Jussa kawaponza wapemba Dar

W

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
736
Likes
2
Points
0
W

Waambi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2012
736 2 0
Hakika CUF ni kama 'mke' mkorofi wa CCM. . Dr Shein ni mtu muungwana sana. We need a tougher guy to rescue muungano lest the nation split apart. Wapemba wa kariakoo watapata shida sana sababu ya uhuni wa Jussa na Seif, zee liso haya... Kwa kuwa tumeishi vizuri na kwa salama wazenjibara waliowekeza au kubangaiza kashata na gahawa bongo, waanze kujiandikisha uraia wa Tanganyika na 'wazanzibara warudi nyumbani ardhi tele. Kwa heri Dr Bilal, Suluhu, Mahadhi, Mwinyi, Nahodha hakuna vyeo vya bure nendeni kugombea usheha unguja au pemba! Maneno na nahau nyiingi kazi hakuna!
 
VUVUZELA

VUVUZELA

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2010
Messages
3,105
Likes
25
Points
135
VUVUZELA

VUVUZELA

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2010
3,105 25 135

Muungano ukifa Zanzibar will be far better off!! Tunawabania tu
 
T

Tiger One

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Messages
569
Likes
26
Points
45
T

Tiger One

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2012
569 26 45
Natoa wito kwa wapemba wote pale namanga, magomeni mapipa, buguruni kwa mnyamani, kariakoo, ilala nk fasta fasta kabidhi majumba na ardhi beba kinacho bebeka sepa, la sivyo usipime moto wa wabara utakapo waliopukia. Nashauri mapema.
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Likes
6
Points
135
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 6 135
Ardhi si suala la muungano kwa sababu wa zanzibar wametaka mafuta na gas yasiwe mambo ya muungano...
WAZANZIBAR WENGI WANATAMBUA KWAMBA DAR ES SALAAM NI LONDONI KWAO.. Hivyo wajipange kuanza maisha mapya huko znz
 
VUVUZELA

VUVUZELA

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2010
Messages
3,105
Likes
25
Points
135
VUVUZELA

VUVUZELA

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2010
3,105 25 135
Natoa wito kwa wapemba wote pale namanga, magomeni mapipa, buguruni kwa mnyamani, kariakoo, ilala nk fasta fasta kabidhi majumba na ardhi beba kinacho bebeka sepa, la sivyo usipime moto wa wabara utakapo waliopukia. Nashauri mapema.
Hiyo ni ndoto ya mchana. Kama wachina wanauza hadi mkaa na wengine ni madobi hawajafukuzwa sembuse wapemba?
 
S

Sideeq

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Messages
2,417
Likes
5
Points
0
S

Sideeq

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2009
2,417 5 0
Hakika CUF ni kama 'mke' mkorofi wa CCM. . Dr Shein ni mtu muungwana sana. We need a tougher guy to rescue muungano lest the nation split apart. Wapemba wa kariakoo watapata shida sana sababu ya uhuni wa Jussa na Seif, zee liso haya... Kwa kuwa tumeishi vizuri na kwa salama wazenjibara waliowekeza au kubangaiza kashata na gahawa bongo, waanze kujiandikisha uraia wa Tanganyika na 'wazanzibara warudi nyumbani ardhi tele. Kwa heri Dr Bilal, Suluhu, Mahadhi, Mwinyi, Nahodha hakuna vyeo vya bure nendeni kugombea usheha unguja au pemba! Maneno na nahau nyiingi kazi hakuna!
Povu la nini?!
 
segwanga

segwanga

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
2,789
Likes
38
Points
145
Age
42
segwanga

segwanga

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
2,789 38 145
Hiyo ni ndoto ya mchana. Kama wachina wanauza hadi mkaa na wengine ni madobi hawajafukuzwa sembuse wapemba?
bora wachina mara mia kuliko waliberali toka pemba!
 
T

Tiger One

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Messages
569
Likes
26
Points
45
T

Tiger One

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2012
569 26 45
Hiyo ni ndoto ya mchana. Kama wachina wanauza hadi mkaa na wengine ni madobi hawajafukuzwa sembuse wapemba?
Kumbuka hili litakuwa bifu kwani wenyewe kwa ujinga wao wameuvunja muungano kwa kumfata Jussa na Seif.
Hawa watafukuzwa na wananchi wenyewe sio wala serikali ya Tanganyika.
Tutawapa kipigo cha mbwa mwizi warudi kwao wakavue na kuendeleza kilimo cha miogo na magimbi.
 
