Jamii hupata wakati mzuri sana wa kutafakari mambo wakati amani inapotawala muktadha wa nyakati.
Katika kutafakari huku, yale yote mazuri huchambuliwa moja baada ya lingine na jamii hufurahia...
Ndugu zangu,
Chadema wamejidhihirisha ni watu wa aina gani kwa mawazo yao finyu ya kila kukicha kutoa matamko ambayo mwisho wake yatawafanya wachukiwe na kila mtanzania
Leo hii wanadiriki hata...
Wenyewe Wadai ni Maamuzi Binafsi, Hawayatambui.
Na Salum Vuai, Maelezo
SUITAFAHAMU imeikumba maskani ‘kaka' ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Muembekisonge, kufuatia uongozi wa Wadi ya Rahaleo...
Pendekezo langu la msingi ni kwamba, kura ya maoni isubiri kukamilishwa kwa rasimu ya katiba ya Tanzania Bara na zote zikajadiliwa na wananchi kwa pamoja. Sina pingamizi kuwa Wajumbe wa Tume wa...
Tanzania ni nchi kubwa kuliko nchi zote za jumuia ya Afrika Mashariki. Ni nchi pia yenye rasilimali nyingi kuliko zote za Afrika mashariki.
Tanzania inayo Rasilimali Bahari,Maziwa,Mbuga za...
Tanzania is set to benefit from a 1.4tri/- five-year development programme to be funded by the government of Sweden through the Swedish International Cooperation Agency (SIDA).
Swedish...
Nimetoka hapo hotelini muda si mrefu na kuna mkutano unaoendelea ndani ya Hoteli hii ya SG ni hoteli moja iliyoko hapa Triple A post na sheli ya Bp zamani ya Laseko.
Ina viongozi wa serikali...
Kauli ya Mwigulu katika JF juu ya BRIGADE nadhani imefanywa makusudi kama ilivyofanywa huko nyuma. Tunakumbuka jinsi ilivyobadirishwa maana ya ''impotent''. Mnakumbuka yale ya Mjengoni? Kuna...
Adai ni wabunge wenyewe kama wawakilishi wa Wananchi ndio waliopendekeza kodi an tozo za simu na serikali ikaridhia na isilaumiwe serikali na kama serikali itaendelea kutoa kama ilivyopangwa...
Nakumbuka nilipokuwa undergraduate, siku ya kwanza tuu kuanza muhula, Mwalimu alisema" When I give you guys any assignment, Please do not use Wikipedia as a source of your info" wanafunzi...
Najua kauli yangu hii itawakera wengi hususan hao wanaojiita wasomi, lakini najua kwamba ukweli mara nyingi huwa unauma sana.
Katika orodha ya nchi za Afrika ambazo wasomi wake wanaibwa na...
Wakati dunia wanasaka kuwe na Amani hapa Tanzania baadhi ya watu wanaichezea kwa sababu zao binafsi.
Amani katika nchi sio kitu cha kuchezea, Vurugu ikitokea hakuna hata mmoja atakaye salimika...
Kuna taarifa za chini kwa chini kuwa serikali ya Tanzania imeridhia Marekani kujenga mtambo wa Nuclear nchini, je kuna yeyote mwenye taarifa na hili? Kuna watu kutoka Marekani wameanza research ya...
Akizungumza katika kipindi cha Hot Mix cha EATV jioni hii mbunge wa ccm Selemani Zedi amesema vijana wa greenguard wanafanya shughuli za uzalishaji mali,mf.kufyatua matofali ya kujenga shule...
Tanzania tulipofikia hatuhitaji tena kuwa na vyama vya CCM na CHADEMA, hivi vyama vinasababisha Amani na Uzalendo wa Taifa letu kupotea, migogoro kila kukicha, leo tunasika CCM wana green...
WanaJf
Kumbe zile hotuba za kila mwezi za jk zilikuwa ni nguvu ya soda! Ama kweli ukiiga kunya kwa Tembo utapasuka Kinyeleo.Mkapa alikuwa anajitahidi hata kama amelazwa Hosptal nje ya nchi...
Kazi anayofanya huyu kijana ni kubwa sana na hajawahi tokea MEYA kama yeye mji wa Mwanza. Viongozi wengi vijana wasatakiwa kuiga mfano wake.....g sengo: MANISPAA YA ILALA YAFANYA ZIARA JIJINI...
This Speech was delivered By a Great English Comic Actor Charlie Chaplin in 1940, a 73 Years old Speech.. But it still holds the words that we all need now, the words that our Leader must adhere...
Mwenyekitti wa CHADEMA,Freeman Aikaeli Mbowe ameitikisa nchi. Amewaibua wasemaji wa Mamlaka mbalimbali.Kuanzia Ikulu, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Polisi hadi viongozi wa dini. Watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.