Sitta amezomewa sana Ifakara akimnadi mgombea ubunge wa CCM mzee Masebo.
ifakata kuna mtu anagombea ubunge
Huyu mzee anazeeka vibaya! Mambo anayofanya hayalingani na umri wake!!!
Siyo Sitta tu bali CCM wote ni wanafiki sana ukimuondoa Lowassa. Huyo Sitta bora angepigwa kabisa............akome.
Ulikuepo wapi wewe? Limezomewa sana hilo li 6! Tatizo lenu ccm hamsomi alama za nyakati ccm imechokwa jamani.Hizo ni bla bla za Chadema tumewazoea. Kwa wale tuliokuwa pale tunajua hali halisi.
Enyi endeleni kujifariji kwenye Keyboard!
ifakata kuna mtu anagombea ubunge
Hawa CCM wametuharibu sana..
Mzee six anasitahili kuzomewa ni mnafiki sana huzo mzee...