Upungufu wa viongozi CHADEMA

Upungufu wa viongozi CHADEMA

Gang Chomba

Platinum Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
20,734
Reaction score
4,871
Wakuu habari zenu na poleni na majukumu ya kujenga Taifa letu...

Kwa muda mrefu nimefikiria kama Chadema kweli kikichukua nchi japo ni(Ndoto ya mchana)kinaweza kuwa na Mawaziri japo wa 5 wenye uwezo wa kuliongoza Taifa hili,ukimuondoa Mh.Zitto, Tundu Lissu na Mnyika.

Kiukweli Chadema inahitaji kuwa na Ombwe la viongozi kama hadi Sugu anakuwa Waziri kivuli? Sio kutegemea umaarufu wa wasanii + kupenda fujo ambazo hazina kichwa wala miguu ndo kuja kupata wafuasi. Taifa litapotea kuwa na viongozi wavuta Bang.i, Wapiga Disco na wengine wengi.

NAWASILISHA WAKUU,,MATUSI SIO LUGHA YA MSTAARABU.
 
Acha fikra mgando, wewe umewaona hao tu! Basi tutamkodi Nchemba kwani ni jembe!
 
Kama Nchimbi amekuwa Waziri, sidhani kama Sugu atashindwa
 
Pilitoni; Bila shaka ulitaka isomeke CCM ni majanga tupu!
 
Last edited by a moderator:
Put in ahaa okay kwani viongozi wa CHADEMA wanapatikana nje ya Tanzania? Kama ndani ya Tanzania basi kuna utajiri wa viongozi nchi hii usihofu juu ya hili labda unahofu ccm wa watakimbia nchini nini?
 
Wakuu habari zenu na poleni na majukumu ya kujenga Taifa letu...

Kwa muda mrefu nimefikiria kama Chadema kweli kikichukua nchi japo ni(Ndoto ya mchana)kinaweza kuwa na Mawaziri japo wa 5 wenye uwezo wa kuliongoza Taifa hili,ukimuondoa Mh.Zitto, Tundu Lissu na Mnyika.

Kiukweli Chadema inahitaji kuwa na Ombwe la viongozi kama hadi Sugu anakuwa Waziri kivuli? Sio kutegemea umaarufu wa wasanii + kupenda fujo ambazo hazina kichwa wala miguu ndo kuja kupata wafuasi. Taifa litapotea kuwa na viongozi wavuta Bang.i, Wapiga Disco na wengine wengi.

NAWASILISHA WAKUU,,MATUSI SIO LUGHA YA MSTAARABU.

Nitajie 10 tu wanatosha.
 
Hivi man united na simba wanacheza lini?
 
Wewe hapo kwenye bluu umefanyaje!!? SERUKAMBA MWIGULU KIBAJAJI MASABURI YAKO weye.
 
Hii mada itapona kweli? maana mods hawataki CHADEMA ijadiliwe ila kuna thread ya kumchafua Mwigulu humu imeachwa.
 
Back
Top Bottom