VUVUZELA

VUVUZELA

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2010
Messages
3,105
Likes
25
Points
135
VUVUZELA

VUVUZELA

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2010
3,105 25 135
Kumbuka hili litakuwa bifu kwani wenyewe kwa ujinga wao wameuvunja muungano kwa kumfata Jussa na Seif.
Hawa watafukuzwa na wananchi wenyewe sio wala serikali ya Tanganyika.
Tutawapa kipigo cha mbwa mwizi warudi kwao wakavue na kuendeleza kilimo cha miogo na magimbi.
Mbona wachina wanazidi kuja kila kukicha na hawafukuzwa
 
H

Haki Yetu

Senior Member
Joined
Apr 28, 2011
Messages
162
Likes
0
Points
0
H

Haki Yetu

Senior Member
Joined Apr 28, 2011
162 0 0
Mbona huu uzi siuelewi elewi wakuu?
 
T

Tiger One

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Messages
569
Likes
26
Points
45
T

Tiger One

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2012
569 26 45
Mbona wachina wanazidi kuja kila kukicha na hawafukuzwa
Hatuna bifu na wachina, na pili angalau wana akili kidogo ukilinganisha na wapemba.
Alafu najua dhahili hata waunguja watawachoka wapemba na kuwatenga na sasa hapo zanzibar itakuwa na vinchi viwili.
 
M

mhondo

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Messages
971
Likes
39
Points
45
M

mhondo

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2011
971 39 45
Wataomba uraia wa Tanganyika.
 
E

Emmanuel Swai

New Member
Joined
Jun 9, 2013
Messages
3
Likes
0
Points
0
E

Emmanuel Swai

New Member
Joined Jun 9, 2013
3 0 0
Ni vile tunaona tu lakini hatutazami, tunasikia tu hatuelewi, Muungano una manufaa kwetu sote
 
B

Bocho

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Messages
1,489
Likes
3
Points
135
B

Bocho

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2013
1,489 3 135
Natoa wito kwa wapemba wote pale namanga, magomeni mapipa, buguruni kwa mnyamani, kariakoo, ilala nk fasta fasta kabidhi majumba na ardhi beba kinacho bebeka sepa, la sivyo usipime moto wa wabara utakapo waliopukia. Nashauri mapema.
Fikiria kwa ubongo, hiyo notice ulishawapa wachina?

Wazanzibar hata kama muungano ukivunjia leo, nyumba watawapa watoto wao ambao kiheria ni watanganyika.

Kwa hiyo wazee watarudi Zenji au wataomba permit kama wageni wengine na nyumba zao zitakuwa za watoto wao.

Kama ulikuwa unangojea dezo, yaguju.

ZNZ kwanza upuuzi baadae.
 
brasy coco

brasy coco

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
1,455
Likes
723
Points
280
brasy coco

brasy coco

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
1,455 723 280
Hiyo ni ndoto ya mchana. Kama wachina wanauza hadi mkaa na wengine ni madobi hawajafukuzwa sembuse wapemba?
wachina hatujaungana nao wanaishi wa vibari, muungano ufe na hatumtak mpemba yeyote yule na sisi tutaondoka uku kwao wanatunyanyasa na kutubagua wakati wao uku imejilaza kwa raha wala hawabaguliwi sababu wabongo hawana time ya kumbagua mtu kudadeki wapemba warudi kwao wakalime karafuu zilizopotea hakuna kuwapa Uraia
 
brasy coco

brasy coco

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
1,455
Likes
723
Points
280
brasy coco

brasy coco

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
1,455 723 280
Mbona wachina wanazidi kuja kila kukicha na hawafukuzwa
Mchina abake mpemba kwao tena hakuna kupewa Uraia tunafunga mipaka kila mtu afe na kwao wakivamiwa watajua wenyewe warabu wataifanya iwe Qatar ndogo
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,122
Likes
17,684
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,122 17,684 280
Lazima wale mdudu Tu kudadekiiii
 
brasy coco

brasy coco

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
1,455
Likes
723
Points
280
brasy coco

brasy coco

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
1,455 723 280
Wataomba uraia wa Tanganyika.
Uraia Wakaombe Qatar na si Tanganyika Hakuna Mpemba kupewa Uraia Na Sisi Tulio Kwao Tunarudi washenzi wabaguzi sana hao sasa wabaguane wenyewe na kutupiana mijini maana ndo kazi yao
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
58,086
Likes
55,459
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
58,086 55,459 280
Natoa wito kwa wapemba wote pale namanga, magomeni mapipa, buguruni kwa mnyamani, kariakoo, ilala nk fasta fasta kabidhi majumba na ardhi beba kinacho bebeka sepa, la sivyo usipime moto wa wabara utakapo waliopukia. Nashauri mapema.
Aisee ! Au ndiyo maana BUGURUNI KWA MNYAMANI imekuwa chimbuko la Kipindupindu kwa Dsm ?
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
58,086
Likes
55,459
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
58,086 55,459 280
Hiyo ni ndoto ya mchana. Kama wachina wanauza hadi mkaa na wengine ni madobi hawajafukuzwa sembuse wapemba?
Eti !! Wachina wanauza Mkaa nchi hii ?
 
Forum statistics

Threads 1,274,159
Members 490,601
Posts 30,503,081