Kwanini mabomu yanapotokea Rais anakuwa hayupo nchini?

Status
Not open for further replies.

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Jamani naomba ufafanuzi au kama kuna mwenye tetesi kwa nini iwe hivi? Kulikoni? Inaumiza sana tena sana,balaa gani hili linalotukumba watanzania? Kwa kweli,tunakoelekea sielewi!! Kama hali ndiyo hii hakika Tanzania hakuna amani ila kuna utulivu tu.
 
Jamani naomba ufafanuzi au kama kuna mwenye tetesi kwa nini iwe hivi? Kulikoni?
Inaumiza sana tena sana,balaa gani hili linalotukumba watanzania?
Kwa kweli,tunakoelekea sielewi!! Kama hali ndiyo hii hakika Tanzania hakuna amani ila kuna utulivu tu.


akiondoka wanaotakiwa kulinda usalama wanarelax
au we unaonaje
kaenda kuomba G8
 
Kutokuwepo kwa Raisi nchini wakati milipuko inatokea inawezekana ikawa ni sehemu ya kumuondoa Raisi (mwenyekiti wa ccm) katika lawama. Ndani ya ccm wanajua kuwa kazi waliyompa mwigulu anaifanya bila ya weledi kiasi anaweza kuchangia sana kumpaka tope kipenzi chetu jk.

Kwangu mimi ninahisi hata kama angekuwepo kwani angefanya nini?....kwani matukio mangapi ameyatolea kauli butu ambazo hadi leo hazija leta matunda yeyote. raisi wetu ni mlalamishi tu na ni mtu anaependa kuonewa huruma na pia hataki kuwachukulia hatua akina Mwema,Othman Rashidi na Waziri Nchimbi.

Lakini kwa mwendo huu! taifa limefika mahali pabaya, watanzania tufumbue macho na kuchukua hatua zitakazo harakisha kuiondoa serikali hii ya chama cha mapinduzi.

Nchi imejaa mizengwe, udhaifu mkubwa sana wa vyombo vya dola na hata wanaposaidiwa kupewa taarifa hakuna la maana wanalolifanya na zaidi sana walifungia gazeti linalojaribu kufanya hivyo. Hebu wasira na waziri mkuchika watueleze labda wao wanayaona matukio haya kwa jicho la kova!
 
Usiulize kwanini rais anakuwa hayupo kila tukio,jiulize kwanini haya mambo hayawapati hao viongozi wenu? Mnaishia kufa wapambe na kujeruhiwa wao hakuna kwanini? Wao ndio wahusika wakuu wa matukio haya
 
Janja ya Kikwete hiyo ili wazungu waone kama hausiki. Uzuri ni kuwa wazungu anaowalamba miguu wameishatukia kuwa nchi imemshinda na kuna viashiria vya kupotea amani baada ya CCM kutumia usalama wa taifa kufanya udikteta ibaki madarakani
 
Usiulize kwanini rais anakuwa hayupo kila tukio,jiulize kwanini haya mambo hayawapati hao viongozi wenu? Mnaishia kufa wapambe na kujeruhiwa wao hakuna kwanini? Wao ndio wahusika wakuu wa matukio haya

Kwa hiyo balozi wa Vatican alitupa bomu likawaua walei yeye akapona au siyo.,?!
 
jamani hii ishu ni serius so tunahitaji gt na si kama mnavyotufanyia tumeumia na imetuhuma sana wana arusha na tulikuwepo kwenye mkutano ndio usiseme
 
Jamani naomba ufafanuzi au kama kuna mwenye tetesi kwa nini iwe hivi? Kulikoni?
Inaumiza sana tena sana,balaa gani hili linalotukumba watanzania?
Kwa kweli,tunakoelekea sielewi!! Kama hali ndiyo hii hakika Tanzania hakuna amani ila kuna utulivu tu.

Kuwa anayatega halafu anaondoka nchini, au sio?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom