Tatizo lenu CCM nikwamba mmekuwa mkidhania kwamba Watanzania wote ni watu bongolala, na kwamb mkitumia nguvu kubwa ya kuwatisha na kuwapiga mkitumia hao Grreen Guards wenu, basi, watanyamaza na...
kwanza nichukue nafasi hii kuwapongeza wanachama wote wa CDM ndani na nje ya Arusha kwa ushindi wa kishindo uliopatikana leo hii Arusha..pongezi zangu za dhati ziwaendee viongozi wote wa CDM kwa...
leo asubuhi nimesitushwa na taarifa ya uchaguz wa madiwan arusha kwanza kilichonivutia ni uchaguz huo kufanyka kwa amani pasi na damu kumwagika,pili jamaa wamewapga chin kinananii.swali je musoma...
JF
Baada ya CHADEMA kuibwaga ccm nini hatma ya Meya wa Arusha?
Baadhi ya watu wanahisi kwamba kutokana na fedha ambazo JK ameagiza
Lyatonga apewe kama mafao ya unaibu waziri mkuu je yaweza...
Mwendelezo wa Uchambuzi wa Rasimu ya Katiba.
SEHEMU YA SITA
MUUNDO WA SERIKALI YA MUUNGANO
Ibara ya 57(1a-c) na (2a-c).Inazungumzia kuwa Tanzania kutakuwa na serikali tatu(3)yaani ile ya Jamhuri...
Baada ya udini kuhubiriwa kwa muda mrefu na ccm, kuwa chadema ni chama cha wakristo na hoja hiyo kuishia kwa mbunge wa arusha mjini kumuita rais wa jamhuri kuwa muasisi wa udini, sasa ccm huko...
Mhe Mnyika kutokana na hali halisi ya Kituo cha Mabasi Ubungo ni dhairi hoja hii ingepaswa kufanyiwa kazi kwa kina..iliishia wapi???
Utangulizi
Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo (UBT)...
SURA YA NNE Ibara ya 39 kifungu kidogo cha 3 yaani ib 39.(3).Inatamka kuwa "Raia wa Jamhuri Muungano hatapelekwa katika nchi ya nje yoyote kujibu mashtaka au kufanyiwa mahojiano ya aina yoyote...
Rasimu Ibara ya 57(1) Muundo wa Jamhuri ya Muungano inasema kama ifuatavyo
'' (1) Jamhuri ya muungano itakuwa na muundo wa Serikali tatu ambazo ni;
(a) Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania...
Ambassador Alfonso E. Lenhardt The United States of America strongly condemns the June 15, 2013 bombing at a public rally organized by the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) political...
Licha ya CCM na CUF kukalia kuti kavu na kudondokea utosi katika uchaguz mdogo wa madiwani arusha,bado watani wetu wa jadi mmeonyesha ukomavu wenu wa kisiasa;
1.ushiriki wenu kwenye uchaguzi huu...
Habari wakuu,
kesho j.3 wabunge wote wa CHADEMA kanda ya ziwa wakiongozwa na Mh.E.Wenje watafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika uwanja vya uhuru uliopo katikati ya mji Bukoba kuanzia majira ya...
Wakuu,
CHADEMA wamepanga mpango wa kuvuruga uchaguzi Arusha kwa mbinu ya kitoto na ya kishamba kweli kutumika katika nyakati hizi za kidigitali.
Mpango umesukwa kama ifuatavyo; CHADEMA...
KUNDI la polisi wenye silaha za moto jana usiku walivamia nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, kwa nia ya kumkamata.
Askari hao...
Tofauti na watu wanavyoamini kuwa CCM ni chama Kikongwe.Matukio na mwenendo wa kisiasa unaonyesha wazi kuwa CCM bado ni Novice.Umri wake na uwezo wa safu nzima ni dhihirisho tuu kuwa "Age ant...
leo kumefanyika uchaguzi huko Arusha, uchaguzi umekwisha. habari zinatufikia, ingawa labda siyo rasmi lakini zinaonyesha kuwa CDm ndio washindi wa uchaguzi huo. bila shaka ushindi huo utakuwa...
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kunasa waraka wa siri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unaokwenda kwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, Jaji Joseph...
Wapiga kura waliojitokeza ni wachache.wengi wa kina mama na wazee wameogopa.
Kama tunakumbuka ngao muhmu ya ushindi wa ccm ni wazee na wanawake.
Hili ni pigo baya kwetu.
Updates:ccm imeanguka...
WanaJF!
Nimepita hapa Manzese kwenye mkutano wa CHADEMA walio uandaa kwa ajili ya mjadala wa katiba mpya.
Jambo ambalo ni la kushangaza ni idadi ndogo sana ya watu utadhani wana hutubia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.