Mengine yawezakamilika,lakini Muungano utachelewesha Katiba.


K

Kizotaka

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
567
Points
0
K

Kizotaka

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
567 0
Mengine yote ambayo yako kwenye rasimu ya katiba yanaweza kamilika mapema lakini swala la Muungano litatuchelewesha sana.Serikali 3 hazitakuwa na tija hakika. Serikali ya Zanzibar itapokuwa nchi kamili, inataka mara mojo ijiunge oic na wanatamani sana watambulike kwa Dini yao tukufu Islam hili liko wazi, wakati huku Tanganyika ni tofauti kabisa,sasa huyo rais wa serikali ya tatu labda awe mfalme au malkia au bedui kabisa kubalance,katika hili hakuna muungano endelevu kabisa. Kama serikali moja, basi ccm ikubali majimbo na kila jimbo liwe na katiba yake na wimbo wa taifa,mana kwa Zenji ilivyo sasa tunaambiwa sio nchi ila inavyote hivi,sasa kwa nini? wao wanataka kutambulika kama nchi huru,serikali moja itakuwaje? wanajamvi imekaaje hii?
 

Forum statistics

Threads 1,283,524
Members 493,720
Posts 30,792,791
Top