kwanza natoa pole kwa wale waliofiwa na wale waliojeruhiwa katika bomu huko mkutano wa chadema arusha;lakini ngoja tuendelee na mapambano ya kuikomboa nchi hii.leo mbeya hali ilikuwa nzuri huku sugu na msigwa wakifunga kampeni hizo picha hizi hapa
watu walikuwa wengi balaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.