Obama katika katuni

Obama katika katuni

Kimetah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
1,049
Reaction score
189
Huo mruko wake mnauonaje?
1044895_546124062116453_606286965_n.jpg

meli+obma.jpg
999310_689090434438711_1370283671_n.jpg
 
hee heee chezea fursa wewe, kumbe clauds hawakoseagi wanapotafuta fursa kwa gharama yoyote...lol
 
Wakenya wanajua kusoma mikataba ya kiingereza, hawezi kwenda
hahahahaahahahaahahahahaah aiseee na wajinga ndio waliwao yaani kikwete atatuachia mfupa wa samaki dah.na hajaisoma anasaini tu
 
Hata huo mfupa wa samaki sasa hauachwi!!!! Maana wanavyokimbizana kuingia Bongo hao........
 
hahahahaahahahaahahahahaah aiseee na wajinga ndio waliwao yaani kikwete atatuachia mfupa wa samaki dah.na hajaisoma anasaini tu
Hata huo mfupa wa samaki hauachwi!!! Wnavyokimbizana kuingia Bongo hao..................!!!
 
There is no wonder Kenya has stronger economy than ours. tumekalia mipasho tu. uswahili mwingii utafikiri nchi nzima wanawake.
 
Karibu kwenye jamvi la wageni Tanzania. Kenya wamejanjaruka hamtaweza kuwaibia. Hapa mtaiba huku mwenyeji wako akiwa anakuchekea kama kawaida yake.
 
Back
Top Bottom