Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni baada ya kufanikiwa Makanisani amekuja na mpya, ameamua kuingia katika jamii ya Waislamu kwa maslai yake, katika mbio zake za kusaka Urais akiwa Jijini Mwanza aliweza 'kujisilimisha' kiaina na...
1 Reactions
85 Replies
8K Views
Jana katika kipindi cha redio moja mkoani singida,m/kiti wa UVCCM mkoa wa Singida ametoa TAMKO kuwa haiwezekani vijana wageni waliofukuzwa CHADEMA na kuingia ccm wakapewa kipaumbele cha kutembezwa...
10 Reactions
67 Replies
7K Views
Spika wa Bunge, Anne Makinda, ameibuka na kauli yenye utata mkubwa akivituhumu vyombo vya habari kwamba vinahongwa na wabunge wa kambi ya upinzani ili viandike habari zao vizuri. Bila kufafanua...
3 Reactions
88 Replies
7K Views
MAHOJIANO YA MH.MWIGULU LAMECK NCHEMBA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI ARUSHA TAR.10/07/2013 SAA (12:03 hadi saa 12:47 jioni hii). Picha na maktaba Mh.Mwigulu Lameck Nchemba amefuatwa na...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Salamu wanajamvi! Katika mwendelezo wa hujuma wa chama cha mapinduzi,kupitia msemaji mkuu wa jeshi la polisi,kinasema kikosi cha RED BRIGEDI kilichopo chini ya CHADEMA wamedai kivunjwe wakati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Asabuhi ya leo nilikua nikisikiliza news toka Radio WAPO, mojawapo ya taarifa ni kwamba eti Kiranja mkuu kawaambia wachaga kuwa miaka mitano ijayo shule elfu tatu zitakuwa zinafundisha kwa kutumia...
0 Reactions
132 Replies
13K Views
Habari za kuhaminika nchemba nusura hale kibano mitaa ya mviringo bar kaloleni, akipita kwenye nyumba za watu yeye na wasira kuomba kura kitu ambacho ni kinyume na taratibu za tume. Polisi ndio...
4 Reactions
112 Replies
7K Views
Kamati kuu ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imetangaza kutambua na kuridhishwa na kazi iliyofanywa na tume ya mabadiliko ya katiba ambapo pia imejadili maudhui yaliyomo kwenye...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi baada ya Chadema kushambuliwa na Jeshi la polisi, raisi kikwete na wana CCM kuhusu adhima yao ya kuwafundisha vijana wa Red brigedi ukakamavu ili waweze kukabiliana na maovu ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika mukutano huu wa leo ulikuwa vitu kwa khari fulani, kituko kimoja achacho na kikumbuka , aliyemukaribisha amesema ndugu muheshemiwa karibu ujaribu kuongea na wa mashichinga hawa , kitu...
0 Reactions
85 Replies
10K Views
Mh Membe, Mimi kama mtanzania natoa hoja naomba serekali yangu inisikie, tafadhali tunaomba serekali yaTZ ijiondoe kwenye muunguno wa EAC hatuwezi kuendelea huu umoja wakati tayari washirika...
3 Reactions
67 Replies
5K Views
kumekuwa na hila za hapa na pale kuwakatisha tamaa makomred ambao wamejiunga na CCM NA KUKATAA ukiritimnba wa CHADEMA,,kelele hizo za kizushi zinalengo la kuwakatisha tamaa wapigananji...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
(makala hii imeandikwa na Dr. Mohammed Seif Khatibu) MWAKA 1984, mkoani Dodoma ndani ya ukumbi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kulikuwepo kesi kubwa. Kesi ya kiongozi wa juu wa serikali ya Zanzibar...
22 Reactions
96 Replies
7K Views
Chadema waweka msimamo serikali tatu, mabomu Arusha Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imekutana kwa dharura kujadili muundo wa serikali tatu na hatma ya Muungano wa...
6 Reactions
82 Replies
7K Views
  • Closed
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO [CDM] ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania ambacho kimekuwa kikipita ktk wakati mgumu sana Kisiasa. Hii ni kutokana na kuwa hapo nyuma ilizoeleka kuwa vyama...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
Utoh amtunishia msuli Speaker Anne Makinda CAG abaini ubadhirifu mkubwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ilitolewa jana ikiweka bayana madudu mbalimbali ya...
7 Reactions
67 Replies
11K Views
If there are images in this attachment, they will not be displayed. Download the original attachment Page 1 The world must know what is happening here… RESISTING CORRUPTION AND...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Wanabodi Habari za uhakika zinasema kuwa Mwenyekiti wa ccm Taifa ameagiza kwa gharama yoyote lazima ccm ishinde kata ya Kaloleni,na ametishia kuutimua uongozi wa Wilaya,endapo utashindwa katika...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Askari jeshi la polisi mkoani mtwara wameingia katika kipindi kigumu baada ya baada ya kulazimika kuhamia katika kambi zilizopo kutuo kikuu mkoani mtwara na kuishi ktk mahema,hiyo imesababishwa na...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Back
Top Bottom