Laiti nchi angekabidhiwa prof Lipumba (must read)


A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,737
Likes
2,350
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,737 2,350 280
Ukisoma na kusikiliza bajeti iliopita inadhihirisha wananchi bado tutaendelea kutaabika
1. Serikali bado kimya juu ya misamaha ya kodi kwa makampuni ya madini
2. Bado serikali kimya juu ya faida ya dhahabu kwa makampuni ambayo imepanda sana wakati wao wanalipa kodi kwa bei ya zamani ambapo dhahabu ilikua chini
3. Haijaeleza ni vp itawakomboa vijana ambao ni wengi na hawana ajira
4. Kupunguza asilmia moja kwenye kodi ya mishahara ni kama dhihaka kwa wafanyakazi
5. Kuongeza kodi kwenye petrol na diesel ni kuongeza ukali wa maisha kwa mwananchi maskini
6. Kuongeza kodi kwenye mpesa ambayo ni mkombozi kwa wananchi wa vijijini ambao hawatumii miamala ya benki ni kuwakomoa wananchi
Ndugu wananchi lau tungemkabidhi nchi hii MCHUMI WA KIMATAIFA tungekula neema za nchi MY TAKE: UKIIPIGIA CCM KURA USILALAMIKE KUHUSU UGUMU WA MAISHA, JITAMBUE ANZA MABADILIKO PALE POPOTE ULIPO KWA KUWANYIMA CCM UDIWANI, UBUNGE NA BAADAE KUITOA MADARAKANI 2015.
 
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,737
Likes
2,350
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,737 2,350 280
Tusifanye makosa tena 2015 tumpe mtaalamu wa uchumi hii mtafurahia utajiri wa tanzania
 
KIHENGE

KIHENGE

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Messages
339
Likes
4
Points
0
KIHENGE

KIHENGE

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2011
339 4 0
Ukisoma na kusikiliza bajeti iliopita inadhihirisha wananchi bado tutaendelea kutaabika
1. Serikali bado kimya juu ya misamaha ya kodi kwa makampuni ya madini
2. Bado serikali kimya juu ya faida ya dhahabu kwa makampuni ambayo imepanda sana wakati wao wanalipa kodi kwa bei ya zamani ambapo dhahabu ilikua chini
3. Haijaeleza ni vp itawakomboa vijana ambao ni wengi na hawana ajira
4. Kupunguza asilmia moja kwenye kodi ya mishahara ni kama dhihaka kwa wafanyakazi
5. Kuongeza kodi kwenye petrol na diesel ni kuongeza ukali wa maisha kwa mwananchi maskini
6. Kuongeza kodi kwenye mpesa ambayo ni mkombozi kwa wananchi wa vijijini ambao hawatumii miamala ya benki ni kuwakomoa wananchi
Ndugu wananchi lau tungemkabidhi nchi hii MCHUMI WA KIMATAIFA tungekula neema za nchi MY TAKE: UKIIPIGIA CCM KURA USILALAMIKE KUHUSU UGUMU WA MAISHA, JITAMBUE ANZA MABADILIKO PALE POPOTE ULIPO KWA KUWANYIMA CCM UDIWANI, UBUNGE NA BAADAE KUITOA MADARAKANI 2015.
tatizo Lipumba naye si ndo anandoa na CCM na mkataba wao upo!?
 
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
5,566
Likes
2,896
Points
280
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
5,566 2,896 280
Mkuu, inaelekea we uko nje ya nchi, Lipumb mwenyewe alimsaidia Kikwete kuingia madarakani, huyo mchumi unayemsifia aliona Kikwete anaweza zaidi yake, nadhani hata Kikwete naye ni mchumi vile? Majaribio haya tena kwasasa tumekoma, hatudanganyiki!
 
Komeo

Komeo

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2011
Messages
2,476
Likes
472
Points
180
Age
29
Komeo

Komeo

JF-Expert Member
Joined May 3, 2011
2,476 472 180
Mmmh! Huyo Prof. tena. Mimi nafikiri huyo yuko kimataifa zaidi. Labda tumpe nchi Mchumi Daraja la Kwanza, Bw. Lameck a.k.a. Mwigulu, halafu muone! Teh teh teh.
 
