Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wana JF na hasa wanaharakati wa mabadiliko katika nchi hii, Juzi nilikuwa na safari ya kutoka Dodoma yalipo makazi yangu ya kudumu kuelekea Iringa ambapo nimeishi kwa muda mrefu sana kabla...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
8 July, 2013 HE. MR JAKAYA KIKWETE PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA STATE HOUSE DSM THE RESOURCES OF TANGANYIKA SPENT ON THE UNION AFFAIRS AS FROM 26/4/ 1964 AND HELPED THE...
12 Reactions
82 Replies
9K Views
Mbona leo anapinga Zanzibar kujitawala wakati yeye mwaka 2009 aliandika kitabu na kumtetea sana Jumbe kuwa aliondolewa kwa sababu ya hoja ya serikli tatu. Mbona Shivji na Babu walienda Eritrea ...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Tangu Tanzania iingie kwenye ushindani mkubwa katika siasa hasa kwa vyama hivi viwili( CHADEMA & CCM), watanzania wengi wasio na hatia wamepoteza uhai wao na wengine kupoteza viungo vyao( tukiacha...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wajameni hapa sijaelewa kitu naomba msaada kwa wahusika na waandishi wa habari walio kuwepo, huu usafiri mhusika alitoka nao wapi? Na aliukodisha ili na mimi nikakodishe au aliutumia kwa kutumia...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Mtanzania wa leo sio wa jana, mtanzania wa leo kamwe hatakuwa mbumbumbu kama ilivyokuwa. Sababu zipo nyingi wasomi ngazi ya form 4 au vyuo imeongezeka mara kibao ukilinganisha na mwaka 2000, 2005...
0 Reactions
1 Replies
868 Views
Mw/kiti wa BAVICHA wilaya ya Arusha mjini amepigwa vibaya sana na kikundi cha green guard ambacho kikochini ya CCM..tukio hilo limetokea mchana huu akiwa anaelekea kwenye kampeni huko Engototo...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Lango kuu la kuingia Ikulu (Picha zote kwa hisani ya Michuzi) Rais akiwasalimia wananchi waliopo hapo Ikulu kumlaki Obama. Upande wa Mashariki -Obama Avenue (Zamani Ocean Rd )
16 Reactions
977 Replies
87K Views
Wakuu, Hivi karibuni kamati kuu ya CHADEMA imekutana siku ya July 6 na July 7 kujadili ajenda mbalimbali ikiwemo hali ya siasa nchini. Jambo la kushangaza ni maazimio yaliyo fanywa na kamati...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Watawala huweza kutawala wapendavyo mpaka pale wananchi wanapoamua kuuliza maswali. Utawala wa kiimla unaweza kujisimika kwa muda mrefu madarakani kwa kadiri ya kwamba maswali na kupinga (dissent)...
8 Reactions
31 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ametangaza tarehe rasmi ya kuanza kwa mikutano ya Mabaraza ya Katiba ya wilaya, huku akiwaonya watu wa kada mbalimbali vikiwemo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimesoma gazeti la tanzania daima linalomilikiwa na mwenyekiti wa chadema Mh.Mbowe la leo tar.8/6/2013 lenye habari ya kuhusu mafunzo ya vijana wa ccm kuwa ni ya kijeshi na kigaidi na yanafanywa...
4 Reactions
137 Replies
10K Views
Swali: A Question from Mss Christine from BBC News to President Kikwete during the Obama's press conference at Ikulu in Dar es Salaam yesterday Part A "President Kikwete, Did you discuss with...
0 Reactions
2 Replies
828 Views
Ndugu wana JF, nimesikitishwa sana kusikia kuwa Chama Cha Mapinduzi kina jeshi. Je hii ndio katiba ya nchi kuwa kila chama kiwe na jeshi lake? Mbona hapatatosha. Ninasadiki kuwa Nyerere (RIP)...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Inawezekana kabisa CHADEMA wasiwe na nia mbaya juu ya kusudio lao la kuunda kikosi maalum cha ulinzi wa viongozi wake na chama kwa ujumla. Lakini ni budi kutoka nje ya box na kufikiri kwa mapana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni siasa chafu na zisizovumilika, na ni dalili za CCM kushindwa kufanya kampeni majukwaani kwa sera sasa wanawashambulia wafuasi wa CHADEMA na kuwajeruhi kwa lengo la kuwapotezea uhai wao...
2 Reactions
164 Replies
16K Views
Wana JF Ni majuzi Obama alikuja Tanzania na kwa kuwa TV na Radio na magazeti wote walikuwa wanasema ni heshima kwa Watanzania yaani watu wa Tanzania kama Taifa na si Siasa za vyama , nilitegemea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Violent Episodes Grow in Tanzania, an African Haven By NICHOLAS KULISH Published: June 30, 2013 DAR ES SALAAM, Tanzania - As one of the leaders of an acrimonious doctors' strike in Tanzania...
31 Reactions
351 Replies
27K Views
Back
Top Bottom