Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Elimu ni ufunguo wa maisha. Taifa lenye wananchi mbumbumbu ni taifa mfu. Taifa lenye wananchi wenye elimu nusu nusu ni sawa na bomu linalosubiri kulipuka. Taifa lenye vijana wanaopata elimu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Tunasoma kwa mshangao mkubwa juu ya sakata lilotokea hivi karibuni, sakata la Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Ndg Freeman Mbowe , kutembelewa na askari polisi wenye silaha usiku wa...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Salaam, Angalia tathmini fupi ya uchaguzi wa kata 26 (kwa niaba ya Mtu wa Shamba) Kata zilizokuwa wazi 26 Unyakuzi CCM wamenyakua kata 16 CDM wamenyakua kata 10 CUF wamenyakua kata 0 TLP...
10 Reactions
46 Replies
4K Views
Kabla ya Mwezi Julai nilikuwa nikinunua umeme wa TZS15,000/- ninapata units 84, Mwezi huu TZS25,000/- nimepata unis 83.6, Umeme umepanda Kimya kimya??? ONGEZEKO HILO NI KUBWA SANA almost asilimia...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Taarifa za kweli zilizothibitishwa na Kamanda Lema zinaeleza kwamba kuna uhalifu unafanyika muda huu Kata ya Elerai ambapo CCM wanagawa kombati za Chadema kwa vijana waliowaandaa ili zitumike...
0 Reactions
94 Replies
8K Views
Baada ya polisi na mkuu wa mkoa na wilaya kuzuia na tume ya uchaguzi kufuatilia wapiga kura vituoni na uchaguzi kwenda salama sasa ni wazi wao ndo wamekuwa waanzilishi wa fujo na hatimaye kuvuruga...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Ndugu zangu, Baada la tamko la chadema la kuanzisha mafunzo kwa kikosi chao kiitwacho Red Brigade kumetokea hofu kubwa kwa watanzania. Na wasioitakia mema nchi yetu wametaka kujificha kwa...
6 Reactions
446 Replies
41K Views
Nimeongea na askari polisi pia watumishi wengineo wa serikali bila kumung'unya wanasema wanalipwa kwa nusu na robo hasa watumishi wa chini na wanatishwa wasiseme haya maana ni fedheha hasa kipindi...
0 Reactions
2 Replies
43K Views
  • Closed
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Bw Jemus Mbatia ameandika demand note Kwa gazeti la NIPASHE kutaka Reginald Mengi amlipe 1bils kutkana na gazeti lake kuandika habari za Kikao Cha NEC NCCR, ambacho...
1 Reactions
45 Replies
9K Views
7:47 AM Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mshauri Mkuu wa Makamu wa Rais wa Nigeria, Isaiah Balat, wakati alipowasili kwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ITV Swali la Kipima joto; Vijana kutumika kama madaraja kwa wanasiasa wanadau inaonekana ITV nia yao CCM washinde chaguzi kwani swali hili limekuja baada ya kuonyesha Vijana wakishangilia ushindi...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Habari za mida,tunakutana tena tukiwa na afya tele na mungu anajaali uzima,hizo zote siyo ujanja wetu bali ni uwezo wake huyooooooo anaemiliki dunia hii. Dunia yetu ni nzuri lakini wapo wachache...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Look at the The 3 C's of life: CHOICES, CHANCES, CHANGES. You must make a choice to take a chance, holding ccm means Your life will never change. Tanzanians have began...What Arusha has shown...
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Mpaka kufikia mwaka 1973, jiji la dar Es Salaam lilikuwa linang'ara kwa usafi na lilkuwa zuri sana .KUlikuwa na wafanyakazi wa city ambao tulikuwa tunawatania bembeleza mwana, wao kazi yao...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Naandika kufuatia hali halisi iliyopo sasa ambapo vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ikiwa ni pamoja na kupiga, uonevu unyanyasaji na hata mauaji yanafanyika katika maeneo mbalimbali...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Niko mpwapwa wiki ya tatu sasa wana mpwapwa wame kosa mbunge wamekosa madiwani supavu wame kosa sauti na tamani kigaila uje kuwa komboa kama maiki yao msemaji wao wana sema nikufikiishie kilio...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Malawi President Joyce Banda has told the former leaders of Mozambique and South Africa that there will be no deal on the Lake Malawi wrangle. Mr Joachim Chissano...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Niwazi kua anguko la ccm linakuja hivi punde baada ya mwaka.Nasema mwaka kwa sabb ndani ya mwaka mzima (2014)viongozi wa vyama vya siasa watakuwa busy kwa kampeni,kutafuta wadhamini na vitu vingi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wan JF, CCM ni wepesi sana kuowaondoa madarakani kwa hali ilivyo sasa , maana wananchi wamekichoka chama hicho na wanahitaji mabadiliko Najua kwa nguvu ya upinzani waliyonayo CHADEMA inawezekana...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Tumepokea ujumbe toka Makao Makuu ya CCM kuwa tunatakiwa kwenda Arusha kuhakikisha kuwa Wagombea wetu wa Udiwani katika Kata zinazorudia uchaguzi hapo Juni 16 wanaibuka na ushindi. Eti,tutoke hapa...
33 Reactions
94 Replies
9K Views
Back
Top Bottom