assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Wimbo wa Taifa wa CUF unasema hivi:
Ni haki sawa kwa watu wote, kuendeleza taifa letu Utajirisho itikadi yetu, tukatae kuonewa. Siasa itumikie, uchumi wa Nchi yetu Ni mwiko huo uchumi, kutumikia siasa