Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Wakuu.
Mtakumbuka kuwa leo ndio mkutano wa hadhara utakaofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Ukombozi, Manzese, mkutano huo utakaohutubiwa na viongozi wakuu, CHADEMA kitatoa msimamo wake juu ya Rasimu ya Katiba Mpya, pamoja na masuala mengine ya kitaifa.
Msafara wa viongozi wakuu ndiyo unakaribia kutoka Makao Makuu ya CHADEMA, kwenda eneo la mkutano. Karibu.
Mama Rose Kamili anaelezea uzoefu wake alipokuwa CCM namna ambavyo CCM walikuwa wanachagua vijana na kuwapeleka kwenye makambi ya mafunzo ya ukakamvau huko Iringa, kwa ajili ya ulinzi.
Anauliza sasa CHADEMA kufanya hivyo kwa ajili ya kujilinda kwa nini imekuwa nongwa!
Amewataka polisi kuacha kutumika kama vyombo...
Kamanda Tumaini Makene anashika usukani na ataendeleza updates hapahapa.

Last edited by a moderator: