Taifa starz inatumiwa na CCM kisiasa.

Seif al Islam

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
2,156
638
kuna taarifa za CCM kutumia timu ya taifa kujiongezea umaarufu hasa katika kpindi hiki kigumu cha kuelekea 2015.inadaiwa kuwa kipigo cha jana klikuwa simanzi kubwa sana kwa akina Mwigulu waliopanga kuja kuipokea timu hapa Dar na kuifanyia party ili kuipongeaza na kujionyesha kuwa wanaijali.
 
Leo ntakunywa bia mpaka basi. Nimefurahi sana kufungwa.
Wangekua na nyodo sana na vi dreads vyao, wanataka eti tuwashangilie! badala ya yao kucheza mpira.
 
mm nitampa tabu sana shemeji yenu mana wangeshinda hata hii rasimu ya katiba isingejediliwa.mm naomba tufungwe gemu zooooooooooooooooooooote zilizobaki watanzania wasijedanganywa 2015 kuwa tumeendela hadi tukaenda kombe la dunia.
 
Naona zile suti walizo nunuliwa na tbl zimewatokea puani!
Hao wachezaji hawawezi kuwa wapenzi wa ccm!
Labda wawa na akili za kiwendawazimu
 
Zitto pia angetumia hiyo opportunity ya kwamba atakua rais mpenda michezo, mfano lekatugite na kufanikisha kwenda world cup.
Make yuko huko.
 
Acheni kuleta Siasa ktk Mpira. Huu ni unafiki uliopitiliza kwa maana mpira sio siasa hivyo piga kimya.
 
kuna taarifa za ccm kutumia timu ya taifa kujiongezea umaarufu hasa katika kpindi hiki kigumu cha kuelekea 2015.inadaiwa kuwa kipigo cha jana klikuwa simanzi kubwa sana kwa akina mwigulu waliopanga kuja kuipokea timu hapa dar na kuifanyia party ili kuipongeaza na kujionyesha kuwa wanaijali.
KI VIP,au unamaana gan?
 
Mmerithi ki2 kibaya sana kutoka kwa Dr slaa, yaani ni kuona kila kitu kikienda vby basi ni ccm.
 
kuna taarifa za ccm kutumia timu ya taifa kujiongezea umaarufu hasa katika kpindi hiki kigumu cha kuelekea 2015.inadaiwa kuwa kipigo cha jana klikuwa simanzi kubwa sana kwa akina mwigulu waliopanga kuja kuipokea timu hapa dar na kuifanyia party ili kuipongeaza na kujionyesha kuwa wanaijali.
Hili nalo neno.
 
Kwani hapo ilipofikia ni nani kaifikisha kama sio serikali ya CCM? Hata wasipofanyiwa party unadhani wakishinda nani watapewa pongezi kama si serikali ya CCM? Mbona ikifanya vibaya huwa mnailaumu CCM na serikali yake iweje ikifanya vinzuri mseme inatumika kisiasa? Vitu vingine manavifanya kuipaisha CCM bila kujijua. Wewe unapokosoa CCM na serikali yake kuipongeza Taifa Stars ndipo unawafungua macho wananchi wadadisi kwa nini CCM inaipongeza Taifa Stars. Mwishowe wananchi wanagundua kuwa Taifa Stars inafanya vinzuri kutokana na huduma inazopewa na serikali inayoundwa na CCM.
 
Hawa jamaa ni wapumbavu sana kwa nini wasiisadie kabla ya hayo mashindano?? wao wanasubiri kuja kuwapongeza tu bungeni....Akili za mabua hizi
 
Kwani hapo ilipofikia ni nani kaifikisha kama sio serikali ya CCM? Hata wasipofanyiwa party unadhani wakishinda nani watapewa pongezi kama si serikali ya CCM? Mbona ikifanya vibaya huwa mnailaumu CCM na serikali yake iweje ikifanya vinzuri mseme inatumika kisiasa? Vitu vingine manavifanya kuipaisha CCM bila kujijua. Wewe unapokosoa CCM na serikali yake kuipongeza Taifa Stars ndipo unawafungua macho wananchi wadadisi kwa nini CCM inaipongeza Taifa Stars. Mwishowe wananchi wanagundua kuwa Taifa Stars inafanya vinzuri kutokana na huduma inazopewa na serikali inayoundwa na CCM.

akili yako ndogo sana.inasikitisha.hivi hukumbuki kuwa timu hizi zilikuwa na njaa hadi kuchanguiwa unga na wanchi?hivi hukmbuki kuwa hadi mpishi wa taifa z=starz aliwahigi kugoma?au hujui kuwa ccm ndo ilikuwa ikulu hata enzi hizo?
 
Back
Top Bottom