Hoja Kwenye Rasimu Kuhusu Rais Asiyetimiza Ahadi!

Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined
May 19, 2009
Messages
13,207
Likes
386
Points
180
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined May 19, 2009
13,207 386 180
Rais anapotoa ahadi katika kipindi cha miaka 5 ya kwanza na asizitimize katika kipindi husika asiruhusiwe kugombea kipindi cha miaka 5 inayofuata! Hoja hii iingizwe kwenye Rasimu ya Katiba Mpya. Mnaonaje hii wakuu? Nawasilisha kwa mjadala!
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
9,669
Likes
10,060
Points
280
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
9,669 10,060 280
Rais anapotoa ahadi katika kipindi cha miaka 5 ya kwanza na asizitimize katika kipindi husika asiruhusiwe kugombea kipindi cha miaka 5 inayofuata! Hoja hii iingizwe kwenye Rasimu ya Katiba Mpya. Mnaonaje hii wakuu? Nawasilisha kwa mjadala!

Mkuu hiyo haitoshi. Kwa pendekezo hilo kuna uwezekano wa viongozi kuwa very sincere katika kipindi cha kwanza cha uongozi lakini wakawa mbwa mwitu wanapofanikiwa kwa kipindi cha pili. Wanaweza kufanya mambo ya ajabu mno pengine hata kulitumbukiza taifa katika hatari kubwa zikiwapo za kiusalama na kiuchumi kama madeni makubwa yasiyolipika, n.k.

Nadhani hakuna haja ya kuzunguka mbali, Katiba iainishe suala la haki elimu ya uraia; elimu ambayo itasaidia wananchi kuchagua viongozi (wabunge) wazalendo kwa taifa; wabunge watakomchagua Spika kwa uzalendo bila shinikizo za kisiasa, wabunge watakokuwa tayari kulitetea taifa ikibidi hata kwa damu. Na Bunge la aina hii litakuwa na uwezo wa kumuondoa madarakani Rais pale itakapoonekana hatimizi ahadi zake iwe ni kipindi cha kwanza au cha pili.
 
Gwangambo

Gwangambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Messages
3,653
Likes
94
Points
145
Gwangambo

Gwangambo

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2012
3,653 94 145
Iwe hivi, Rais akivurunda kama ------, hata miezi sita piga chini.:yell:
 
andate

andate

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Messages
2,654
Likes
27
Points
145
andate

andate

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2011
2,654 27 145
Mkuu hiyo haitoshi. Kwa pendekezo hilo kuna uwezekano wa viongozi kuwa very sincere katika kipindi cha kwanza cha uongozi lakini wakawa mbwa mwitu wanapofanikiwa kwa kipindi cha pili. Wanaweza kufanya mambo ya ajabu mno pengine hata kulitumbukiza taifa katika hatari kubwa zikiwapo za kiusalama na kiuchumi kama madeni makubwa yasiyolipika, n.k.

Nadhani hakuna haja ya kuzunguka mbali, Katiba iainishe suala la haki elimu ya uraia; elimu ambayo itasaidia wananchi kuchagua viongozi (wabunge) wazalendo kwa taifa; wabunge watakomchagua Spika kwa uzalendo bila shinikizo za kisiasa, wabunge watakokuwa tayari kulitetea taifa ikibidi hata kwa damu. Na Bunge la aina hii litakuwa na uwezo wa kumuondoa madarakani Rais pale itakapoonekana hatimizi ahadi zake iwe ni kipindi cha kwanza au cha pili.
kama mikataba tunayo-saini ktk kipindi hiki cha pili.
 
Mwasi

Mwasi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2010
Messages
249
Likes
2
Points
33
Mwasi

Mwasi

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2010
249 2 33
Naunga mkono hoja, na pia naungana na mkuu Gwangambo rais akishindwa kuperform na kuwa dhaifu kwenye kila idara apigwe chini hata kama miaka mitano haijaisha. Hii itatuepusha kurudi katika hali ya kuwa kama hatuna rais, kama ilivyo sasa huko mbeleni.
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,272,590
Members 490,036
Posts 30,454,479