Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uchaguzi mdogo katika kata nne za Jiji la Arusha unafanyika leo, huku Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ikiwapiga marufuku Mkuu wa Mkoa, Magessa Mulongo na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, John Mongella...
2 Reactions
45 Replies
7K Views
Ni wakati muafaka sasa umewadia,kupitia kwa uangalifu nafasi za Juliana Shonza na Mtela Mwampamba ktk siasa za Chama cha Mapinduzi,kama tija inaonekana ktk marejesho ya siasa zinazofanyika sasa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Haya sasa mbwembwe zao CCM zote mfukoni pamoja na mabomu yaliyolipuliwa kuwaua raia wema byeeeee!!!!! Jamani wana ccm kimya wanalilia kwapani kwa kushindwa katka kata zote nne za uchaguzi mdogo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nilipokuwa katika viunga vya Bungeni Dodoma kufuatilia nyendo za Wabunge wetu wa CCM na hotuba za Bajeti, nilipokea ujumbe wa kichama ulionitaka kwenda Arusha kwa ajili ya mapambano ya kisiasa...
7 Reactions
46 Replies
5K Views
INGAWA si kawaida, lakini naomba nianze makala yangu na hitimisho, badala ya utangulizi. Kwamba pendekezo la mfumo wa Muungano wenye Serikali tatu (Shirikisho), la Tume ya Marekebisho ya Katiba...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Uamuzi wa Chadema kuanzisha ulinzi wake binafsi kama chama cha siasa umepokewa kwa hisia tofauti miongoni mwa jamii ya watanzania; Suala hili limezua two major schools of thought; Upande wa kwanza...
16 Reactions
70 Replies
10K Views
Mtukufu Rais wetu JK, Tumejifunza nini uchaguzi wa Arusha with regard to fujo, mabomu, uvunjifu wa mani etc. I can dare say POLICE wetu ndio chanzo cha fujo katika mikutano ya CDM maana hawatendi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni simanzi na taharuki kubwa zimetanda katika Jiji la Arusha baada ya Serikali kukataza kusanyiko lolote jambo ambalo limesababisha mazishi ya waliouwawa kwa bomu katika kampeni za udiwani za...
10 Reactions
305 Replies
24K Views
Katika kile kinachoonekana ni kukataliwa CCM kwenye jamii kutokana na ugumu wa hali ya maisha, jana mchana Katibu wa CCM Tawi Kishanje Bukoba Vijijini anayejulikana kwa Jina la Peter Zelamula...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu. Mtakumbuka kuwa leo ndio mkutano wa hadhara utakaofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Ukombozi, Manzese, mkutano huo utakaohutubiwa na viongozi wakuu, CHADEMA kitatoa msimamo wake juu ya...
5 Reactions
275 Replies
23K Views
Nikiwa kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashangazwa sana na matokeo ya Arusha muda huu'tulitegemea ccm kupata chini ya asilimia 10 ya kura zote'nikienda kwenye point moja kwa moja ni kwamba kama...
11 Reactions
90 Replies
9K Views
1. Augustino Lyatonga Mrema alipotoka CCM na kwenda NCCR MAGEUZI alileta changamoto mpya katika siasa za vyama vya upinzani na mwanzoni alionekana ni mpinzani namba moja. Kadiri muda ulivyokwenda...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Baadhi ya picha zikionyesha maelfu ya watu wakimsikiliza Jembe la Arusha kamanda Mpambanaji Mh G Lema akiiondoa CCM kwenye historia ya siasa Arusha na amefanikiwa kwa asilimia 93%
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Umati wa wanachama, mashabiki na watazamaji wakisikiliza viongozi wa CDM wakihutubia mjini Arusha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CDM) kimerejesha kata nne zilizokuwa zinagombaniwa katika...
14 Reactions
23 Replies
2K Views
Huo mruko wake mnauonaje?
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Sio siri tena kuwa kauli ya JK juu ya mgogoro wa Rwanda na waasi wa FDLR itabaki sio tuu kuwa alama ya uhusiano mbaya kati ya Rwanda na Tanzania lakini pia sasa uhusiano mbaya kati ya Uganda na...
5 Reactions
232 Replies
25K Views
Hata mimi sikufurahia kushindwa kata zote kwa Chama chetu kinachojenga Nchi..ila chakujifunza hapa ni kuwa matumizi ya nguvu za polisi ama Green Guard kwa chama tawala kinaweza kusababisha...
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Katika uchaguzi uliofanyika leo tarehe 14 July - 2013 wafuasi wa CCM walikuwa na uhakika wa kuibuka na ushindi hata kama ungekuwa membemba kwa sababu idadi kubwa ya waliojitokeza kupiga kura...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
MALEZO yaliyotolewa na viongozi wa CHADEMA kwamba kitaandaa mafunzo ya ukakamavu kwa vijana wake kwa minajili ya kujilinda yamechokonoa mengi. Polisi haraka haraka wakasema ni jambo...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom