu wa mgombea wao aliyewahi kuwa diwani na badae kushindwa bingwa wa kesi za kubambikiza wenzake na uporaji wa ardhi NDG MICHAEL SHAWESHI
CHADEMA KWA UPANDE WETU TUNAMTANGULIZA MUNGU ZAIDI TUKIWA JOPO LA VIJANA KAMA
ALPHONCE MAWAZO
MWL CHACHA HECHE
DIWANI RYOBA
KAMANDA MAKURU
NZEMO
MWL MAKIMA
MAMA TECLA KUTOKA TARIME
DIWANI JOSEPHINE
tunamtumainia mungu kauli mbiu yetu ni kuwa hii ni vita kati ya wezi dhidi ya wapenda haki tunaomba mtuunge mkono wote wana jamvi wenye mawazo na kila namna KUFANIKISHA AZMA YETU NA YA CHADEMA YA KUKOMBOA WANYONGE
Mkuu siku ya uchaguzi hakikisheni kila kituo mnaweka walinzi wasiopungua sita. Mbinu ni kwamba wanakuwepo kama wapiga kura kwenye foleni lakini kila wakikaribia mbele wanarudi tena nyuma kuanza kupanga foleni upya. Gari zote ngeni na za hao mafisadi iliotaja, hakikisheni mnazifutilia nyuma kwa pikipiki kuanzia sasa na zaidi siku ya uchaguzi ili kudhbiti zisitumike kusambaza mipango michafu. Mnatakiwa mkabe hadi penati...
 
hivi we tuko huna kazi ingine ya kufanya? Mbona unatumika vibaya hivi? Tangu asubuhi uko jf hadi usiku wa manane...utatupwa kama ludovick we endelea kujipendekeza tu
 
Huko uliko wewe ndio usiku wa manane... Niliko mimi ni saa mbili na dk 42 asubuhi. Dunia ni duara mkuu, au hujasoma "Jografia"?
 
Komaeni dhidi ya hao magamba, ila mchukue tahadhari kuhakikisha tembo wa Serengeti hawang'olewi pembe wala meno kipindi chote cha uchaguzi!
 
kweli maana watakuja kwa gia ya kampeni kumbe wamefata tembo wetu........muhudumu tafadhali kinana ya baridi kiasi nstaka kuzimua.....
 
Manchira ccm tumeshawazika rasmi, tunachosubiri ni kuanua matanga tu hiyo tarehe 16/06/13.
Mipango yote michafu mnayopanga tumeinasa na tumejipanga vizuri sana kuwadhibiti siku ya uchaguzi.
 
kweli maana watakuja kwa gia ya kampeni kumbe wamefata tembo wetu........muhudumu tafadhali kinana ya baridi kiasi nstaka kuzimua.....

hahaaa hawa jamaa bwana yaani kumbe ile tusker ama ndovu ndizo kinana bariiiiidi
 
Hadi sasa ccm wamepoteana kata ya Manchira wananchi wamempokea mgombea wa Chadema kwa mikono miwili.
 
Back
Top Bottom