Bwana Mbowe (kamanda wa anga) nae ana mpango wa kwenda shule ili ajiendeleze kwani amekuwa akidhalilishwa sana na watu hasa wana-CCM kuhusu ufaulu wake wa daraja sifuri (0).
Maamuzi haya magumu yamefikiwa na bwana Mbowe kutokana na hali ya fedheha hiyo ambayo amekuwa akiivumilia kwa muda mrefu sana, lakini pia hata ndani ya chama anacho kiongoza kumekuwa kuna minong'ono kama vile;
"akili ndogo kuongoza akili kubwa", "kipofu kuongoza njia wenye macho", "bwana zero", "ubaba mkwe dawa" n.k
Hivi vijembe vimekuwa vikitolewa nyakati tofauti tofauti ndani na hata nje ya chama chake, hali inayo mpelekea kukosa raha na kuona kama astahili kuwa mwenyekiti wa CHADEMA.
My take;
Ni mawazo na maamuzi mazuri sana bwana Mbowe, kwani kuna msemo usemao, "elimu haina mwisho", lakini pia kuna msemo usemao "ujinga haujifichi kwenye umri", misemo hii inaweza ikakutia moyo na kukupa zaidi nia na ghadhabu ya kwenda shule, kusoma kwa bidii na kuweza kuondoa ujinga.
Hongera sana bwana Mbowe.