Tujitambueni sasa kama watanzania


W

Wa Busiya

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
326
Likes
0
Points
0
W

Wa Busiya

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
326 0 0
Tanzania au Tanganyika lakini kwa sasa tujitambue kuwa tuna wajibu wa kuandaa mstakabali mwema kwa vizazi vijavyo. Wenzetu wanaweza kuweka akiba mfano ya mafuta au chakula cha kutosha miaka kadhaa ijayo, lakini sisi tujitahidi kukopa deni la kulipa miaka kadhaa ijayo! Hii ni hatari! Tujiatambueni kwa sababu kila mtanzania atalazimika kulilipa deni hilo. Dawa ni kujitambua na kisha kulalamika kwa nguvu zote kwa yeyote anayekopa kwa ziada ili eti sisi, watoto na wajukuu wetu tulipe deni.
 

Forum statistics

Threads 1,275,059
Members 490,894
Posts 30,531,755