Nimemsikia kamanda wa Polisi wa Morogoro akiwaomba wakaazi wa Mazimbu wajenge kituo. Huyu kamanda amesahau kuwa hiyo ni kazi ya serikali na pilisi wenyewe?
Kamanda pia anapaswa kutambua kuwa...
Sababu zilizotolewa kuwa Arusha sio salama kwa marudio ya uchaguzi wa kata nne za kaloleni, themi,elerai na kimandolu sio mtambuka.Kama nchi zenye matatizo ya usalama zinafanya uchaguzi iweje...
Nimekuwepo mkoani Arusha kwa takribani miezi miwili sasa kama kada mwandamizi wa CCM nikiwa kama mtafiti wa kisiasa kwa ajili ya tathmini ya chama changu siku za usoni.
Niliyoyaona mengi...
SHTUKA, ZINDUKA CHUKUA HATUA STAHIKI TZ NI YETU SOTE;
Wakati Watanzania wanaendelea kupevuka, kukomaa kiakili, kujitambua, kujua wajibu wao na haki zao bado kuna kundi la watu wachache wanaojiita...
WanaJF kwa mujibu wa FB ya Diwani Nyanyaro Ephata CDM imeshinda kata zote nne ambazo zilikuwa zinagombaniwa na kata zote nne.
Wadau Stay tuned ila hali ndiyo kama hiyo.
CC Ritz, Simiyu yetu...
Wana JF, habari zilizotufkia hvi punde ni kuwa RPC anajiandaa kwenda au kutuma ujumbe radio 5 na Tripple A kuwa mpaka saa mbili na nusu leo usiku asionekane mtu mtaan. Chanzo cha habari ambacho ni...
Kamanda Mawazo tunakuomba kwenye kikao kitachoanza na madiwani wapya waliopatikana leo, nawe uhudhurie kama diwani wa kata yako kwa tiketi ya ccm kwani wanavyosema bado wanakutambua kama diwani...
Wakuu Mwigulu ameonekana hapa Arusha leo hii, amekuja kupanga mikakati na kutekeleza uchakachuaji wa matokeo ya kura za Udiwani wa kata nne za jiji la Arusha utakaofanyika tarehe 14 July 2013.
uchaguzi wa Arusha kata nne umeelekea tamati huku kukiwa na kila dalili ya kuwa tumeshinda kata 4.
KUTOKANA NA MSIBA WA WATU WATATU BAADA YA SHAMBULIO LA BOMU KWENYE MKUTANO basi tuendelee kuwa...
Makamanda wa Arusha tuwe makini na polis, kuna tetesi wana mpango wa kukamata wanaharakati wa CHADEMA na kuzusha vurugu kwenye vituo vya majumuisho ili CHADEMA ionekane ina fujo na waipatie tume...
This is the Fact
I was born to support CHADEMA
M4C for life no Apology
I am calling PoliceCCM to keep an eye on me as I am a potential terrorist, I deserve to be kept in a remanded prison...
Sunday, July 14, 2013
Aliyekuwa mgombea UWT Taifa, Maryrose Magige akionyesha kadi ya Chadema aliyokabidhiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Wilbrod Slaa wakati wa mkutano wa hadhara...
Jamani hebu tujiulize mambo mawili au matatu kuhusi mambo yetu kama Watanzania!
Mwenzenu na nategemea nyie pia mlifuatilia uchaguzi wa Marekani na nchi nyingi za ulaya na hasa Ulaya Magharibi...
Nimekuwa nasoma threads mbalimbali juu ya upotoshaji mkubwa unaofanywa na watu wanaotuona sisi mazuzu tafsiri ya maudhui ya uwepo wa RED BRIGADE.Kwanza kwa mtu makini hatakiwi kutafasiri jambo...
Mh tendwa acha woga yoyote ambae anania ya kuleta vita kwa kujianzishia jeshi ndani ya nchi ni uhaini acha woga tangaza wazi chadema waachane na mpango wa red brigade au ukifute!! Msajili kazi...
Mbona NEC wako kimya kuhusu marekebisho ya daftari la wapiga kura wakati uchaguzi wa serikali za mitaa na mwaka ujao tuu? Au tayari wameshatangaza ratiba ya marekebisho hayo?
Maana bila...
In gas-rich Tanzania,complaints rise about wealth divide
By Correspondent
13th July 2013
Natural gas in Tanzania
Tanzania's commercial capital looks like a boom town...
Eti Wana Jf, Amani inalindwa kwa matamko?
Kila siku nasikia matamko kutoka katika viongozi wa dini na serikali na wanazuoni, Radio one inatangaza. Sasa nashangaa amani inalindwa kwa matamko ama...
WanaJF!
Baada ya shinikizo kubwa kutolewa kwa CHADEMA kuhusu kukumbatia kwao ushahidi wa muhusika wa tukio la bomu Arusha, jaji Tendwa nae ameona aeleze ya moyoni kuhusu muono wake na maamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.