Sera za mwigulu na wenzake ndani ya arusha

S

Sema Kweli

Member
Joined
Apr 12, 2013
Messages
53
Likes
0
Points
13
Age
49
S

Sema Kweli

Member
Joined Apr 12, 2013
53 0 13
Ndugu zangu wana jamvi leo nimehudhuri kwenye mkutano wa kampeni kata ya kaloleni ulio kuwa ukihutubiwa na naibu katibu mkuu wa chama hicho ndugu Mwigulu nchemba.

Nimebahatika kuwasikiliza watu wengi sana ila wengine siwakumbuki majina yao ila napenda hapa kusema kuwa kama ndio hali hii basi ccm wakubali kuwa wameishiwa na hawana tena jipya la kuwaeleza wanachi ili wapate kura zao.

Hapa nataka kusema mambo muhimu yaliyo kuwa yakizungumazwa ambayo kwa ukweli tukiendelea hivi basi niseme tu siasa za Tanzania zinako elekea sio ila tunapelekwa kwenye hali ya hatari.

Nilitarajia kuwa hawa jamaa ndio wenye serikali kwa maana hiyo wangekuwa wastaarabu na kama kuna mtu anae vunja sheria wangeweza kumripoti na hatua zingechukuliwa zidi yake lakini badala yake kilicho kuwa kina semwa ni Lema.......

Bwana mmoja badala ya kuzungumza mambo ya msingi anasema Lema alimuuwa bibi yake na ndio sababu alingangania kwenda jela kwani alikuwa hawezi kwenda kumzika kwani amemtoa kafara.

Hapa jiulize mahusiano ya jela msiba na uchaguzi huu wa diwani kwa hapa Mgombea sio Lema kwa maana hiyo kumzungumzia Lema hapa badala ya kusema nini kitafanywa na chama tawala.

Mwingine anasema Mbowe kampa Mbunge mimba Je kuna mahusiano gani na uchaguzi hapa au hakuna cha kusema?

Mengi sana yamesemwa ila kwa kuwa najua kuna wadau wengi yawezekana walikuwepo wanaweza kuongezea ila kubwa sana ambalo sikutegemea kwa kiongozi kama Mchemba ni pale alipo sema kuliko kuwachagua wapinzani ambao ilani yao haiko kwenye utekelezaji ni bora mkaa numbani kuliko kwenda kupiga kura kwa ni sawa na kujipotezea muda.

Wziri Medeye nae mkitaka kupata mikopo nileteeni diwani wa ccm na kazi ninayo mpa ni kuhakikisha una andika majina ya watu ambao nyumba zao hazina hati tuje tuwape hati ili waweze pata mikopo.
Kibaya kuliko yote nilikuwaga nikisikia kuwa kuna watu wa hatari sana wanao piga watu kwenye mikutano ya ccm ila leo nilijionea ambapo kama si ukimya na upole ulio onyeshwa na mtu mmoja alie kuwa karibu na mimi ninge shuhudia akiumizwa sana kwani tukiwa tumesimama mara akaja mtu mmoja mweusi mkubwa wa mwili kiasi akaanza kumwambia anaweza kumzuru na asifanye chochote kisa ni kwa kuwa jamaa yule alikuwa akisema mbona watu hawashangilii?hapo ndipo nia sikia huyu ni mjusi jina ambalo nimekuwa niklisikia mara kwa mara kuwa amekuwa akiwadhuru watu katika mikutano na sehemu mbali mbali hapa Arusha hapa ndipo siasa za ccm zilipo fika kwa sasa.:smash:
 
N

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
4,748
Likes
78
Points
145
Age
39
N

ndomyana

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
4,748 78 145
Mwigulu kaletwa kwa maksudi maalumu ya kuiangamiza ccm, mara nyingi najuaga mwigulu ni pandikizi la chadema ndani ya ccm
 
L

lupe

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
5,659
Likes
5
Points
0
L

lupe

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
5,659 5 0
Duu hapo kwa kweli wameishiwa sera...
Hizo ndio siasa za majitaka za mwinguru chamba la mavi.huyu jamaa nikisikia comment zake nasikia kutapika...anatia kichefuchefu....naliombea lilaaniwe na Mungu.
 
K

kijiichake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2010
Messages
284
Likes
1
Points
33
Age
38
K

kijiichake

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2010
284 1 33
Majanga hayo¿ Sisiemu kwisha
 
L

lupe

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
5,659
Likes
5
Points
0
L

lupe

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
5,659 5 0
Mwigulu kaletwa kwa maksudi maalumu ya kuiangamiza ccm, mara nyingi najuaga mwigulu ni pandikizi la chadema ndani ya ccm
Mmmhhh mkuu unakosea mwinguru chemba lq mavi sio pandikizi la cdm.huyu anatumia nguvu nyingi na mbinu zote chafu za kishenzi akidhani anaiokoa ccm.kumbe anaimaliza ccm.arusha watu walishaaamka siku nyingi sana.waaache wapigie mbuzi gitaaa.....wameshawatukana watu wa arusha....leo wanakuja kuwaomba kura wakati wakienda hiko iramba wanawatukana.kweli hawa jamaa ni wapumbavu hasa mwinguru sura mbaya na mchafu hajui hata kujiswafi midevu michafuuu inanuka...lichafu saba hili nguruwe mwinguru.
 
M

Mtoto wa tembo

Senior Member
Joined
Oct 4, 2012
Messages
198
Likes
1
Points
0
M

Mtoto wa tembo

Senior Member
Joined Oct 4, 2012
198 1 0
angalia nyumba zote zinazouza mirungi,bangi,pombe ambayo haijaidhinishwa na TBS lazima utaona inapepea bendera ya sisiemu.
jambazi kama jumanne mjusi ni kada wa sisiemu sasahivi na ndie suplayer wa mirungi hapa town.
hata mzee wa magogoni alisha sema ukitaka biashara yako ifanikiwe jiunge na sisiemu,maana yake wao ndio wanawalinda wafanya biashara haramu.
angalia wauza madawa ya kulevya,wauza pembe za ndovu,mirungi,wakwepa kodi wote ni sisiemu.
CCM ni majanga
 
C

Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2007
Messages
2,733
Likes
5
Points
0
C

Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2007
2,733 5 0
Wengine hatuwezi kuhudhuria mikutano yao maana wanatujua akina Mjusi watatulima mashoka bure!
 
N

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
4,748
Likes
78
Points
145
Age
39
N

ndomyana

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
4,748 78 145
Mmmhhh mkuu unakosea mwinguru chemba lq mavi sio pandikizi la cdm.huyu anatumia nguvu nyingi na mbinu zote chafu za kishenzi akidhani anaiokoa ccm.kumbe anaimaliza ccm.arusha watu walishaaamka siku nyingi sana.waaache wapigie mbuzi gitaaa.....wameshawatukana watu wa arusha....leo wanakuja kuwaomba kura wakati wakienda hiko iramba wanawatukana.kweli hawa jamaa ni wapumbavu hasa mwinguru sura mbaya na mchafu hajui hata kujiswafi midevu michafuuu inanuka...lichafu saba hili nguruwe mwinguru.
mi nikajua labda chadema tumeweka pandikizi make siasa anazozifanya zakishamba mno, sasa yule jamaa aliemwagiwa tindikali na kumtembeza ovyo kwenye majukwaa ustaarabu gani huo
 
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Messages
14,418
Likes
1,719
Points
280
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2011
14,418 1,719 280
Mi najiuliza ni 'wapuuzi' gani waliomuweka pale?
 
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
17,769
Likes
2,021
Points
280
Age
36
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
17,769 2,021 280
Mwigulu Nchemba aka bungeni aka Tume ya Katiba hapendi kabisa thread za aina hii
 
Last edited by a moderator:
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Ndugu zangu wana jamvi leo nimehudhuri kwenye mkutano wa kampeni kata ya kaloleni ulio kuwa ukihutubiwa na naibu katibu mkuu wa chama hicho ndugu Mwigulu nchemba.

Nimebahatika kuwasikiliza watu wengi sana ila wengine siwakumbuki majina yao ila napenda hapa kusema kuwa kama ndio hali hii basi ccm wakubali kuwa wameishiwa na hawana tena jipya la kuwaeleza wanachi ili wapate kura zao.

Hapa nataka kusema mambo muhimu yaliyo kuwa yakizungumazwa ambayo kwa ukweli tukiendelea hivi basi niseme tu siasa za Tanzania zinako elekea sio ila tunapelekwa kwenye hali ya hatari.

Nilitarajia kuwa hawa jamaa ndio wenye serikali kwa maana hiyo wangekuwa wastaarabu na kama kuna mtu anae vunja sheria wangeweza kumripoti na hatua zingechukuliwa zidi yake lakini badala yake kilicho kuwa kina semwa ni Lema.......

