Tuipuuze kamati kuu ya CHADEMA!

Tuipuuze kamati kuu ya CHADEMA!

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,830
Wakuu,

Hivi karibuni kamati kuu ya CHADEMA imekutana siku ya July 6 na July 7 kujadili ajenda mbalimbali ikiwemo hali ya siasa nchini.

Jambo la kushangaza ni maazimio yaliyo fanywa na kamati kuu kutokana muhafaka waliofikia kama kamati.

Kama kweli CHADEMA ingekuwa na viongozi wenye hekima, busara, uzalendo, wapenda amani na utulivu, wasinge fikia muhafaka wa kuanzisha 'Red Brigade'.

Badala yake viongozi hao wangeishinikiza serikali kuimarisha ulinzi kwenye shughuli za CHADEMA katika kufanya siasa.

Hoja ya kusema CHADEMA wataunda na kuimarisha 'Red Brigade' ili ilinde mali na viongozi wa chama, ni dhaifu sana na haiwezi kutolewa na mtu mwenye akili timamu.

Kazi ya ulinzi hapa nchini sio kazi ya vikundi kama 'Red Brigade', bali ni kazi ya vyombo vya dola kwa mujibu wa katiba ya nchi na sheria mbalimbali za usalama.

KAMATI KUU YA CHADEMA IMEJIDHALILISHA, NA INAPASWA WATANZANIA TUIPUUZE KAMATI KUU YA CHADEMA BILA KUJALI ITIKADI ZETU.
 
Kwa kuanzia tunakupuuza wewe ambaye hutambui haki ya kujilinda. Unaishinikiza serikali inayoua watu kwa kutumia jeshi hilo hilo linalotakiwa kuwalinda. Kweli ukiwa CCM unakuwa na akili kama za maiti, hata simple logic kama hii ya kushindwa kujua kama jeshi la polisisiemu limeshindwa kulinda wananchi hauna.
 
I hate politics, I hate politicians, I hate CHADEMA, I hate CCM, CUF, TLP, DP, UDP and others which are not mentioned. I love so much my country, I love my President in his capacity as an Executive.
 
We're in the same basket!
 
For this?.......You can't drink responsibly at all!

Mtambo-wa-kutengeneza-pombe-aina-ya-gongo.jpg

Kwa kuanzia tunakupuuza wewe ambaye hutambui haki ya kujilinda. Unaishinikiza serikali inayoua watu kwa kutumia jeshi hilo hilo linalotakiwa kuwalinda. Kweli ukiwa CCM unakuwa na akili kama za maiti, hata simple logic kama hii ya kushindwa kujua kama jeshi la polisisiemu limeshindwa kulinda wananchi hauna.

Tena wewe ndio wa kupuuzwa, CCM imekujaje hapa? kuna neno CCM katika huu uzi?
 
hawa chadema wamepwelewa kiongozi mwenyewe mr zero unnategemea nini hapo.
 
Wakuu,

Hivi karibuni kamati kuu ya CHADEMA imekutana siku ya July 6 na July 7 kujadili ajenda mbalimbali ikiwemo hali ya siasa nchini.

Jambo la kushangaza ni maazimio yaliyo fanywa na kamati kuu kutokana muhafaka waliofikia kama kamati.

Kama kweli CHADEMA ingekuwa na viongozi wenye hekima, busara, uzalendo, wapenda amani na utulivu, wasinge fikia muhafaka wa kuanzisha 'Red Brigade'.

Badala yake viongozi hao wangeishinikiza serikali kuimarisha ulinzi kwenye shughuli za CHADEMA katika kufanya siasa.

Hoja ya kusema CHADEMA wataunda na kuimarisha 'Red Brigade' ili ilinde mali na viongozi wa chama, ni dhaifu sana na haiwezi kutolewa na mtu mwenye akili timamu.

Kazi ya ulinzi hapa nchini sio kazi ya vikundi kama 'Red Brigade', bali ni kazi ya vyombo vya dola kwa mujibu wa katiba ya nchi na sheria mbalimbali za usalama.

KAMATI KUU YA CHADEMA IMEJIDHALILISHA, NA INAPASWA WATANZANIA TUIPUUZE KAMATI KUU YA CHADEMA BILA KUJALI ITIKADI ZETU.
kwahiyo wewe uzalendo ni kuiba mali ya umma wala hatuwapuuzi wewe ndo wa kupuuzwa mjinga mkubwa
 
I hate politics, I hate politicians, I hate CHADEMA, I hate CCM, CUF, TLP, DP, UDP.I love so much my country, I love my President in his capacity as an Executive.

kawadanganye wanao kama unao, ktk kitabu cha "a beautiful ones are not yet born" cha AYI KWEI ARMAR anamuelezea ndege anayeitwa CHICHIDODO kwamba ni ndege anayechukia mavi, lakini ankula funza wanaotokana na mavi. sasa wewe ni sawa na chichidodo hupendi siasa ila unampenda rais ambaye anatokana na siasa. acha unafiki.
 
Mleta uzi nimekudharau sana aisee ! Hata hivyo nakuhurumia kweli kweli .
 
Kazi ya ulinzi hapa nchini sio kazi ya vikundi kama 'Red Brigade', bali ni kazi ya vyombo vya dola kwa mujibu wa katiba ya nchi na sheria mbalimbali za usalama.
Vipi kuhusu uwepo wa Ultimate Security Group, KK Security, Green Guard and the like?? Hivi nyie watu mmesoma shule za wapi??
 
I hate politics, I hate politicians, I hate CHADEMA, I hate CCM, CUF, TLP, DP, UDP and others which are not mentioned. I love so much my country, I love my President in his capacity as an Executive.
uta hate sana ila ndiyo ujue hao watanzania wame-bumburuka - zama za ccm ndiyo zimekwisha.
 
Tena wewe ndio wa kupuuzwa, CCM imekujaje hapa? kuna neno CCM katika huu uzi?

Kama ukionesha akili za maiti si ina maana huko ndio kwako. CCM is where you belong, akili ndogo kuongoza akili kubwa.
 
....nakupuuza wewe na nakipongeza chadema kwa kuonyesha njia siku zote...
 
Back
Top Bottom