Mabalozi wa Watano wa CCM wajivua gamba kwenye mkutano wa chadema Elerai

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Kamanda Lema muda huu amewapokea wanachama wengi kutoka ccm walioamua kujivua gamba. Kati ya hao waliojivua gamba kuna mabalozi waaminifu wa ccm.

Tunawakaribisha kwenye mapambano mpaka ukombozi wa Tanzania upatikane

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mkuu Mungi, asante sana kwa habari njema kwa wapenda mabadiliko kote duniani; Ijapokuwa siyo habari njema kwa vijana wa Lumumba Project.

Kila la kheri Kamanda Lema; "endelea kuwavua magamba na kuwavisha magwanda".
 
Muda si mrefu Mwigulu atakimbia kwa aibu Arusha.
Kila kukicha hali ya CCM inazidi kuwa mbaya mbaya mbaya zaidi.
 
Maneno ya vijana haya,hata mvuto hayana jamani huwezi kutuambia mabalozi wamejitoa halafu hujatuambia ni nani na nani wa maeneo gani.
 
Mungi na makamanda huko Arusha tunaamini mmejizatiti na kujipanga vema kulinda kura siku ya uchaguzi (labda CCM kupitia Tume waahirishe).


Na je baada ya kuhifadhi viti vyenu CHADEMA itakuwa na uwiano gani vs CCM kwenye halmashauri ya jiji la A? Na ni nini hatima ya kiti cha kamanda Mawazo?
 
Back
Top Bottom