Bwana mmoja badala ya kuzungumza mambo ya msingi anasema Lema alimuuwa bibi yake na ndio sababu alingangania kwenda jela kwani alikuwa hawezi kwenda kumzika kwani amemtoa kafara.

Hapa jiulize mahusiano ya jela msiba na uchaguzi huu wa diwani kwa hapa Mgombea sio Lema kwa maana hiyo kumzungumzia Lema hapa badala ya kusema nini kitafanywa na chama tawala.

Mwingine anasema Mbowe kampa Mbunge mimba Je kuna mahusiano gani na uchaguzi hapa au hakuna cha kusema?

Mengi sana yamesemwa ila kwa kuwa najua kuna wadau wengi yawezekana walikuwepo wanaweza kuongezea ila kubwa sana ambalo sikutegemea kwa kiongozi kama Mchemba ni pale alipo sema kuliko kuwachagua wapinzani ambao ilani yao haiko kwenye utekelezaji ni bora mkaa numbani kuliko kwenda kupiga kura kwa ni sawa na kujipotezea muda.

Wziri Medeye nae mkitaka kupata mikopo nileteeni diwani wa ccm na kazi ninayo mpa ni kuhakikisha una andika majina ya watu ambao nyumba zao hazina hati tuje tuwape hati ili waweze pata mikopo.
Kibaya kuliko yote nilikuwaga nikisikia kuwa kuna watu wa hatari sana wanao piga watu kwenye mikutano ya ccm ila leo nilijionea ambapo kama si ukimya na upole ulio onyeshwa na mtu mmoja alie kuwa karibu na mimi ninge shuhudia akiumizwa sana kwani tukiwa tumesimama mara akaja mtu mmoja mweusi mkubwa wa mwili kiasi akaanza kumwambia anaweza kumzuru na asifanye chochote kisa ni kwa kuwa jamaa yule alikuwa akisema mbona watu hawashangilii?hapo ndipo nia sikia huyu ni mjusi jina ambalo nimekuwa niklisikia mara kwa mara kuwa amekuwa akiwadhuru watu katika mikutano na sehemu mbali mbali hapa Arusha hapa ndipo siasa za ccm zilipo fika kwa sasa.:smash:
Hizo ndizo Zao...mwigulu soon ataiona arusha ilivyo.Waarusha si watu wa kuamini sana,linapokuja suala la kudeal na adui.Halafu hajui anchofanya kinazidi wachekesha waarusha na experience zao na watu wa njia za vumbi....wanajulika kwa kufanya kila kiwezekanacho ili wabaki wakitumikishwa mjini..Watajiuza,watakuwa waganga,watakuwa wambea wa wahindi na waarabu, watauza dada zao,watauza bar..ila hawatajitegemea mpaka wafe.
 
B

baba ye2

Member
Joined
Jun 8, 2013
Messages
67
Likes
0
Points
0
B

baba ye2

Member
Joined Jun 8, 2013
67 0 0
Mwigulu na kina mjus, na rama mkulu na makapurwa wengi wa mjini walikua jana mida ya saa mbili usiku walikua ktk chuo cha help to self wakipanga mikakati ya fujo na kuharibu uchaguz, nilijipenyeza nilipoona wamenihis ni cdm nikang"oa fasta maana wale jamaa wakikushtukia wanakuanzishia mkuu. Ila wataumbuka.
 
L

Lilambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Messages
2,524
Likes
6
Points
135
L

Lilambo

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2013
2,524 6 135
Mdau tuletee na sera za chadema, tumsikie Lema akiropoka. Fanya hivo mdau tupime then tuamue.
 
M

mlangama

New Member
Joined
Apr 16, 2012
Messages
3
Likes
0
Points
0
Age
50
M

mlangama

New Member
Joined Apr 16, 2012
3 0 0
Kwakwewli haya ni majanga matupu!
Mwigulu,Nape,lusinde na vijana wengine wa ccm ni wahuni na hawana sera.Naweza sema, wana tamaa ya uongozi ili wafanye ufisadi tu.kwa mfano:nape aliponyimwa tiketi ya kugombea ubunge jimbo la ubungo kupitia ccm,nusura arudishe kadi ya ccm na ndipo Rais alipomteua kuwa mkuu wa wilaya masasi.Vilevile aliweka beaf kubwa na Ndugu Edward lowasa juu ya jengo lilojengwa kifisadi ktk viwanja vya umoja wa vijana
 
Forum statistics

Threads 1,272,655
Members 490,101
Posts 30,456,352