Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KADA Maarufu wa CCM na mfanyabiashara aliyeahidiwa Ubunge Jimbo la Morogoro Mjini na Shujaa Magufuli ndugu yetu Rostam Aziz amesema Uwekezaji umeendelea kuimarika kutoka Viwango vidogo hadi...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Mwanzoni mwa mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM mwaka 2005, wengi walitarajia Dr Salim Ahmed Salim angelichaguliwa kwa kura nyingi kutokana na ukweli kwamba yeye ndiye alikuwa anaonekana...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kagera. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo ulikuwa unazungumzia na kuwahakikishia wadau kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki. Je mchakato wa kufikia hapo umeufanya? Kuna mapungufdu mkubwa katika mchakato mzima wa kupiga kura . Vigezo...
0 Reactions
1 Replies
234 Views
Nchi inaliwa mpaka mifupa na manyoya sisi tupo kama mazuzu tu Watanganyika tumegeuka wafu na misukule ya watawala hivi tutaamka lini? Maskini nchi yangu Usione watu tunaichachavya serikali kila...
1 Reactions
4 Replies
376 Views
Deni la Taifa kwa sasa limepanda kutoka Trilioni 108 mwezi Mei hadi trilioni 116 Mwezi Agost. Hili ni ongezeko la 7.41% ndani ya kipindi cha miezi miwili tu. Deni hili linaweza kunasibishwa na...
1 Reactions
6 Replies
470 Views
Kauli yangu ya jana imewashtua wengi, nimepigiwa simu na kujibu meseji nyingi sana, kilichonishtua ni pale nilipowakuta wazee wa3 na vijana wa2 nyumbani kwangu wakinisubiri kutaka kujua ukweli...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
ni mdau wa karibu sana wa JKM,pia alipewa fungu ktk pesa za epa na akashiriki ktk kutumia pesa zile kufungua kiwanda,akiwa na wenzake MWITA,SHEWEJI na yeye mwenyewe KIGWANGALA kiwanda kikaitwa MSK...
1 Reactions
131 Replies
17K Views
Mmiliki wa gazeti la Rai; Rostam Aziz, ambaye ndiye wengi tunaamini ni mwakilishi wa JK kwenye kashfa ya DOWANS ambayo isipovaliwa njuga italigharimu taifa zaidi ya bilioni 100 ametumia nafasi...
0 Reactions
63 Replies
8K Views
Mwanakijiji, 1. Kuhusu Richmond na Dowans, Bunge lenu lilichunguza likasema hakuna sehemu walipoona kwamba Mh. Rostam Aziz anahusika... sasa nini kifanyike tena... Hicho ndicho nilichosema...
0 Reactions
130 Replies
16K Views
Tundu Lissu alikuwa ana usemi wake kuwa Rais wa Tanzania ni zaidi ya Mfalme, Rais wa Tanzania ni Kama Mungu. Akimaanisha nguvu aliyopewa Rais wa Tanzania na katiba hii ya Nyerere ni kubwa sana...
3 Reactions
32 Replies
964 Views
Ramadhani Kailima Polee sana Imeandikwa hadi kwenye vitabu vitakatifu kuwa kweli itatuweka huru. Utetezi uliotoa Kailima hauwezi kubadilisha chochote, zaidi unazidi kuongeza hasira zetu Wananchi...
11 Reactions
29 Replies
1K Views
Wakuu JF. Nimesoma kwenye mtandao kuwa Tariki Azizi wa TZ leo angetoa tamko la Serikali Kuhusu Mengi. Tafadhali mlioko nyumbani tupasheni habari kama kalitoa na amesema nini. ===== Rostam Na...
0 Reactions
57 Replies
10K Views
Rostam Aziz anasemekana kuwa na kampuni hidden 80, kweli una nia njema na Serikali ya Dr. Samia una kampuni zaidi ya 80 za siri why? Lazima Rostam Aziz aangaliwe watanzania tusije kulia mbeleni...
16 Reactions
94 Replies
7K Views
Inawezekana kabisa Watu wameridhika kwakua wanaishi vizuri kupitia Wana mtandao. KOSA kubwa tunalolifanya kama Nchi ni kutokuwaza THAMANI YA RASILIMALI ZETU MIAKA MICHACHE IJAYO !!. Katika...
6 Reactions
18 Replies
915 Views
Jamaa aliaga akisema msipofungua kanisa la ufufuo na uzima baada ya siku kumi nitarudi tena, sasa hivi nikirudi jambo nitakaloliongea litachafua hali ya hewa. Na mpaka sasa hivi hakuna tamko...
2 Reactions
6 Replies
630 Views
Watanzania tuache kutapeliwa kirahisi rahisi. Yaani mtu anadanganya eti NIDA sijui inasaidia kuiba kura. Uongo mkubwa. Kura zinapigwa manually(kwenye kituo) zinahesabiwa hapohapo, na matokeo...
20 Reactions
160 Replies
7K Views
Buriani Jobu Ndugai Deni T 116..? Maono yako juu ya nchi yetu, ni kweli na sasa karibu tunaanza kuyaishi Deni la Taifa linatishia uhai wa nchi yetu, Wakati tukielekea Uchaguzi magumashi, kila...
2 Reactions
12 Replies
677 Views
Sisi waswahili husema, baniani mbaya, kiatu chake dawa. Hata kama hukubaliani na uanachama wa Polepole CCM, haya anayoyasema kukuhusu yana athari za moja kwa moja kwa CCM. Watanzania tunahitaji...
2 Reactions
13 Replies
841 Views
Back
Top Bottom