Wenzangu wa Arusha wanajuta

Wenzangu wa Arusha wanajuta

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Nilipokuwa katika viunga vya Bungeni Dodoma kufuatilia nyendo za Wabunge wetu wa CCM na hotuba za Bajeti, nilipokea ujumbe wa kichama ulionitaka kwenda Arusha kwa ajili ya mapambano ya kisiasa kuhakikisha kuwa CCMinaibuka na ushindi wa kishindo katika Kata zitakazofanya uchaguzi wa Madiwani jijini humo.

Kwa kuisoma haliya mkoa wa Arusha,nikagoma kwenda Arusha kidijitali(#Siendi Arusha). Wenzangu wakanidhihaki.Wakanicheka. Wakanitambia na posho zao za karibu miezi miwili ya kuwa Arusha. Sasa, mambo ni tofauti. Hali ya kisiasa jijini Arusha haiwapi raha makada wenzangu wa CCM. Wanabanwa mbavu mno.

Kiukweli, CCM iko katika hali mbaya na inafifia katika kupata ushindi wa angalau Kata moja ya Arusha. Kila mbinu,za kipropaganda na kiintelijensia,inagonga mwamba Arusha.Sasa napongezwa na wenzangu wa Arusha. Wananiona kama muona-mbali. Wao wako nafasi finyu kujinasua.Wametakiwa kuhakikisha kuwa 'wanapata' hata Kata moja.

Wanajuta kuwa huko wakiisubiri Jumapili ya tarehe16/6/2013 kwa hofu,tashwishwi na matumaini!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Mzee tupatupa wape na hizi salam:

KIMANDOLU ....Gumegume...kura 5 (kura za ukoo)

THEMI...........Muuza viwanja...kura 4 (kura za ukoo)

ERELAI..........Mzee garasha.....kura 5 (kura za ukoo)

KALOLENI......Muuza mirungi changanya na udini....kura 4 (kura za ukoo)

Ukiona maganda ujuwe mtu kaliwa......
 
Mzee tupatupa wape na hizi salam:

Y
KIMANDOLU ....Gumegume...kura 5 (kura za ukoo)

THEMI...........Muuza viwanja...kura 4 (kura za ukoo)

ERELAI..........Mzee garasha.....kura 5 (kura za ukoo)

KALOLENI......Muuza mirungi changanya na udini....kura 4 (kura za ukoo)

Ukiona maganda ujuwe mtu kaliwa......
Imetulia sana men!!!!!
 
Nilipokuwa katika viunga vya Bungeni Dodoma kufuatilia nyendo za Wabunge wetu wa CCM na hotuba za Bajeti, nilipokea ujumbe wa kichama ulionitaka kwenda Arusha kwa ajili ya mapambano ya kisiasa kuhakikisha kuwa CCMinaibuka na ushindi wa kishindo katika Kata zitakazofanya uchaguzi wa Madiwani jijini humo.

Kwa kuisoma haliya mkoa wa Arusha,nikagoma kwenda Arusha kidijitali(#Siendi Arusha). Wenzangu wakanidhihaki.Wakanicheka. Wakanitambia na posho zao za karibu miezi miwili ya kuwa Arusha. Sasa, mambo ni tofauti. Hali ya kisiasa jijini Arusha haiwapi raha makada wenzangu wa CCM. Wanabanwa mbavu mno.

Kiukweli, CCM iko katika hali mbaya na inafifia katika kupata ushindi wa angalau Kata moja ya Arusha. Kila mbinu,za kipropaganda na kiintelijensia,inagonga mwamba Arusha.Sasa napongezwa na wenzangu wa Arusha. Wananiona kama muona-mbali. Wao wakon afasi finyu kujinasua.Wametakiwa kuhakikisha kuwa 'wanapata' hata Kata moja.

Wanajuta kuwa huko wakiisubiri Jumapili ya tarehe16/6/2013 kwa hofu,tashwishwi na matumaini!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Waambie hivi Majuto ni mjukuu.
 
ha ha ha tupa tupa yani nakuambia arusha ccm aitapata kata hata moja
 
kama una sikia akili za kibavicha basi ndio hizi CCM ni chama dume na sitaongea tena utakiona juma pili
 
Kata yangu ni Elerai! Hakuna kulala Bayo lazima atajuta kwanini alirudia kugombea Udiwani
peace.gif
 
Mzee VUTA-NKUVUTE hii ile thread yako ya kukataa kwenda Arusha (siendi-arusha)
Tumepokea ujumbe toka Makao Makuu ya CCM kuwa tunatakiwa kwenda Arusha kuhakikisha kuwa Wagombea wetu wa Udiwani katika Kata zinazorudia uchaguzi hapo Juni 16 wanaibuka na ushindi. Eti,tutoke hapa Dodoma mapema ili tuwahi Arusha kuanza 'kuwalisha sumu' wapigakura wa Arusha katika Kata husika. Eti,chama chetu kimejipanga kuibuka washindi dhidi ya wapinzani wetu hasa CHADEMA.

