Ikiwa Kamati kuu haiwezi kuchukua CCM hatua kuwafukuza hawa watu ndani ya CCM, basi tutachukua hatua kuanza kuwashawishi watanzania kukihama . Hawa ni waropokaji ambao Kamati kuu lazima itafute...
Leo jioni green guards wamewashambulia na kuwaumiza vibaya wananchi wa daraja mbili kwa madai kuwa wamewasaliti. Hali hiyo ilitokana na wanachi kuonyesha ishara ya vidole viwili vitumiwavyo na...
Baada ya kushukiwa kuhusika na mlipuko wa bomu lililoua Arusha kila anapopita Mwigulu Nchemba anajihisi sio Salama.Mchana alijaribu kupata maelezo ya Kulala Lush Garden ila yadaiwa kachomoa na...
WanaJF.
Mimi si kusikitishwa tu bali nim,eshangazwa sana na nashindwa kuamini kama kweli nchi hii kuna vyama imara vya upinzani
Juzi tu Mh. Mbatia kalaumiwa kwa kukiuka yale waliokubaliana kama...
Wadau, naombeni mnisaidie namna ya kuwasiliana na viongozi wa wizara hii. Nimejaribu kutafuta barua pepe, simu za ofisini na za viongozi wengine bila mafanikio. Vile vile wizara haina tovuti yenye...
Poleni na majukumu yenu ya kila siku. kiukweli mimi sio muongeaji saaana ila dizain leo imenibidi nifunguke kwa jinsi mnavyonikera na utendaji wenu wa kazi. Kuna baadhi ya mawaziri atleast...
Habari Zenu,
Jamani, mimi nimefadhaika kusikiya hizi nuksi ya "Green Guards" na "Red Brigade". Kuna picha, unaona mafunzo ya hiyo "Green Guard", natunasikiya lengo ya hiyo "Red Brigade".
Nataka...
Tunakumbuka na kufahamu kuwa BUSH aliingia TZ wakati Obama anaondoka, lakini hadi sasa baada ya BUSH kuingia TZ hukuna anayejua BUSH aliko, Jamani yuko wapi rafiki huyu??
Wale vijana wa ccm waliopata mafunzo haramu mkoani singida,wakiwa na VX mbili za Ccm wamevamia hotel walipo makamanda wa Chadema.Uvamizi uliokuwa na lengo la kuwajeruhi makamanda na pia kuchoma...
tangu kutangazwa kwenye vyombo vya habari mpaka kuwasili kwake nchini, kichwa changu kilikiua kinaniuma sana naposikia kua atakua kiongozi wa nchi ya marekani rais Barack hussein Obama katika...
Sasa ni wazi kwamba aliyekuwa kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza ameuawa na genge ndani ya Polisi akiwemo Kamanda Polisi anayejulikana kwa jina la Muna, gazeti la Jamhuri limeripoti katika...
Chadema hakika sikipendi kutokana na
1. Kuweka mbele maslahi ya chama kuliko UTAIFA
2. Kupinga umoja wa vyama vya kisiasa kupitia TCD
3. Wabunge wake kutowawakilisha wananchi ipasavyo wawapo...
Wana JF Hebu nipeni ushauri mimi kila CHADEMA ikipigwa fitina na wale wasiopenda kuona ikikamata dola kama mchumia tumbo Dr. Bana, AG, policcm, dr.dr.dr.dr.dr msoga, mzee wa kunadi mmwagiwa...
Wanajamvi,
Napenda kusema kwamba kupendwa ama kuchukiwa na watu ni chaguo lako, ukitaka jamii ikupende itakupenda na ukitaka jamii pia ikuchukie pia hakuna kipingamizi, ni ukweli usiopingika kuwa...
Huyu waziri wa Kikwete sasa kazidi. nimemsikia tena kwenye hotmix ya EATV wakati akitangaza post na kudai wanafunzi wamekua ACCESS kwenye masomo ya arts. hapo kwa neno ACCESS nahisi alimaanisha...
Wana JF; Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Nape Nnauye ni mtoa matamko na misimamo ya chama kuhusu masuala mbalimbali ya chama na kitaifa.Wajibu huo ni rasmi kwa mujibu wa katiba ya CCM...
Baada ya muda mrefu wa uchambuzi wa kina kabisa kuhusu kujiunga na chama cha siasa, hatimaye nimeamua rasmi kujiunga na CCM na nimepewa kadi ya uanachama.
Nimeamua kujiunga CCM kwa sababu...
Ziara ya Rais Barack Obama wa Marekani barani afrika, ratiba ya awali ilionyesha nchi atakazopitia ikiwamo Rwanda. Katika ziara hiyo nchi zote zilizotangazwa kutembelewa na Rais Obama ratiba...
Joto la kisiasa Arusha limezidi kupanda kwa upande wa ccm,habari za uhakika kutoka ndani ya ccm zinasema kuwa kuna mgawanyiko mkubwa sana kati ya madiwani wa ccm kwa upande mmoja na uongozi wa...
Kwa kile kilichoonekana kuwa ni mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa Amani kunakoandamana na umwagaji wa damu ambako siku zote Chadema wamekuwa wakiyafanya, Nape awashukia na kusema kuwa chama chao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.