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,737
Likes
2,350
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,737 2,350 280
mmmh! Huyo prof. Tena. Mimi nafikiri huyo yuko kimataifa zaidi. Labda tumpe nchi mchumi daraja la kwanza, bw. Lameck a.k.a. Mwigulu, halafu muone! Teh teh teh.
acha ushabiki bajeti inakuadhir ht ww
 
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,737
Likes
2,350
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,737 2,350 280
mkuu, inaelekea we uko nje ya nchi, lipumb mwenyewe alimsaidia kikwete kuingia madarakani, huyo mchumi unayemsifia aliona kikwete anaweza zaidi yake, nadhani hata kikwete naye ni mchumi vile? Majaribio haya tena kwasasa tumekoma, hatudanganyiki!
kwa iyo unataka CCM waendelee kukutawala poor thinking
 
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,737
Likes
2,350
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,737 2,350 280
Haki kwa wote ni jambo la kuzingatia ewe mwananchi
 
Komeo

Komeo

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2011
Messages
2,476
Likes
472
Points
180
Age
29
Komeo

Komeo

JF-Expert Member
Joined May 3, 2011
2,476 472 180
acha ushabiki bajeti inakuadhir ht ww
Inaelekea hujanisoma. Sishabikii kwamba bajeti hainiathiri mimi. Lakini nilitaka ujue tu kuwa Prof. Lipumba alikiri kumsaidia mchumi mwenzie JK ili aongoze nchi, pengine baada ya kuona mwenzake anaweza kuliko yeye. Na pia usifikiri kuwa mchumi ndio uwezo pekee wa kuongoza nchi. Lakini kwakuwa unawapenda wachumi ndio nikakukumbusha kuwa kuna Mchumi Daraja la Kwanza pale, je unafikiri ataweza kuiongoza nchi? Binafsi najua nitachangia sana na bajeti ijayo kwakuwa nimekabwa kila kona.
 
Centrehalf

Centrehalf

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2013
Messages
509
Likes
1
Points
0
Centrehalf

Centrehalf

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2013
509 1 0
Hivi mkuu si ndio huyuhuyu pr lipumba aliye wapigia debe ccm mwaka 2010 miskitini na kuwapa ilani ya cuf siku ya kuapishwa rais?jipya gani alilonalo nje na hayo?
 
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,737
Likes
2,350
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,737 2,350 280
inaelekea hujanisoma. Sishabikii kwamba bajeti hainiathiri mimi. Lakini nilitaka ujue tu kuwa prof. Lipumba alikiri kumsaidia mchumi mwenzie jk ili aongoze nchi, pengine baada ya kuona mwenzake anaweza kuliko yeye. Na pia usifikiri kuwa mchumi ndio uwezo pekee wa kuongoza nchi. Lakini kwakuwa unawapenda wachumi ndio nikakukumbusha kuwa kuna mchumi daraja la kwanza pale, je unafikiri ataweza kuiongoza nchi? Binafsi najua nitachangia sana na bajeti ijayo kwakuwa nimekabwa kila kona.
huna ushahidi unaongozwa na hisia
 
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,737
Likes
2,350
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,737 2,350 280
hivi akina kagame, obama nao in wachumi wa kimataifa
kagame anachukua madini kongo obama anaiba mafuta iraq na libya hv hufikr au unaitaji antvirus
 
F

Farudume

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Messages
3,916
Likes
2,947
Points
280
Age
32
F

Farudume

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2013
3,916 2,947 280
Hata kikwete nae ni Mchumi kwa hiyo Uchumi wa Lipumba sio Hoja maana ndie alikuwa Mshauri Enzi za Mwinyi na hakuna lolote la maana alilotufanyia.Lipumba kwangu ni Mtu ambaye ataingiza Nchi yetu katika Vita vya Kidini hivyo ni wa kuepuka kama UKOMA.
 
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,737
Likes
2,350
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,737 2,350 280
hata kikwete nae ni mchumi kwa hiyo uchumi wa lipumba sio hoja maana ndie alikuwa mshauri enzi za mwinyi na hakuna lolote la maana alilotufanyia.lipumba kwangu ni mtu ambaye ataingiza nchi yetu katika vita vya kidini hivyo ni wa kuepuka kama ukoma.
kikwete ni mwanjeshi mstaafu uchumi kasomea wapi au shule za kata walivyowafundisha
 
kabila01

kabila01

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2009
Messages
3,572
Likes
2,993
Points
280
kabila01

kabila01

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2009
3,572 2,993 280
kagame anachukua madini kongo obama anaiba mafuta iraq na libya hv hufikr au unaitaji antvirus
Hoja yangu in kwamba nchi Kua na uchumi mzuri sio mpaka Raisi awe mchumi wa Kimataifa.
 
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,737
Likes
2,350
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,737 2,350 280
hoja yangu in kwamba nchi kua na uchumi mzuri sio mpaka raisi awe mchumi wa kimataifa.
ndo maana nakwambia ukanunue macfee akili ina virus
 

Forum statistics

Threads 1,272,635
Members 490,036
Posts 30,455,626