Chadema waikimbia ccm udiwani morogoro,,tazama vidio mzee sitta aiweka ccm juu

Asenga wa Pakaya

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
260
60
Ushahidi wa vidio jinsi ccm ilivyofunika ifakar na mzee samweli sitta.chadema na sugu,afande sele,taarabu ya mzee yusuph na prof j
 
Ushahidi wa vidio jinsi ccm ilivyofunika ifakar na mzee samweli sitta.chadema na sugu,afande sele,taarabu ya mzee yusuph na prof j

Acha ushabiki wa kijinga.Mkutano wa CCM ulkkimbiwa na watu baada ya Diamond,ambaye mlimkodi kwa shs.10m kushuka jukwaani baada ya kuimba nyimbo 2 tu.Hao wassni wengine hata hawakutokea.Uongo wako ni mbinu chafu ya kutaka kuhalalisha wizi mliopanga kuufanya kesho.Mbinu hiyo imeshindwa kabla haijatekelezwa maana wapinzani wetu CHADDMA ni wajanja zaidi
 
Back
Top Bottom