Mimi siendi Arusha. Tumeshashindwa kabisa uchaguzi huo wa Madiwani Arusha. Arusha CCM haiuziki,haiaminiki. Tulijitahidi kuwalaghai Madiwani wa zamani wa Kata hizo ili wahamie CCM. Wakakataa kuhama lakini wakaahidi kuwa 'kiburi' kwa CHADEMA. Wakafanya kweli.Wakafukuzwa. Sasa wanajiandaa kuhamia rasmi CCM na kusimamishwa kama Wagombea wetu.

Hatahivyo, siendi Arusha. Hao Madiwani wote wa zamani sasa hawaaminiki Arusha.Ni wasaliti kwa CHADEMA na wapigakura wao. Hawataweza kuiepusha aibu ya CCM pale Arusha. Nani atapambana jukwaani na Lema? Nani atamzidi kete Mawazo wa Sombetini? Sipo tayari kwenda kujidhalilisha. Arusha si mahali pa kwenda.

Pamoja na Tume ya Uchaguzi kupanga uchaguzi mwezi wa sita ili 'kuwazuia' akina-Lema Bungeni,bado niwajuavyo CHADEMA,wana timu kabambe ya kampeni hata bila Lema wa Arusha. Kwa hili la kwenda Arusha kusimamia harakati za uchaguzi wa Madiwani,nipo tayari kulaumiwa.Mimi siendi. Nitabaki hapa Dodoma kushuhudia 'vituko' vya Wabunge wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nieleweke kuwa: Arusha siendi.

VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam(sasa Dodoma)
 
Last edited by a moderator:
Nilipokuwa katika viunga vya Bungeni Dodoma kufuatilia nyendo za Wabunge wetu wa CCM na hotuba za Bajeti, nilipokea ujumbe wa kichama ulionitaka kwenda Arusha kwa ajili ya mapambano ya kisiasa kuhakikisha kuwa CCMinaibuka na ushindi wa kishindo katika Kata zitakazofanya uchaguzi wa Madiwani jijini humo.

Kwa kuisoma haliya mkoa wa Arusha,nikagoma kwenda Arusha kidijitali(#Siendi Arusha). Wenzangu wakanidhihaki.Wakanicheka. Wakanitambia na posho zao za karibu miezi miwili ya kuwa Arusha. Sasa, mambo ni tofauti. Hali ya kisiasa jijini Arusha haiwapi raha makada wenzangu wa CCM. Wanabanwa mbavu mno.

Kiukweli, CCM iko katika hali mbaya na inafifia katika kupata ushindi wa angalau Kata moja ya Arusha. Kila mbinu,za kipropaganda na kiintelijensia,inagonga mwamba Arusha.Sasa napongezwa na wenzangu wa Arusha. Wananiona kama muona-mbali. Wao wakon afasi finyu kujinasua.Wametakiwa kuhakikisha kuwa 'wanapata' hata Kata moja.

Wanajuta kuwa huko wakiisubiri Jumapili ya tarehe16/6/2013 kwa hofu,tashwishwi na matumaini!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Waambie hivi Majuto ni mjukuu.
 
wewe kiboko

not necessarily a thread, huu ni mtazamo wako si wa chama
 
Uko sawa mkuu maana kwa Arusha ccm ni namba tatu nyuma ya chadema na CUF
 
uchaguzi ni baada ya kura, sasa ww na huu utabiri wako wa nyota umetokea wapi???au utaiba kura
 
Hahahahahahahaha kiongozi wewe ni Bandia tupu. Hata aibu huna, si ungejenga propagandur yenye muelekeo hii Ovyo na haina hata taste . Very Very Cheap Politics. kelele za nini na jumapili iko hapo corner, ukweli utalipuka wenyewe.

Mimi nitaunga mkono yoyote yule atakayeshinda kihalali. Ila Jambazi Lema lazoma aondolewe kwa kila hali na mali. Hatufai wana Arusha
 
Weweeeeee! Tulia ndo mshawekwa kwenye mwandani, tunahesabu tu Moooooojaaaaa, Mbiiiiiiliiiiiiiiii, Taaaaaaaaaaaaaaa............. CCM kwshney
 
Back
Top Bottom